Dawa ya Lariam haifai kutumiwa jeshini
Wito umetolewa wa kutaka kusitisha matumizi ya dawa ya kuzuia maambukizi ya ugonjwa wa malaria katika jeshi la Uingereza.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili25 Feb
Dawa ya kupaka ili kuzuia HIV haifai
11 years ago
Tanzania Daima17 Jan
Mipasho haifai muziki wa Injili
STAILI, vionjo na mfumo mzima wa muziki umekuwa ukibadilika kila siku kutokana na sababu mbalimbali ikiwamo hali ya kwenda na wakati. Mabadiliko haya kwa upande mwingine yamekuwa sababu ya changamoto...
10 years ago
Dewji Blog22 May
JK: Fimbo ya kutunyima misaada haifai
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua rasmi mkutano wa siku mbili wa Open Government Partnership (OGP) katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam Mei 20, 2015.(Picha na IKULU).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa kamwe mahusiano kati ya Tanzania na wabia wa maendeleo hayawezi kutawaliwa na vitisho vya wabia hao wa maendeleo kuikatia Tanzania misaada kwa sababu yoyote ile.
Aidha, Rais Kikwete amesema kuwa...
11 years ago
BBCSwahili25 Jun
Malik:Serikali ya umoja haifai Iraq
10 years ago
Dewji Blog26 Aug
Serikali yakiri sheria ya ndoa ya 1971 haifai
Mgeni Rasmi katika utambulisho wa kampeni ya kitaifa kupinga ndoa za utotoni (National Ending Child Marriage Campaign), Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, Anna Maembe, akizungumza na waandishi wa habari umuhimu wa kufanyia marekebisho sheria ya ndoa ya mwaka 1971.(Picha na Zainul Mzige wa MOblog).
.Wadau watambulisha kampeni ya kupambana tatizo la ndoa za utotoni
Na Mwandishi Wetu, MOblog Tanzania
SERIKALI ya Tanzania imekiri kwamba Sheria ya Ndoa ya 1971 ni...
10 years ago
BBCSwahili01 Jan
USA:Palestina haifai kuwa mwanachama ICC
11 years ago
BBCSwahili09 Aug
MSF:Kambi ya Bentiu Sudan Kusini haifai
10 years ago
Raia Mwema15 Jul
Biashara hii ya kura haifai kuitwa uchaguzi
KWA mara nyingine tena, tumeingia katika msimu wa uchaguzi, ambao utaendelea hadi mwishoni mwa mw
Jenerali Ulimwengu
10 years ago
Habarileo13 Jun
‘Vijana kataeni kutumiwa na wanasiasa’
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Tabora mjini, Moshi Nkonkota ameshauri vijana kujitambua na kutokukubali kutumika kama daraja na wanasiasa wabinafsi katika kutafutia uongozi.