Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dawa za kulevya, mapinduzi ya viongozi zilivyotikisa 2013

Zimesalia siku chache kabla ya kuuaga mwaka 2013 na kuanza mwaka mpya wa 2014, huku kukiwa na rekodi mbaya na nzuri katika sekta ya michezo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Serikali yabaini kilogram 6,428.12 za dawa za kulevya mwaka 2013

Gloria Omary

Mkurugenzi wa Idara ya Sayansi ya Makosa ya Jinai na Vinasaba kutoka Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali Bi.Gloria Omari akiongea na waandishi wa Habari( Hawapo pichani) kuhusu Hali ya Dawa za Kulevya kwa Mwaka 2013 nchini ambapo amesema jumla ya majalada 208 yalipokelewa na kufanyiwa uchunguzi, wakati wa mkutano jana  Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bi. Zamaradi Kawawa.

ELIAS MLIMA

Mkuu wa kitengo cha Sayansi ya Makosa ya Jinai Kemia kutoka Ofisi ya Mkemia...

 

10 years ago

GPL

OFISI YA MKEMIA MKUU YATOA TAARIFA YA DAWA ZA KULEVYA YA MWAKA 2013 NCHINI

Kushoto ni  Mkuu wa kitengo cha Jinai Kemia, Elias Mulima pamoja na Mkurugenzi wa Idara ya Sayansi na Makosa ya Jinai na Vinasaba, Gloria Omary wakisikiliza maswali kutoka kwa wanahabari (hawapo pichani). Wanahabari wakimsikiliza Gloria Omary alipokuwa akizungumza katika hafla hiyo.…

 

5 years ago

Michuzi

Tanzania yashiriki Mkutano wa Kamisheni ya 63 ya Dawa za Kulevya ya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Dawa za Kulevya na Jinai (UNODC) jijini Vienna, Austria

Kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Madawa ya Kulevya Bw.james Kaji akiwasilisha hotuba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Mkutano wa Kamisheni ya 63 ya Dawa za Kulevya ya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Dawa za Kulevya na Jinai (UNODC) kuhusu utekelezaji wa mikataba mbalimbali ya Kimataifa ya Madawa ya Kulevya. Tanzania katika mkutano huu, unaofanyika Vienna, Austria,imekuwa ni mfano bora wa namna ambavyo wameweza kujiimarisha katika Mapambano Dhidi ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kamati ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya yajadili Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Dawa za Kulevya ya mwaka 2014

PIX 1

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia mambo ya Bunge, Sera na Uratibu Mhe. William Lukuvi akifungua kikao cha Kamati ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya kujadili Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Dawa za Kulevya ya mwaka 2014 kilichofanyika 22/01/2015 katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.

PIX 2

Baadhi ya wadau toka Taasisi mbalimbali zisizo za Kiserikali wakichangia mada kupitia vifungu mbalimbali vya Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Adhabu kali si dawa ya dawa za kulevya

Hakuna "uhusiano wa moja kwa moja" kati ya adhabu kali na hatua za kukomesha matumizi ya dawa za kulevya.

 

11 years ago

Mwananchi

2013 : Ulikuwa mwaka wa mapinduzi katika Tehama, kilimo

Sayansi na teknolojia, ni sekta inayokua kwa kasi zaidi duniani. Kila kukicha wanasayansi wanavumbua vitu vipya vinavyoifanya dunia kuwa kijiji kimoja kiutendaji, hasa upande wa mawasiliano.

 

10 years ago

Mwananchi

Biashara ya dawa za kulevya

alum Zakwa ni mfanyabiashara mkubwa wa dawa za kulevya. Hii ni biashara inayompatia fedha nyingi sana ambazo zimemfanya awe tajiri mkubwa katika jiji la Dar  es Salaam. Biashara hii ameifanya kwa siri kubwa na ni watu wachache wanaojua siri hii mbali na vijana wake wawili Vasco na Liston. Endelea kusoma …

 

10 years ago

Michuzi

Mh. Lukuvi atoa taarifa ya Hali ya Madawa ya Kulevya nchini kwa Mwaka 2013


Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera,Uratibu na Bunge),Mh. William Lukuvi akisoma taarifa ya Hali ya Madawa ya Kulevya nchini kwa Mwaka 2013,wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari (hawapo pichani) Mjini Dodoma leo.
Sehemu ya waandishi wa habari wakiwa kwenye mkutano huo.Kitabu cha Kurasa 56 chenye taarifa ya Hali ya Dawa za Kulevya kwa Mwaka 2013.Baadhi ya picha za vielelezo ndani ya taarifa hiyo.Picha na Deusdedit Moshi,Globu ya Jamii,Kanda ya Kati.

 

9 years ago

Habarileo

Dawa za kulevya tishio Z’bar

KUONGEZEKA kwa matumizi ya dawa za kulevya kwa vijana kunatajwa kama moja ya sababu kubwa za kuwepo kwa idadi kubwa ya wagonjwa wenye matatizo ya akili Zanzibar.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani