Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DAWASA yapanua Ruvu Juu

MAMLAKA ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam imeanza upanuzi mkubwa wa mtambo wa Ruvu Juu, ikiwemo kujenga chujio mpya.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Bodi ya DAWASA yatembele Mirani ya Maji Ruvu chini na Ruvu juu leo

Bodi ya Wakurugeni ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) leo Agosti 20,2014 imefanya ziara ya kutembelea Miradi yao ya Maji ya Ruvu Juu na Ruvu Chini ili kujionea maendeleo ya ukarabati wa Miradi hiyo miwili ambayo ilikuwa katika ukarabati.Katika ziara hiyo Bodi hiyo ya DAWASA imeridhishwa na upanuzi wa Mtambo wa Maji wa Ruvu chini ambao kwa sasa umekamilika kabisa huku ukiwa na uhakika wa kutoa maji ujazo wa Lita Milioni 270 kwa siku.Meneja Miradi wa Kampuni ya Megha...

 

11 years ago

Habarileo

Upanuzi mitambo Ruvu Juu, Ruvu Chini waenda kasi

UHABA wa maji kwa wakazi wa Mkoa wa Dar es Salaam na mikoa mingine inayohudumiwa na mitambo ya maji ya Ruvu Juu na Ruvu Chini unatajwa utakuwa historia kutokana na Serikali kuanza upanuzi wa mitambo hiyo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Google yapanua mabawa anga za juu

Google imetupa macho yake katika anga za juu na kujitosa katika nyanja ya teknolojia ya anga za juu

 

5 years ago

Michuzi

DAWASA WAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE KWA KUSHIRIKI UZALISHAJI MAJI MTAMBO WA RUVU CHINI

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii
Katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani, Mamlaka ya maji safi na Usafi Dar es Salaam na Pwani DAWASA kwa watendaji wanawake kuhusika katika uzalishaji wa maji.
Wanawake wa Dawasa wameshiriki katika uzalishaji maji katika chanzo cha maji cha Ruvu Chini.
Akizungumzia Siku ya wanawake ambayo huadhimishwa Machi 08 kila mwaka, Mkurugenzi wa Mahusiano na Jamii Dawasa , Neli Msuya amesema wameamua kushiriki maadhimisho hayo kwa kwenda chanzo cha Ruvu Chini ili...

 

11 years ago

Habarileo

Mtambo Ruvu Juu kupanuliwa

SERIKALI imeanza kupanua mtambo wa maji wa Ruvu Juu ili kuongeza uzalishaji maji kutoka lita milioni 82 hadi milioni 196 kwa siku, imeelezwa. Pia imeelezwa kuwa ukosefu wa malighafi, umesababisha matengenezo ya mtambo huo uliopo Mlandizi Wilaya ya Kibaha, kuchelewa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mnyika ataka matokeo ya uchunguzi Ruvu Juu

MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika, ameitaka Wizara ya Maji kuueleza umma juu ya matokeo ya uchunguzi wa kubaini kama tatizo linalojirudia kwenye mtambo wa maji wa Ruvu Juu ni masuala...

 

10 years ago

Michuzi

MTAMBO WA MAJI RUVU JUU WAPATA HITILAFU

Shirika la Maji Safi na Majitaka Dar-es-salaam (DAWASCO), linawatangazia  wakazi wa KIMARA na TABATA; Miji ya Kibaha na Mlandizi mkoani Pwani  kuwa, tangu Jumapili ya Tarehe 01/03/2015 Mtambo wa kuzalisha Maji wa Ruvu Juu  umepata hitilafu baada ya bomba la Majighafi (Raw-Water) kuachia kwenye moja ya chemba ya kuchukulia Maji eneo la Mtamboni.  Hali hii imelazimu kuzima Mtambo wa Ruvu Juu. 
Mafundi wa DAWASCO wanaendelea na matengenezo ili kuhakikisha  Huduma ya  Maji inarejea katika hali ya...

 

10 years ago

Michuzi

DAWASCO YATOA TAARIFA YA KUZIMWA KWA MTAMBO WA RUVU JUU

SHIRIKA LA MAJISAFI NA MAJITAKA DAR ES SALAAM (DAWASCO) INAWATANGAZIA WAKAZI WA JIJI LA DAR ES SALAAM NA KIBAHA MKOANI PWANI KUWA MTAMBO WA KUZALISHA MAJI WA RUVU JUU UTAZIMWA KWA WASTANI WA SAA 12 KUANZIA SAA 12:00 ASUBUHI HADI SAA 12:00 JIONI KWA SIKU YA IJUMAA 20/02/2015.
MTAMBO YA RUVU JUU UTAZIMWA ILI KUMRUHUSU MKANDARASI KUFANYA SHUGHULI ZA UPANUZI WA MTAMBO.
KUZIMWA KWA MTAMBO WA RUVU JUU KUTASABABISHA MAENEO YAFUATAYO KUKOSA MAJI;
MLANDIZI, KIBAHA, KIBAMBA, KILUVYA, KONGOWE, MISUGUSUGU,...

 

9 years ago

Dewji Blog

DC wa Kinondoni Paul Makonda atembelea mradi wa ujenzi wa bomba la maji kutoka Ruvu juu!

04

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda (wa kwanza kushoto) akiwa na baadhi viongozi wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) na viongozi wa ulinzi na usalama wilaya ya Kinondoni walipotembelea na kujionea maeneo yaliyojengwa kuzunguka matenki ya maji Kimara mwishoni mwa wiki jijini Dar es salaam. Wa kwanza kulia ni Meneja wa Miundombinu Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) Mhandisi John Kirecha.

Na Eleuteri Mangi – MAELEZO

Mkuu wa Wilaya ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani