Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DC awashukia maofisa ushirika kuwa kikwazo

Mkuu wa Wilaya ya Masasi, mkoani Mtwara, Farida Mgomi amewashukia maofisa ushirika wilayani hapa kwamba ni chanzo cha kufanya halmashauri kushindwa kukusanya mapato ya ushuru wa mazao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Ubadhirifu kikwazo cha Ushirika kushamiri

IMG_6069

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti wa Kiuchumi na Kijamii (ESRF), Dk. Tausi Kida na Mkurugenzi Msaidizi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP) Tanzania, (Ushauri na Miradi), Amon Manyama wakipitia makabrasha ya mafunzo ya siku moja juu ya Uimarishaji  wa Ushirika wa Akiba na Mikopo kwa Viongozi wa Vyama vya Ushirika (SACCOS na VICOBA) na Maafisa Ushirika wa  kutoka Wilaya za Bunda, Bukoba na Sengerema yaliyoandaliwa na ESRF na kufadhiliwa na Shirika la Maendeleo (UNDP)...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mrajis kikwazo kwa vyama vya ushirika

BAADHI ya wanaushirika nchini wanaichukulia nafasi ya Mrajis wa Vyama vya Ushirika kuwa ipo kuukwamisha ushirika. Pia wapo wanaodhani kwamba cheo hicho kilianzishwa baadaye kabisa, kama moja ya mikakati ya...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Maofisa ushirika watakiwa kuisimamia sheria mpya

KAIMU Katibu Tawala mkoani Mtwara, Johansen Bukwali, amewataka maofisa ushirika nchini kuijua vizuri na kuisimamia sheria mpya ya Vyama vya Ushirika namba 6 ya mwaka 2013, kwani vyama hivyo vina...

 

9 years ago

BBCSwahili

Uturuki yadaiwa kuwa na ushirika na IS

Urusi imeshutumu Uturuki kwa kuishambulia ndege yake ya kivita ili kulinda biashara yake ya mafuta na Wanamgambo

 

9 years ago

StarTV

Dhana kuwa ugonjwa utokomezaji saratani:hautibiki kikwazo

Dhana potofu iliyojengeka katika jamii kuwa Saratani ya Matiti haitibiki na mtu anapopata ugonjwa huo lazima afe vinatajwa kuwa changamoto kubwa kwenye vita dhidi ya utokomezaji wa saratani nchini.

Jamii kubwa ya Tanzania hususani vijijini inadaiwa kuwa haina uelewa wa kutosha juu ya saratani ya matiti na wengi wao huihusisha na imani za kishirikina.

Idadi kubwa ya Wanawake wamebainika kuwa huishi na ugonjwa wa Saratani ya Matiti kwa muda mrefu bila kujitambua.

Wengi wao hujitambua pindi...

 

10 years ago

Mwananchi

5 years ago

Michuzi

MRAJIS AWATAKA MAAFISA USHIRIKA KUIMARISHA USIMAMIZI WA VYAMA VYA USHIRIKA


Mrajis wa Vyama vya Ushirika Tanzania Bara, Dkt. Benson Ndiege (wa sita kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya maafisa ushirika na wajumbe wa bodi ya Chama kikuu cha Ushirika mkoa wa Simiyu(SIMCU) mara baada ya kuhitimisha kikao na wajumbe hao wakati wa ziara yake ya siku moja mkoani humo Juni 09, 2020.
Mrajis wa Vyama vya Ushirika Tanzania Bara, Dkt. Benson Ndiege(kushoto) akizungumza na Maafisa Ushirika wa Mkoa wa Simiyu wakati wa ziara yake mkoani humo Juni 09, 2020

 

10 years ago

Mtanzania

JK awashukia mabalozi

Rais Jakaya Kikwete

Rais Jakaya Kikwete

NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

RAIS Jakaya Kikwete amesema kuna ushahidi unaothibitisha baadhi ya mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini,wamekuwa wakichaganya dini na siasa na hata kutumia udini kuunga mkono shughuli za baadhi ya vyama vya siasa.

Kutokana na hali hiyo, amewaomba mabalozi hao kuiokoa Tanzania katika majanga makubwa yanayoweza kuipata kwa kutumia dini kuendeleza siasa, hatua ambayo amesema ni ya hatari.

Rais Kikwete alitoa kauli hiyo juzi wakati...

 

11 years ago

Tanzania Daima

DC awashukia wafugaji

 MKUU wa Wilaya (DC) ya Kiteto, Martha Umbula, amewashukia wafugaji wa jamii ya Kimasai kuwa ni wakorofi na ndiyo maana kunatokea majanga kati ya wakulima na wafugaji. Amesema jamii hiyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani