Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK awashukia mabalozi

Rais Jakaya Kikwete

Rais Jakaya Kikwete

NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

RAIS Jakaya Kikwete amesema kuna ushahidi unaothibitisha baadhi ya mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini,wamekuwa wakichaganya dini na siasa na hata kutumia udini kuunga mkono shughuli za baadhi ya vyama vya siasa.

Kutokana na hali hiyo, amewaomba mabalozi hao kuiokoa Tanzania katika majanga makubwa yanayoweza kuipata kwa kutumia dini kuendeleza siasa, hatua ambayo amesema ni ya hatari.

Rais Kikwete alitoa kauli hiyo juzi wakati...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

DC awashukia wafugaji

 MKUU wa Wilaya (DC) ya Kiteto, Martha Umbula, amewashukia wafugaji wa jamii ya Kimasai kuwa ni wakorofi na ndiyo maana kunatokea majanga kati ya wakulima na wafugaji. Amesema jamii hiyo...

 

9 years ago

Mwananchi

Kubenea awashukia NEC

Mgombea Ubunge Jimbo la Ubungo kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Saed Kubenea amefichua mbinu za Tume ya uchaguzi (NEC) kukutana na mgombea ubunge kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Ukumbi wa Kilimanjaro Hoteli.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Machali awashukia wazee CCM

WAZEE wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wametakiwa kuacha kujifanya wao ndiyo magwiji na walimu wa muungano kuliko wengine. Kauli hiyo ilitolewa mjini hapa jana na Mjumbe wa Bunge Maalumu la...

 

11 years ago

Mwananchi

Kinana awashukia wawekezaji Hanang’

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahaman Kinana amesema wawekezaji kutoka nje walioshindwa kuyaendeleza mashamba ya ngano ya Bassotu na Wareti, wilayani Hanang mkoani Manyara, watanyanganywa mashamba hayo.

 

11 years ago

Mwananchi

Mkosamali awashukia Kikwete, Makinda

 Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Felix Mkosamali (pichani chini), jana alirusha tuhuma kwa Rais Jakaya Kikwete na Spika wa Bunge Muungano, Anne Makinda akidai kuwa ni viongozi vigeugeu kutokana na kutaka mfumo wa serikali mbili.

 

10 years ago

Mtanzania

Mangula awashukia wasaliti CCM

MangulaNa Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

MAKAMU Mwenyekiti wa CCM (Bara), Philip Mangula amesema chama hicho kamwe hakitawafumbia macho viongozi wasaliti wasiokitakia mema chama hicho.
Amesema wanachama wake, wanatakiwa kuwafichua viongozi wa aina hiyo ili kukinusuru kisipoteze nafasi za majimbo na udiwani katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba, mwaka huu.
“Endapo mwanachama au kiongozi, akibainika kufanya hujuma dhidi ya chama, atachukuliwa hatua kali ikiwemo ya kufukuzwa uanachama, CCM haina...

 

10 years ago

Mwananchi

Kinana awashukia viongozi goigoi

 Viongozi wanaotokana na Chama cha Mapinduzi (CCM), wametakiwa kushughulikia matatizo ya wananchi badala ya kuunda kamati kwa ajili ya kufuatilia makosa yanayofanywa na baadhi ya watendaji.

 

11 years ago

Mwananchi

Mutungi awashukia viongozi wa vyama

Viongozi wakuu wa Kitaifa wa CCM, Chadema, CUF na NCCR –Mageuzi wametakiwa kuweka kando tofauti zao ili kunusuru mchakato wa kupatikana Katiba mpya.

 

9 years ago

Mwananchi

Waziri awashukia watendaji mgodini

Waziri wa Nishati ya Madini, George Simbachawene amewataka wawakilishi wa Serikali kwenye Mgodi wa Tanzanite One kutekeleza wajibu wa kulinda masilahi ya Taifa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani