Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkosamali awashukia Kikwete, Makinda

 Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Felix Mkosamali (pichani chini), jana alirusha tuhuma kwa Rais Jakaya Kikwete na Spika wa Bunge Muungano, Anne Makinda akidai kuwa ni viongozi vigeugeu kutokana na kutaka mfumo wa serikali mbili.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Kikwete awashukia vigogo Kinondoni

Dar es Salaam. Rais Jakaya Kikwete amewashukia watendaji wa Wilaya ya Kinondoni kwa kushindwa kuondoa maji yaliyozingira makazi ya watu eneo la Tegeta Basihaya, Dar es Salaam.

 

11 years ago

TheCitizen

Nothing personal, says Mkosamali

Constituent Assembly member Felix Mkosamali says there is nothing personal between him and NCCR-Mageuzi chairman James Mbatia.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mkosamali amlipua Mangula

MBUNGE wa Muhambwe mkoani hapa, Felix Mkosamali (NCCR Mageuzi), amemlipua Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Philip Mangula akidai kuwa ameondoka katika hoteli aliyofikia bila kulipa pango. Akihutubia mamia...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mkosamali atibua Bunge

MBUNGE wa Mhambwe, Felix Mkosamali (NCCR-Mageuzi), amezua mjadala mkali bungeni kwa kuishambulia Serikali ya CCM akidai kuwa mawaziri wake wamekuwa wakitoa majibu mepesi yasiyo na mashiko. Mkosamali alitoa kauli hiyo...

 

11 years ago

Mwananchi

Mkosamali ailipua kamati ya Chenge

Mbunge wa Muhambwe (NCCR –Mageuzi), Felix Mkosamali amesema Kamati ya Bajeti ya Bunge haina kazi ya kufanya badala yake imegeuka pango la ufisadi na kupendekeza ifutwe mara moja kwa kuwa inawachanganya wabunge huku ikitafuna fedha za walipa kodi bila huruma.

 

11 years ago

GPL

DAVINA AKUNWA NA MHE. MKOSAMALI

Na Hamida Hassan
MSANII wa filamu, Halima Yahaya ‘Davina’ amekunwa na maneno ya Mheshimiwa Felix Mkosamali, Mbunge wa Muhambwe mkoani Kigoma aliyoyatoa juzi bungeni ya kutaka serikali iweke mikakati madhubuti ili kulinda haki za wasanii wa filamu nchini. Msanii wa filamu Bongo, Halima Yahaya ‘Davina’. Akizungumza na Ijumaa juzi Davina alisema, amejisikia faraja sana kuona kiongozi huyo anaumizwa na...

 

10 years ago

Mwananchi

Mkosamali atiwa mbaroni Kigoma

Mbunge wa Muhambwe, Felix Mkosamali amekamatwa na polisi kwa tuhuma za kuchukua madodoso ya kuandikisha wakazi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.

 

10 years ago

Habarileo

‘Mkosamali acha kauli za kebehi’

SERIKALI imemtaka Mbunge wa Muhambwe, Felix Mkosamali (NCCRMageuzi) kuacha kauli za kebehi na kutembelea vyuo vya umma, kuona namna ambavyo serikali imeendelea kuboresha mazingira ya vyuo hivyo pamoja na kuwepo na mtiririko mdogo wa fedha katika bajeti kusudiwa.

 

10 years ago

Mwananchi

Mkosamali apandishwa kizimbani Kigoma

Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma, Felix Mkosamali amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kibondo akikabiliwa na shtaka la kumzuia karani mwandikishaji kufanya kazi yake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani