Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkosamali ailipua kamati ya Chenge

Mbunge wa Muhambwe (NCCR –Mageuzi), Felix Mkosamali amesema Kamati ya Bajeti ya Bunge haina kazi ya kufanya badala yake imegeuka pango la ufisadi na kupendekeza ifutwe mara moja kwa kuwa inawachanganya wabunge huku ikitafuna fedha za walipa kodi bila huruma.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Kamati za Bunge zawagwaya kina Chenge, Ngeleja

Wajumbe wa kamati tatu za Kudumu za Bunge ambazo wenyeviti wake wanatakiwa kuvuliwa nyadhifa zao kutokana na kuhusika katika kashfa ya Akaunti ya Tegeta Escrow, ‘wanasuasua’ kuwaondoa na kuchagua viongozi wengine.

 

10 years ago

Vijimambo

KASHFA YA ESCROW ZAMNG’OA CHENGE RASMI...ATANGAZA KUACHIA NAFASI YA UWENYEKITI WA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA BAJETI

PIX 3.






WAKATI Watanzania wakisubiri hatima ya Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, ambaye Rais Jakaya Kikwete alisema anamuweka kiporo kutokana na kashfa ya uchotwaji wa zaidi ya Sh bilioni 300 kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow, Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, Andrew Chenge, ametangaza rasmi kuachia nafasi hiyo.
Bunge lililopita baada ya kujadili ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kuhusu miamala iliyofanyika kwenye Akaunti ya Tegeta...

 

10 years ago

Mwananchi

Mbowe ailipua Serikali kuhusu bandari bubu nchini

Mwenyekiti wa Chacha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amesema kuwa uwepo wa bandari bubu zinazopitisha bidhaa kwa magendo kutoka nje ni miongoni mwa sababu zinazoua viwanda vya sukari hapa nchini.

 

10 years ago

GPL

CHENGE, CHENGE, CHENGE TENA?

Makala: Ojuku Abraham
KAMA Mwalimu Julius Kambarage Nyerere angekuwa bado anatawala nchi hii, ni watu wachache sana wangeweza kulijua jina la Andrew Chenge, yule mwanasheria mkuu wa zamani wa serikali, aliyekaa katika ofisi hiyo kubwa na yenye heshima, kuanzia mwaka 1993 hadi 2005. Lakini katika nchi ambayo inaendeshwa kwa hila na dili, jina hili linajipatia umaarufu na kuenziwa, bila kujali ni kwa kiasi gani, Watanzania zaidi...

 

11 years ago

TheCitizen

Nothing personal, says Mkosamali

Constituent Assembly member Felix Mkosamali says there is nothing personal between him and NCCR-Mageuzi chairman James Mbatia.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mkosamali atibua Bunge

MBUNGE wa Mhambwe, Felix Mkosamali (NCCR-Mageuzi), amezua mjadala mkali bungeni kwa kuishambulia Serikali ya CCM akidai kuwa mawaziri wake wamekuwa wakitoa majibu mepesi yasiyo na mashiko. Mkosamali alitoa kauli hiyo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mkosamali amlipua Mangula

MBUNGE wa Muhambwe mkoani hapa, Felix Mkosamali (NCCR Mageuzi), amemlipua Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Philip Mangula akidai kuwa ameondoka katika hoteli aliyofikia bila kulipa pango. Akihutubia mamia...

 

10 years ago

Habarileo

‘Mkosamali acha kauli za kebehi’

SERIKALI imemtaka Mbunge wa Muhambwe, Felix Mkosamali (NCCRMageuzi) kuacha kauli za kebehi na kutembelea vyuo vya umma, kuona namna ambavyo serikali imeendelea kuboresha mazingira ya vyuo hivyo pamoja na kuwepo na mtiririko mdogo wa fedha katika bajeti kusudiwa.

 

11 years ago

GPL

DAVINA AKUNWA NA MHE. MKOSAMALI

Na Hamida Hassan
MSANII wa filamu, Halima Yahaya ‘Davina’ amekunwa na maneno ya Mheshimiwa Felix Mkosamali, Mbunge wa Muhambwe mkoani Kigoma aliyoyatoa juzi bungeni ya kutaka serikali iweke mikakati madhubuti ili kulinda haki za wasanii wa filamu nchini. Msanii wa filamu Bongo, Halima Yahaya ‘Davina’. Akizungumza na Ijumaa juzi Davina alisema, amejisikia faraja sana kuona kiongozi huyo anaumizwa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani