DC Momba awataka wafanyabiashara Tunduma wasiogope mikopo
\Tanzania (TPB) ikiwa ni jitihada za benki hiyo kutoa elimu ya namna ya kutumia mikopo na kuelezea fursa zilizopo katika Benki hiyo Tundumasize-full wp-image-54380" /> Baadhi ya washiriki katika mafunzo kwa wajasilia mali yaliyotolewa na Benki ya Posta Tanzania (TPB) ikiwa ni jitihada za benki hiyo kutoa elimu ya namna ya kutumia mikopo na kuelezea fursa zilizopo katika Benki hiyo Tunduma. Mkuu wa Wilaya ya Momba Abiudy Saideya akizungumza katika mafunzo kwa wajasiliamali yaliyotolewa na...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima16 Sep
Wafanyabiashara Tunduma watishia kugoma
WAFANYABIASHARA wa Samaki na Dagaa Mamlaka ya mji wa Tunduma wilayani Momba mkoani Mbeya wamekusudia kugoma kutoa huduma kwa lengo la kuishinikiza serikali kupunguza viwango vya ushuru wa bidhaa hiyo....
5 years ago
Michuzi
RC MONGELLA AWATAKA WAFANYABIASHARA KULIPA KODI KWA WAKATI
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella amewataka wafanyabiashara kutumia fursa ya kampeni ya elimu kwa mlipakodi inayoendelea mkoani hapa kulipa kodi kwa wakati ili kuiwezesha Serikali kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo huku wafanyabiashara hao wakiishukuru Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa zoezi hilo ambalo linawaleta karibu walipakodi na wakusanya kodi.
Akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kampeni hiyo ambayo imeanza June 15 hadi 22 mwaka...
11 years ago
Michuzi24 Apr
MWAKALEBELA AWATAKA WAJASILIAMALI IRINGA KUEPUKA MATAPELI KATIKA MIKOPO YA BENKI YA WANAWAKE TANZANIA
5 years ago
Michuzi
DC MASASI AWATAKA WAFANYABIASHARA KUCHANGAMKIA FURSA NA NBC BIASHARA CLUB
Mzee amesema, Kuanzishwa kwa NBC Biashara Club liwe ni ni zoezi endelevu ili liweze kuleta tija katika mkoa wa Masasi.
Ameongeza kusema kuwa, kadri watakavyo hudumia wafanyabiashara ndivyo watakavyozidi kuleta fedha kwenye benki.
"Wafanyabiashara wa Masasi wawe makini nkuchangamkia fursa zinazojitokeza ili muweze...
10 years ago
BBCSwahili01 Oct
Michelle Obama ahimiza wasichana wasiogope wavulana
10 years ago
Michuzi
WAFANYABIASHARA MANISPAA YA SUMBAWANGA WALALAMIKIA KODI MBALIMBALI SERIKALINI, MKUU WA MKOA WA RUKWA AWATAKA KUWA WAZALENDO KULIPA KODI KWA HIARI KUJENGA NCHI YAO

10 years ago
GPLBODI YA MIKOPO ELIMU YA JUU YAELEZEA UREJESHWAJI WA MIKOPO
10 years ago
Vijimambo
BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU YASOGEZA MBELE TAREHE YA MWISHO YA KUPOKEA MAOMBI YA MIKOPO

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inapenda kuwafahamisha Waombaji wa mikopo na Umma kwa ujumla kuwa muda wa kuwasilisha maombi ya mikopo umeongezwa mbele hadi tarehe 31 Julai, 2015.
Hatua hii imechukuliwa ili kuwapa fursa wale ambao kwa sababu mbalimbali hawakuweza kufanya maombi ya mikopo katika muda uliopangwa. Itakumbukwa kuwa, awali Bodi ilianza kupokea maombi kwa njia ya mtandao tarehe 4 Mei, 2015 na mwisho wa kuwasilisha maombi ulipangwa kuwa tarehe 30 Juni, 2015.
Kupitia...
5 years ago
Michuzi
BODI YA MIKOPO YATAKIWA KUWA TAYARI KUTOA MIKOPO KWA WANAFUNZI PINDI VYUO VITAKAPOFUNGULIWA


