Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DCI awasilisha jalada la Mbowe kwa DPP

Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai(DCI), Isaya Mungulu amesema jalada la upelelezi wa kesi ya mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe limeshakabidhiwa kwa Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) kwa ajili ya kumfikisha mahakamani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

DPP AWASILISHA MAOMBI MAHAKAMA YA MAFISADI KUTAKA AKAUNTI MBILI ZENYE SHILINGI BILIONI 16.7 ZA UPATU ZIWE MALI YA SERIKALI

Na Karama Kenyunko, Michuzi Globu ya Jamii.
MKURUGENZI Mashtaka nchini (DPP) Biswalo Mganga amewasilisha maombi katika Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi ( Mahakama ya Mafisadi), ya kuomba kutaifishwa kwa akaunti mbili za USD na moja ya EURO zenye jumla ya Shilingi bilioni 16.7 za upatu kuwa mali ya Serikali kutokana na washtakiwa hao raia wa kigeni kutofika mahakamani
Washtakiwa hao ni  raia wa Ujerumani Manon Huebenthal na raia wa Uingereza Frank Ricket ambapo...

 

10 years ago

Mwananchi

Usikinunie kitabu kwa sasabu ya jalada lake

Bibi Mlevi ameanza kuwa na wasiwasi kwamba, ati mimi nina mpango wa kugombea Uaskofu! Hii ilitokea nilipogombana na kuwatimua watoa pepo waliotuvamia nyumbani.

 

10 years ago

Mtanzania

Jalada kesi ya Zitto laitwa kwa Jaji Kiongozi

kabweNa Mwandishi Wetu, Dar es Salam
SAKATA la kufukuzwa uanachama kwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema), limechukua sura mpya baada ya Jaji Kiongozi, Shabani Lila kuitisha jalada la kesi yake hali inayoonyesha kupitiwa upya kwa kesi hiyo.
Wiki hii Mahakama Kuu ilitupilia mbali ombi la Zitto la kutaka Kamati Kuu ya Chadema kutomjadili na hatimaye kumfukuza uanachama wake baada ya makada wenzake, Samson Mwigamba aliyekuwa Mwenyekiti wa Mkoa wa Arusha na Profesa Kitila Mkumbo...

 

10 years ago

Mwananchi

UTATA: Jalada la kesi ladaiwa kuibiwa kwa msajili

>Uzembe unadaiwa kufanywa Mahakama Kuu, Kanda ya Moshi, baada ya jalada moja la kesi kudaiwa kuibwa katika mazingira tata kutoka ofisi ya msajili wa wilaya.

 

5 years ago

CCM Blog

DIWANI WA SINZA CHADEMA AMALIZA UDIWANI WAKE KWA KWENDA 'ROKAPU' NA KUFUNGULIWA JALADA TAKUKURU KWA KUDAIWA KULAMBA FEDHA ZA KINAMAMA

Godfrey Chikandamwali Na Bashir Nkoromo 
Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Sinza kwa tiketi ya Chadema Godfrey Chikandamwali jana, alimaliza udiwani wake kwa kuwekwa 'rokapu' na Polisi na kisha kufunguliwa jalada TAKUKURU, kwa amri ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Kisare Makori, kwa tuhuma za kukaidi wito wa mkuu huyo wa wilaya na pia kutafuna mamilioni ya fedha za kikundi cha kina mama.

Akizungumza kwenye Kikao cha mwisho cha Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo Mkuu huyo wa Wilaya...

 

11 years ago

Habarileo

Anayedaiwa mwanachama Al Shabaab apelekwa kwa DCI

MSHITAKIWA anayekabiliwa na kesi ya kuwa mwanachama wa kundi la kigaidi la Al Shabaab, Mussa Mtweve, amepelekwa kwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) kwa ajili ya mahojiano.

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI HAMZA AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO KWA MFALME WA JORDAN .

Balozi wa Tanzania nchini Jordani mwenye makazi yake mji wa Cairo nchini Misri Mhe. Mohammed Hamza Mohammed akiwasilisha Hati za Utambulisho kwa Mfalme Abdallah II wa Jordan.Balozi Hamza akimsikiliza Mfalme Abdallah II mara baada ya kumaliza kuwasilisha Hati za Utambulisho.

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA FEDHA AWASILISHA BUNGENI BAJETI KWA MWAKA 2015/16

Waziri wa Fedha, Mhe. Saada Salum Mkuya (Mb) akionyesha Begi la Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2015/16 wakati anawasili katika Viwanja vya Bunge, Mjini Dodoma leo. Waziri wa Fedha, Mhe. Saada Salum Mkuya (MB) akiwasilisha bungeni Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2015/16, Mjini Dodoma leo.

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI DORA MSECHU AWASILISHA HATI ZAKE ZA UTAMBULISHO KWA MFALME WA SWEDEN, AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO SWEDEN NA KUPOKELEWA KWA SHANGWE

 Balozi mpya wa Tanzania nchini Sweden Mhe. Dorah Msechu akisindikizwa kuingia kwenye kasri ya Mfalme wa Sweden ili kuwasilisha hati zake za utambulisho.  Balozi mpya wa Tanzania nchini Sweden Mhe. Dorah Msechu na ujumbe wake wakiwa katika picha ya pamoja na Mfalme wa Sweden  kasri ya Mfalme wa Sweden akipofika kuwasilisha hati zake za utambulisho.   Balozi mpya wa Tanzania nchini Sweden Mhe. Dorah Msechu akipeana mikono na Mfalme wa Sweden baada ya kuwasilisha hati za utambulishoBaada ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani