Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Usikinunie kitabu kwa sasabu ya jalada lake

Bibi Mlevi ameanza kuwa na wasiwasi kwamba, ati mimi nina mpango wa kugombea Uaskofu! Hii ilitokea nilipogombana na kuwatimua watoa pepo waliotuvamia nyumbani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

DCI awasilisha jalada la Mbowe kwa DPP

Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai(DCI), Isaya Mungulu amesema jalada la upelelezi wa kesi ya mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe limeshakabidhiwa kwa Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) kwa ajili ya kumfikisha mahakamani.

 

10 years ago

Mtanzania

Jalada kesi ya Zitto laitwa kwa Jaji Kiongozi

kabweNa Mwandishi Wetu, Dar es Salam
SAKATA la kufukuzwa uanachama kwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema), limechukua sura mpya baada ya Jaji Kiongozi, Shabani Lila kuitisha jalada la kesi yake hali inayoonyesha kupitiwa upya kwa kesi hiyo.
Wiki hii Mahakama Kuu ilitupilia mbali ombi la Zitto la kutaka Kamati Kuu ya Chadema kutomjadili na hatimaye kumfukuza uanachama wake baada ya makada wenzake, Samson Mwigamba aliyekuwa Mwenyekiti wa Mkoa wa Arusha na Profesa Kitila Mkumbo...

 

10 years ago

Mwananchi

UTATA: Jalada la kesi ladaiwa kuibiwa kwa msajili

>Uzembe unadaiwa kufanywa Mahakama Kuu, Kanda ya Moshi, baada ya jalada moja la kesi kudaiwa kuibwa katika mazingira tata kutoka ofisi ya msajili wa wilaya.

 

5 years ago

CCM Blog

DIWANI WA SINZA CHADEMA AMALIZA UDIWANI WAKE KWA KWENDA 'ROKAPU' NA KUFUNGULIWA JALADA TAKUKURU KWA KUDAIWA KULAMBA FEDHA ZA KINAMAMA

Godfrey Chikandamwali Na Bashir Nkoromo 
Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Sinza kwa tiketi ya Chadema Godfrey Chikandamwali jana, alimaliza udiwani wake kwa kuwekwa 'rokapu' na Polisi na kisha kufunguliwa jalada TAKUKURU, kwa amri ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Kisare Makori, kwa tuhuma za kukaidi wito wa mkuu huyo wa wilaya na pia kutafuna mamilioni ya fedha za kikundi cha kina mama.

Akizungumza kwenye Kikao cha mwisho cha Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo Mkuu huyo wa Wilaya...

 

10 years ago

StarTV

Umoja wa Vijana Geita wazindua kitabu maalumu je wajua kitabu gani?

Marafiki wa Magufuli Kanda ya Ziwa kupitia Umoja wa Vijana Mkoa wa Geita wamezindua kitabu maalum kiitwacho TINGATINGA ikiwa ni sehemu mojawapo ya kampeni ndani na nje ya mkoa huo kitakachomnadi mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Dokta John Magufuli.

 Vijana hao wamesema kitabu cha TINGATINGA kitasaidia wananchi kumjua kiundani Dokta Magufuli kwa kuwa kitasambazwa mijini na vijijini wakiwa na imani kuwa watakaosoma na kukielewa kitabu hicho watafanya maamuzi sahihi kwa...

 

10 years ago

GPL

JALADA LA LOWASA KUWEKWA HADHARANI

Edward Lowassa Na Mwandishi Wetu  DHORUBA ya kisiasa ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu, inazidi kutibua mawimbi kufuatia kunaswa kwa harakati za kuchafuana miongoni mwa wagombea wa nafasi ya urais kupitia chama hicho. Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali nchini, imebainika kuwa pamoja na watangaza nia wengine kuwindwa na mkakati huu, mlengwa mkuu ni waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa...

 

11 years ago

Mwananchi

Washtakiwa wahoji lilipo jalada lao

>Mshtakiwa Makongoro Joseph Nyerere anayekabiliwa na kesi ya mauaji ya kukusudia ya mfanyabiashara wa madini, Onesphory Kituli, ameutaka  upande wa mashtaka kuwa wazi kuhusu upelelezi wa kesi yao na iwapo jalada lao kama lipo kwa DPP ama kwa RCO.

 

11 years ago

Mwananchi

Mbunge awafungulia jalada vigogo wa Halmashauri Babati

Mbunge wa Viti Maalumu katika Mkoa wa Manyara, Pauline Gekul (Chadema), ametoa taarifa polisi kuhusu kile alichodai kuwa ni kushambuliwa, kudhalilishwa na kuporwa Sh5 milioni, alikodai kuwa kumefanywa na viongozi wawili wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani