Washtakiwa wahoji lilipo jalada lao
>Mshtakiwa Makongoro Joseph Nyerere anayekabiliwa na kesi ya mauaji ya kukusudia ya mfanyabiashara wa madini, Onesphory Kituli, ameutaka upande wa mashtaka kuwa wazi kuhusu upelelezi wa kesi yao na iwapo jalada lao kama lipo kwa DPP ama kwa RCO.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo03 Mar
Wawakilishi Zanzibar wahoji Baraza lao
WAKATI Bunge Maalumu la Katiba, likitarajiwa kukutana leo kuamua kura gani itumike katika uamuzi wa mwisho wa kupitisha Katiba itakayopendekezwa kwa wananchi, wawakilishi wanachama wa CCM, wameibuka na kuhoji maoni ya Baraza la Wawakilishi kwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/j2M1I3T7jzlHdf*-WP*p3wVytfxWF1M3qfnRwoCCFWooaB*azwXbM5Hq2o79CHlLb1RT8EFHMNhpCmEoFGkTUL3kYnljA5OB/LOWASSAEdward.jpg?width=650)
JALADA LA LOWASA KUWEKWA HADHARANI
11 years ago
Mwananchi01 Feb
Mbunge awafungulia jalada vigogo wa Halmashauri Babati
10 years ago
Mwananchi30 Aug
Usikinunie kitabu kwa sasabu ya jalada lake
10 years ago
Mwananchi10 Oct
DCI awasilisha jalada la Mbowe kwa DPP
10 years ago
Mtanzania13 Mar
Jalada kesi ya Zitto laitwa kwa Jaji Kiongozi
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salam
SAKATA la kufukuzwa uanachama kwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema), limechukua sura mpya baada ya Jaji Kiongozi, Shabani Lila kuitisha jalada la kesi yake hali inayoonyesha kupitiwa upya kwa kesi hiyo.
Wiki hii Mahakama Kuu ilitupilia mbali ombi la Zitto la kutaka Kamati Kuu ya Chadema kutomjadili na hatimaye kumfukuza uanachama wake baada ya makada wenzake, Samson Mwigamba aliyekuwa Mwenyekiti wa Mkoa wa Arusha na Profesa Kitila Mkumbo...
11 years ago
Habarileo19 May
Jalada la wakili maarufu Mwale kupelekwa Mahakama Kuu
HAKIMU Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Mkoa a Arusha , Devota Kamuzora amekubali ombi walilolitoa mawakili upande wa utetezi katika kesi ya wakili maarufu jijini hapa, Median Mwale ya kutakatisha fedha la jalada hilo kupelekwe Mahakama Kuu ili kuamua kama kesi hiyo ilifunguliwa kimakosa au la.
10 years ago
Mwananchi10 Nov
UTATA: Jalada la kesi ladaiwa kuibiwa kwa msajili
11 years ago
Mwananchi20 Dec
Wahoji umeme utakuja lini