Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Demokrasia itaendelea kuheshimiwa nchini


Na Eleuteri Mangi, WHUSM, Dodoma

Serikali inaendelea na zoezi la Kidemokrasia la wananchi kuboresha taarifa za wananchi kwenye Daftari la Kudumu la Mpiga Kura ambazo zitatumika kwenye Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Mdiwani unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2020.

Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbasi ameongoza zoezi hilo kwa Makatibu Wakuu leo Mei 04, 2020 hapa jijini Dodoma kuhakiki na kuhuisha taarifa zao katika ikizingatiwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Bilal: Serikali itaendelea kuboresha elimu nchini

Makamu wa Rais, Dk Ghalib BilalSERIKALI imesema kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa sekta ya elimu, itaendelea kuboresha mazingira ya kufundishia na kujifunzia ili kutoa elimu bora na inayowatayarisha watanzania kujiajiri na kuajiriwa katika sekta ya umma na sekta binafsi.

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YA TANZANIA ITAENDELEA KUENZI KAZI NZURI INAYOFANYWA NA REDIO NCHINI NA DUNIANI


Leo tasnia ya habari nchini hususani redio, inaungana na wanahabari wengine duniani katika Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Redio Duniani ambayo huadhimishwa kila mwaka ifikapo Februari 13.

Natumia fursa hii kuwapongeza wadau wote wa redio nchini kwa kuendelea kutumia chombo hicho kuwajulisha Watanzania matukio mbalimbali yanayotokea hapa nchini na duniani kwa ujumla.

Aidha, nawahakikishia wadau kuwa Serikali ya Tanzania itaendelea kuenzi mchango na kazi nzuri inayofanywa na redio hapa...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI: SERIKALI ITAENDELEA KUIMARISHA NA KUBORESHA MIFUMO NA MIUNDOMBINU YA UTOAJI HUDUMA YA AFYA NCHINI


RAIS Dkt. John Magufuli amesema katika kipindi cha miaka minne ya utawala wake, Serikali imeweza kuajiri watumishi wapya 13479 wa sekta ya afya sambamba na kuimarisha na kuboresha miundombinu ya huduma za afya za ikiwemo ujenzi na ukarabati wa zahanati, vituo vya afya na hospitali za wilaya katika maeneo mbalimbali nchini.

Akizungumza leo Alhamisi (Februari 20, 2020) Jijini Dar es Salaam katika maadhimisho ya siku ya Madaktari Tanzania, Rais Magufuli alisema Serikali ya Awamu ya Tano...

 

10 years ago

Habarileo

Dk.Slaa- Demokrasia nchini imekua

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Willbrod Slaa amesifu demokrasia iliyoko nchini akisema imekua, ingawa alitaka baadhi ya maeneo kutiliwa mkazo.

 

9 years ago

Habarileo

Rais wa Namibia asifu demokrasia nchini

RAIS wa Namibia, Dk Hage Geingob ameipongeza serikali kwa kubadilishana uongozi kwa amani na utulivu. Amesema hatua hiyo inaonesha ukomavu wa hali ya juu wa demokrasia. Aidha, Geingob amesema ana imani kuwa Tanzania itafanya uchaguzi wake kwa amani.

 

10 years ago

Mwananchi

Uamuzi wa Tacceo utarudisha nyuma demokrasia nchini

Ni bahati mbaya kwa Mtandao wa Asasi za Kiraia wa Kuangalia Uchaguzi Tanzania (Tacceo), kusitisha zoezi la uangalizi wa mchakato wa uandikishaji upya wapigakura katika Daftari la Kudumu kwa kutumia BVR.

 

9 years ago

Dewji Blog

Msimamizi wa uchaguzi wa EU ataka vyama vya siasa nchini kuwa na dhamira ya kuimarisha demokrasia

xuttynyfcf5zwtk562fe7176465a

Muangalizi Mkuu wa EU EOM, Judith Sargentini, Mbunge wa Bunge la Ulaya akizungumza na vyombo vya habari (havipo pichani) nchini.

 

10 years ago

BBCSwahili

India:Uhuru wa Dini kuheshimiwa

Mashambulizi dhidi ya Makanisa nchini India yalisababisha Serikali ya nchi hiyo kukosolewa kwa kutoilinda jamii ya Kikristo

 

10 years ago

Habarileo

Bakwata yahimiza kuheshimiwa uamuzi wa JK kuhusu Escrow

Alhadi Mussa SalumBARAZA Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limewataka Watanzania kuheshimu uamuzi wa Rais Jakaya Kikwete na mamlaka zinazohusika kuhusu suala la akaunti ya Tegeta Escrow.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani