Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dewji aaga jimboni Singida, atumia bil 5/- kwa maendeleo

Mbunge wa Singida Mjini, Mohammed Dewji.MBUNGE wa Singida mjini na mfanyabiashara maarufu nchini, Mohammed Dewji, amesema hatagombea ubunge wa jimbo hilo tena baada ya kulitumikia kwa miaka 10 na kuwezesha maendeleo makubwa katika sekta za elimu na afya.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Dewji aaga Singida, aliza wapiga kura

Mbunge wa Singida Mjini (CCM) na mfanyabiashara maarufu nchini, Mohammed Dewji amewaliza baadhi ya wapigakura wake wakati akitangaza kutogombea tena nafasi hiyo katika Uchaguzi Mkuu ujao kwa ya madai ya kubanwa na majukumu ya kifamilia na biashara.

 

10 years ago

GPL

BAADA YA KULITUMIKIA MIAKA 10 JIMBO LA SINGIDA MJINI, MO DEWJI AAGA RASMI, ASEMA HATAGOMBEA TENA

Mbunge wa Singida Mjini kwa tiketi ya CCM, Mh. Mohammed Dewji akiwapungia wapiga kura wake ikiwa ni ishara ya kuwaaga rasmi baada ya kutangaza kutogombea tena Ubunge jimboni humo wakati wa Mkutano mkubwa wa kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa ilani ya CCM kwa miaka 10 ya kuwatumikia wananchi wa Singida, mkutano uliofanyika katika viwanja vya People's Club. Umati ulifurika. Mkazi wa Singida mjini akimwomba Mbunge wake...

 

5 years ago

Michuzi

MBUNGE ATUMIA ML 485 KWA AJILI YA MAENDELEO TUNDURU

Mbunge wa jimbo la Tunduru Kusini Daimu Mpakate kulia akiongea na wakazi wa kijiji cha Chiwana kata ya Chiwana Wilayani Tunduru jana katika mkutano wa Hadhara ambapo alitoa shilingi ml 12 kwa ajili ya ujenzi wa matundu ya vyoo na ukarabati wa vyumba vya madarasa kwa baadhi ya shule za msingi katika kata hiyo. 
MBUNGE wa jimbo la Tunduru Kusini Daimu Mpakate,amewataka wakazi wa kijiji cha Chiwana kata ya Chiwana wilayani Tunduru,kuwa walinzi wa  miradi  inayoendelea kutekelezwa  na Serikali...

 

11 years ago

Dewji Blog

Jimbo la Dewji latumia 2.9 Bilioi kwa miradi ya Maendeleo

DSC00269

Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Singida, Idd Mnyampanda akifungua kikao cha kawaida cha baraza la madiwani kilichofanyika  mjini Singida.Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri hiyo Mwendaharaka Maganga, na kushoto ni Makamu Mwenyekiti, Saidi  Mumbee.

DSC00272

Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Singida, Mwendaharaka Maganga, akitoa taarifa yake ya utendaji mbele ya kikao cha baraza la madiwani kilichofanyika  mjini Singida.

DSC00266

Baadhi ya madiwani wa halmashauri ya wilaya ya...

 

11 years ago

Dewji Blog

Jimbo la Dewji latumia 2.9 Bilioni kwa miradi ya Maendeleo

DSC00269

Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Singida, Idd Mnyampanda akifungua kikao cha kawaida cha baraza la madiwani kilichofanyika  mjini Singida.Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri hiyo Mwendaharaka Maganga, na kushoto ni Makamu Mwenyekiti, Saidi  Mumbee.

DSC00272

Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Singida, Mwendaharaka Maganga, akitoa taarifa yake ya utendaji mbele ya kikao cha baraza la madiwani kilichofanyika  mjini Singida.

DSC00266

Baadhi ya madiwani wa halmashauri ya wilaya ya...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AAGA RASMI UMOJA WA AFRIKA, ATUMIA KISWAHILI KATIKA HOTUBA YAKE YA MWISHO

Rais Kikwete: Sera ya Nje itabakia ile ile
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa siasa ya nchi za nje na misingi mikuu ya kuongoza mahusiano ya Tanzania na nchi za kigeni hayatabadilika hata baada ya yeye kuondoka madarakani mwanzoni mwa Novemba, mwaka huu, 2015.
Aidha, Rais Kikwete amewahakikishia viongozi wa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika (AU) kuwa yeye anaondoka madarakani lakini Tanzania waliyoizoea na kuijua itabakia pale pale na...

 

10 years ago

GPL

MBUNGE WA MVOMERO, MH. AMOS MAKALLA ATUMIA BODABODA KUFANYA ZIARA JIMBONI KWAKE

Mbunge wa Jimbo la Mvomero na Naibu Waziri wa Maji,Mh. Amos Makalla akiwa amepakiwa kwenye pikipiki (Bodaboda) wakati akielekea kwenye kitongoji cha Ifumbo kilicho kilomita 20 toka kijiji cha Mvomero. Msafara wa Mbunge wa Jimbo la Mvomero na Naibu Waziri wa Maji,Mh. Amos Makalla kuelekea kitongoji cha…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani