Diamond adai Tiffah amemfanya awe na ‘discipline’
Baba Tiffah, Diamond Platnumz amesema ameamua kuishi maisha ya kimaadili ili mtoto wake akikua asikutane na vitu vya ajabu. Mshindi huyo wa tuzo tatu za Afrimma, ameiambia 255 ya XXL, Clouds FM kuwa sio vizuri mwanae akikua aje akutane na picha chafu za baba yake. “Sasa hivi nakuwa nazingatia sana maisha,” anasema. “Naiogopa kesho kuliko […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo504 Oct
Ben Pol adai uhusiano wa miezi 9 na Latifa ni mrefu zaidi aliowahi kuwa nao tangu awe staa
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pwNUcGVK-dU2ULZdzz-jV5KI3PnZes4d81IXEz9TOCxTxPFbRjxeFkKra5BtmnYUix90oSsoyNqhsiP8OvOSK2JvitavY9dl/FRONTRISASIJMOSI.gif?width=650)
TIFFAH SI MTOTO WA DIAMOND
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rkTNz-F-b8ZrDoifoKEcJGGdOZ-179aFmW9KrVfrqQAcjssRx1Is--lNxqUnZtNGNMRimpJq7KfmL0epI5BD94G78azYihxg/FRONTWIKIENDA1.gif?width=650)
TIFFAH AWAGOMBANISHA DIAMOND, ZARI
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/y*wDQ4ub4BkvACp04wRNHq1P0nYATIzPco-sG-4vaZveQ1OrSXpk7*Tkz1-Cpznidk6b5wziZCZNfNr1iQ83S811VWTVICvK/ymCTBkp.jpg?width=650)
DIAMOND: ZARI AMEMHARIBU TIFFAH!
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JWVmD*3ooUc3x7Uw-4nLIXo0ElgpRdLiMVYEv-1PDoYGHhx7s7trsbfCxOxXGdxpOEs-y6A*GWpGfx1VaWVtlSqHafnjIzbl/FRONTIJUMAA.jpg?width=650)
DIAMOND AMUAIBISHA MAMA TIFFAH
9 years ago
Mtanzania21 Sep
Tiffah wa Diamond na Zari awekwa wazi
NA CHRISTOPHER MSEKENA
SHEREHE za watoto wa mastaa katika fani mbalimbali nchini zinaendelea kushika chati, baada ya mtoto wa staa wa muziki wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond’, Lattifah Abdul ‘Tiffah’ kufanyiwa sherehe kubwa jana.
Sherehe hiyo ilifanyika nyumbani kwa msanii huyo Tegeta kama baadhi ya mastaa waliowawahi kuwafanyia sherehe watoto wao walipozaliwa akiwemo, Zamaradi Mketema, Aunt Ezekiel, Mboni Masimba, Hbaba, Flora Mvungi na wengine wengi.
Wazazi wake wameweza kumficha sura...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/HD0RdVTwp0CnmHooJLIs3trngBtXL8zjnVCmL4W7XbQUqfiO8okDXaaC-OnsXmonL7BkDw-CawomgXbIHv*bxyFz57Tr3j18/B.Diamond.gif?width=650)
BABA DIAMOND AKATALIWA KUMUONA TIFFAH
9 years ago
AllAfrica.Com20 Aug
Diamond Responds to Tiffah's Paternity Suit
Entertainment Express
AllAfrica.com
Tanzanian music star Diamond Platnumz has revealed that no one has approached him to conduct DNA tests on his newborn daughter, Princess Tiffah. The Bongo Flava icon said he has not been issued with a court order asking him to do paternity tests on ...
Diamond Platnumz Takes Sides With Baby Mama, Zari On Paternity Test SagaEntertainment Express
all 2