DIAMOND AFUNGUKA WATOTO WA SHULE!

Brighton Masalu VUNJA ukimya! Mfalme wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, kwa mara ya kwanza amefunguka kuhusiana na sakata la watoto alioahidi kuwasomesha kushindwa kuendelea na masomo kwa sababu ya ada. Akistorisha na Risasi Mchanganyiko ndani ya Hoteli ya Ntansoma jijini Dar alipokuwa akiwashukuru Watanzania kwa kumwezesha kutwaa Tuzo ya MTV Africa (Mama), Diamond alisema kilichotokea ni tamaa ya mtu...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
DIAMOND ATELEKEZA WATOTO SHULE!
10 years ago
VijimamboBUNGE LA WATOTO OYSTERBAY SHULE YA MSINGI MKOANI MANYARA WAFANIKIWA KUWARUDISHA WATOTO WA MITAANI SHULE
Abdallah Waziri - ambaye ni mmoja wa watoto wa mitaani aliyerudishwa shule kwenye kikao cha leo.
Abdallah Waziri, Asia Mtibua na Mwalimu Gaudensia Igoshalimo wakimkaribisha Abdallah Waziri shuleni.
Mmoja wa wajumbe akitoa maoni yake katika kikao cha bunge katika shule ya oysterbay mkoani manyara
Mbunge Nasri Selemani akifuatilia hoja kwa makini.wakati kikao cha bunge la watoto likiendelea katika shule ya oysterbay mkoani manyara
Mbunge Nasri Selemani ambaye alikuwa ni mfanyakazi wa...
10 years ago
MichuziBUNGE LA WATOTO WA SHULE ZA MSINGI MKOANI MANYARA WAFANIKIWA KUWARUDISHA WATOTO WA MITAANI SHULE
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
10 years ago
Vijimambo16 Jan
UNAJUA WATOTO WATATU WA DEMU WA DIAMOND ZARI__WAONE HAPA__PIA KAWAJIBU WALE WANAOSEMA ANAKULA BATA TU NA DIAMOND HUKU KAWAACHA WATOTO WAKE WANATESEKA

11 years ago
Vijimambo
Meneja wa Diamond Afunguka Kilicho Sababisha Diamond Asifanye show London Juzi Usiku

11 years ago
CloudsFM13 Aug
DOGO JANJA AFUNGUKA SABABU ZA KUACHA SHULE
Msanii wa Bongo Fleva,Dogo Janjaro ambaye aliwahi kuwa kwenye kundi la TipTop Connection baada ya kutofautiana na Madee hadi akafunguka kwenye media kuwa alikuwa ananyonywa,lakini sasa hivi amerudi tena kwenye kundi hilo na hivi karibuni alipafomu kwenye jukwaa la fiesta jijini Mwanza.
Msanii huyo mwaka juzi alikuwa anasoma katika shule fulani ya sekondari jijini Dar, lakini hivi karibuni pia alifunguka rasmi kuwa ameamua kuachana na masomo ya sekondari akiwa kidato cha pili kwa kile...
5 years ago
Michuzi
WAZAZI WENYE WATOTO MAHITAJI MAALUM WAASWA KUWAPELEKA SHULE WATOTO WAO BADALA YA KUKAA NAO NYUMBANI
Ameyasema hayo wakati akitoa vifaa mbalimbali vilivyotolewa na wanawake viongozi wa Elimu Wilaya ya Tandahimba kwenye shule maalum mjimpya
Mwinuka ameeleza kuwa shule hiyo ni bweni hivyo wanapokea watoto wakike na wakiume wananchi waache kuwafungia ndani badala yake wawapeleke wakapate elimu mbalimbali...
11 years ago
Tanzania Daima31 Jan
Aliyeponzwa na tattoo za Diamond afunguka
MWANADADA anayedaiwa kutoka kimahaba na msanii wa muziki wa kizazi kipya, Nassib Abdul ‘Diamond’, Farida Msofe, amefunguka kuwa aliyekuwa mume wake ndiye chanzo cha yeye kuwa na mapenzi na msanii...