DIAMOND ATELEKEZA WATOTO SHULE!
![](http://api.ning.com:80/files/d5hxC5etmnn8tpf811Q0qMHsPdtV*bBvrQbCK27mCNl2wBGqQi*wPw4GYiBBVjORyN0ZB8RvoKpJS54nO26-UTOOddpmV0T6/ggggggggggggg.gif)
Gladness Mallya KABANG! Staa anayevuna fedha nyingi kupitia kipaji chake cha muziki, Bongo, Nasibu Abdul ‘Diamond’ amewatelekeza watoto katika Shule ya East Africa International jijini Dar ambao aliahidi kuwalipia ada, Risasi Mchanganyiko linakuwa la kwanza kukudondoshea. Wanafunzi wanaodaiwa kutelekezwa na Staa anayevuna fedha nyingi kupitia kipaji chake cha muziki, Bongo, Nasibu Abdul ‘Diamond’....
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLMAMA ATELEKEZA WATOTO JIJINI DAR, AENDA KUOMBA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Dyivh8oZtExLKyaKI8e4JqNEXDaCjv5a7P0tVPE3uSKh3bzTk8bPhwE9GzWhPFhHsl8Px3G3jyw8-h8O-clzxHChjLzUA8yV/diamond21.jpg?width=650)
DIAMOND AFUNGUKA WATOTO WA SHULE!
9 years ago
VijimamboBUNGE LA WATOTO OYSTERBAY SHULE YA MSINGI MKOANI MANYARA WAFANIKIWA KUWARUDISHA WATOTO WA MITAANI SHULE
Abdallah Waziri - ambaye ni mmoja wa watoto wa mitaani aliyerudishwa shule kwenye kikao cha leo.
Abdallah Waziri, Asia Mtibua na Mwalimu Gaudensia Igoshalimo wakimkaribisha Abdallah Waziri shuleni.
Mmoja wa wajumbe akitoa maoni yake katika kikao cha bunge katika shule ya oysterbay mkoani manyara
Mbunge Nasri Selemani akifuatilia hoja kwa makini.wakati kikao cha bunge la watoto likiendelea katika shule ya oysterbay mkoani manyara
Mbunge Nasri Selemani ambaye alikuwa ni mfanyakazi wa...
9 years ago
MichuziBUNGE LA WATOTO WA SHULE ZA MSINGI MKOANI MANYARA WAFANIKIWA KUWARUDISHA WATOTO WA MITAANI SHULE
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
10 years ago
Vijimambo16 Jan
UNAJUA WATOTO WATATU WA DEMU WA DIAMOND ZARI__WAONE HAPA__PIA KAWAJIBU WALE WANAOSEMA ANAKULA BATA TU NA DIAMOND HUKU KAWAACHA WATOTO WAKE WANATESEKA
![](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/01/924422_753949534690828_37790630_n.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-CQg7YXs4p5M/XmakE3wgLYI/AAAAAAALiUU/364dhzDVSjwS8uiwC9NSK4W8pZ1oswRHwCLcBGAsYHQ/s72-c/8ea7cdd1-676b-47ad-acd1-521826eaa55f.jpg)
WAZAZI WENYE WATOTO MAHITAJI MAALUM WAASWA KUWAPELEKA SHULE WATOTO WAO BADALA YA KUKAA NAO NYUMBANI
Ameyasema hayo wakati akitoa vifaa mbalimbali vilivyotolewa na wanawake viongozi wa Elimu Wilaya ya Tandahimba kwenye shule maalum mjimpya
Mwinuka ameeleza kuwa shule hiyo ni bweni hivyo wanapokea watoto wakike na wakiume wananchi waache kuwafungia ndani badala yake wawapeleke wakapate elimu mbalimbali...
11 years ago
Tanzania Daima18 Apr
Mkandarasi atelekeza ujenzi wa soko la Gezaulole
MKANDARASI, Serico Company Ltd anadaiwa kutoweka na kutelekeza ujenzi wa Soko la Gezaulole, Kata ya Kauzani, Manispaa ya Morogoro linalotarajiwa kugharimu sh milioni 12 hadi kukamilika. Hayo yamebainika kwenye ziara...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vYFBfoh8eSqizsLqRXoehxRNGQbWCzWQYUY4D*eg5gGhepSFFgiv7f0FBZUZOi1W9jUZq3r3cjFynE8OKnjXfdZc3kgP7iwH/POLISI.jpg)
POLISI AMGONGA MTOTO, ATOKA NDUKI, ATELEKEZA GARI
10 years ago
Habarileo31 Jan
Watoto milioni 2 hawako shule
ZAIDI ya watoto milioni 1.7 wenye rika lengwa waliopaswa kuwepo shule, hawapo kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo za kutoandikishwa, kuacha na kutoroka.