Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UNAJUA WATOTO WATATU WA DEMU WA DIAMOND ZARI__WAONE HAPA__PIA KAWAJIBU WALE WANAOSEMA ANAKULA BATA TU NA DIAMOND HUKU KAWAACHA WATOTO WAKE WANATESEKA

ILA tuache utani huyu manzi ni mkaleeeeee Katika kudhihirisha kuwa NI MAMA BORA KWA WATOTO WAKE ZARI AMEWAJIBU WALE WANAODAI KAWATEKELEZA WATOTO WAKE WATATU NA KULA BATA NA DIAMOND__hivi ndivyo alivyopost katika acount yake ya FACEBOOK"Zala ababo obugumba obukatawanya mxxxuuuuiiiiii. I don't owe anyone an explanation but at the same time I have pple who look up to me and get disturbed by some false news out there.I love my soldiers. Out of the 365 days in year am responsible for 300 days and...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Picha: Diamond uso kwa uso na watoto watatu wa mpenzi wa zamani wa Zari

diamond na watoto wa zari

Diamond Platnumz ameamua kuudhihirishia ulimwengu kuwa licha ya kuwa mama wa mtoto wake, Zarinah Tlale alimkuta na watoto watatu wa baba mwingine, lakini hilo halimzuii kuhang na watoto hao ambao baba yao ni Ivan Ssemwanga.

diamond na watoto wa zari

Akiwa Uganda weekend iliyopita Diamond na Zari walipost picha za familia ambapo kwenye moja ya picha hizo Diamond amepiga akiwa Zari na binti yao Tiffah na watoto wengine wa zari, na kusindikiza na caption ya kijembe.

diamond na watoto wa zari-2

“Me and my Stars!…Basi Hapo Vikurubembe roho...

 

10 years ago

Vijimambo

PESA NOMA HATIMAYE DIAMOND AGEUZWA BUSHOKE NA ZARI...ABEBESHWA POCHI HUKU BAUNSA WAKE AKIMCHEKA

Baada ya Diamond Platinumz a.k.a Chibu kunaswa na camera akiwa amembebea mkoba mpenzi wake Zarri Hussein, jiulize je wanaume wangapi tunaliweza jambo hilo.Kwa kitendo hicho ambacho wanawake wengi wamekifagilia na kukiita cha kigentleman unampa maksi ngapi msanii huyu?

 

10 years ago

GPL

DIAMOND AFUNGUKA WATOTO WA SHULE!

Brighton Masalu
VUNJA ukimya! Mfalme wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, kwa mara ya kwanza amefunguka kuhusiana na sakata la watoto alioahidi kuwasomesha kushindwa kuendelea na masomo kwa sababu ya ada. Akistorisha na Risasi Mchanganyiko ndani ya Hoteli ya Ntansoma jijini Dar alipokuwa akiwashukuru Watanzania kwa kumwezesha kutwaa Tuzo ya MTV Africa (Mama), Diamond alisema kilichotokea ni tamaa ya mtu...

 

10 years ago

GPL

DIAMOND ATELEKEZA WATOTO SHULE!

Gladness Mallya
KABANG! Staa anayevuna fedha nyingi kupitia kipaji chake cha muziki, Bongo, Nasibu Abdul ‘Diamond’ amewatelekeza watoto katika Shule ya East Africa International jijini Dar ambao aliahidi kuwalipia ada, Risasi Mchanganyiko linakuwa la kwanza kukudondoshea. Wanafunzi wanaodaiwa kutelekezwa na Staa anayevuna fedha nyingi kupitia kipaji chake cha muziki, Bongo, Nasibu Abdul ‘Diamond’....

 

10 years ago

Vijimambo

‘WATOTO’ WA DIAMOND WARUDISHWA SHULENI

‘Watoto wa Diamond’ Hilary na Hamis.
Gladness Mallya na Gabriel Ng’osha GPL
BAADA ya vuta nikuvute ya wazazi wa wanafunzi, Hilary na Hamis ‘watoto wa Diamond’ walioshinda katika shindano la kucheza Ngololo mwaka jana na staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kuahidi kuwasomesha katika shule ya East Africa International iliyopo Mikocheni, Dar huku akishindwa kuwalipia ada na watoto hao kurudishwa nyumbani, hatimaye wamerejeshwa tena shuleni.

Baada ya gazeti hili kuripoti habari...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Diamond kuburudika na watoto Leaders

MSANII nyota wa muziki wa kizazi kipya Nassib Abdul ‘Diamond Platinumz’ na kundi lake la wasafi, kesho watafanya onesho maalumu kwa ajili ya watoto litakalofanyika katika viwanja vya Leaders, jijini...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Diamond amwaga Krismasi kwa watoto

STAA wa muziki wa Bongo fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinum’ juzi alitembelea kituo cha watoto wanaoishi katika mazingira magumu kilichopo Buguruni, Dar es Salaam kuwafariji na kuwapa zawadi ya Sikukuu...

 

11 years ago

GPL

DIAMOND APAGAWISHA WATOTO LEADERS CLUB

Diamond akitoa zawadi kwa mshindi wa nne(katikati). Diamond akiwa na washindi kutoka kushoto ni Rama na wa pili kutoka kushoto ni Hamisi wote ni wanafunzi wa darasa la nne ambao atawasomesha kuanzia darasa la nne mpaka watakapomaliza elimu ya shule ya msingi.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani