DIAMOND APAGAWISHA WATOTO LEADERS CLUB
Diamond akitoa zawadi kwa mshindi wa nne(katikati). Diamond akiwa na washindi kutoka kushoto ni Rama na wa pili kutoka kushoto ni Hamisi wote ni wanafunzi wa darasa la nne ambao atawasomesha kuanzia darasa la nne mpaka watakapomaliza elimu ya shule ya msingi.…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
11 years ago
Tanzania Daima24 Dec
Diamond kuburudika na watoto Leaders
MSANII nyota wa muziki wa kizazi kipya Nassib Abdul ‘Diamond Platinumz’ na kundi lake la wasafi, kesho watafanya onesho maalumu kwa ajili ya watoto litakalofanyika katika viwanja vya Leaders, jijini...
11 years ago
Michuzi
Lady Jay Dee kung’arisha tamasha la watoto ‘Extreme Kids Festival’ May 31 na June 1, uwanja wa Leaders Club

Lady Jay Dee atajumuika na watoto watakaohudhuria tamasha hilo, atawaongoza kuimba nyimbo mbalimbali ili kuwahamasisha kuonesha vipaji vyao na atawapa zawadi wale watakaofanya vizuri zaidi.
“Watoto Mambo vipi, Jay Dee nawakaribisha watoto wote pamoja na wazazi na walezi. Mje basi katika...
9 years ago
Dewji Blog04 Nov
Doris Mollel Foundation (DMF) yaandaa tamasha kubwa la kusaidia watoto Njiti nchini, Nov 8 Leaders Club
Mwenyekiti wa Mfuko wa Doris Mollel Foundation, Bi. Doris Mollel akiwakaribisha wageni mbalimbali na wanahabari wakati wa utambulisho maalum juu ya tamasha linalotarajiwa kufanyika siku ya Jumapili Novemba 8, katika viwanja vya Leaders Club, jijini Dar es Salaam. Kushoto kwake ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu Idara ya Afya, uzazi na watoto, Bi. Georgina Msemo na kulia kwake ni Dk. Sonal Peter ambaye ni daktari wa watoto (Pediatrician) kutoka Hospitali ya Agha Khan. (Picha zote na Andrew Chale,...
10 years ago
Vijimambo16 Jan
UNAJUA WATOTO WATATU WA DEMU WA DIAMOND ZARI__WAONE HAPA__PIA KAWAJIBU WALE WANAOSEMA ANAKULA BATA TU NA DIAMOND HUKU KAWAACHA WATOTO WAKE WANATESEKA

11 years ago
TheCitizen11 Apr
Mwanza club finally gets new leaders
10 years ago
Michuzi.jpg)
TigoMusictz @ leaders club January 24, 2015
.jpg)
Diamondali kibalinahvannesa mdeeshaashilolekhadija kopaisha mashauzijoh makininiki wa pilignakofid q mwana faAyprof jay
For more CLICK HERE....
11 years ago
GPLMAREHEMU TYSON ALIVYOAGWA LEADERS CLUB
11 years ago
Tanzania Daima03 Jun
George Tyson kuagwa Leaders Club leo
MWILI wa aliyekuwa muasisi wa filamu za kibongo nchini, George Otieno ‘George Tyson’, unatarajiwa kuagwa leo katika viwanja vya Leaders Club, Kinondoni jijini Dar es Salaam kuanzia saa 3 asubuhi...