Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Diamond akabidhiwa milioni 14 za ujenzi

diamondNA MWALI IBRAHIM
MWANA Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond’, amekabidhiwa hundi ya zaidi ya milioni 14 kwa ajili ya kufidia ujenzi wa upande wa nyumba yake uliodondoka.
Wakati akikabidhiwa mfano wa hundi hiyo na Kampuni ya Bima ya UAP kwa ushirikiano na Benki ya CRDB, Diamond alisema ukuta wa nyumba yake ulianguka wakati akiwa anamuuguza mama yake aliyekuwa katika hali mbaya.
“Ilikuwa ghafla ukuta wa nyumba yangu ya Tegeta ukaanguka wakati huo nilikuwa natakiwa kulipia fedha kwa ajili ya...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

CloudsFM

Diamond alipwa milioni 14 za ujenzi baada ya ukuta wa nyumba yake kuanguka.

Staa wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond’, amekabidhiwa hundi ya zaidi ya milioni 14 kwa ajili ya kufidia ujenzi wa upande wa nyumba yake uliodondoka.

Wakati akikabidhiwa mfano wa hundi hiyo na Kampuni ya Bima ya UAP kwa ushirikiano na Benki ya CRDB, Diamond alisema ukuta wa nyumba yake ulianguka wakati akiwa anamuuguza mama yake aliyekuwa katika hali mbaya.

“Ilikuwa ghafla ukuta wa nyumba yangu ya Tegeta ukaanguka wakati huo nilikuwa natakiwa kulipia fedha kwa ajili ya kurekodi wimbo...

 

10 years ago

GPL

MBUNGE FILIKUNJOME ATIMIZA PIA AHADI YA UJENZI WA DARAJA MTO KITEWAKA KWA TSH MILIONI 248, ASAIDIA VIFAA VYA UJENZI KWA TSH MILIONI 248

 Mbunge  Filikunjombe akilitazama daraja la mbao la mto Kitewaka ambalo litajengwa  kisasa 
 Wannchi  wa  kijiji  cha Maholong'wa  wakimpongeza  mbunge  Filikunjombe kwa kutimiza ahadi yake…

 

10 years ago

GPL

MSUSI ALIYEJISHINDIA SHILINGI MILIONI 10/= AKABIDHIWA KITITA CHAKE

Milionea kupitia Promosheni ya Jaymillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania,Ibrahim Ibrahim (kushoto) akimkabidhi hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 10/- Zuwena Rajabu(kulia)aliyeibuka mshindi wa kitita hicho kupitia Promosheni hiyo wiki hii.Anayeshuhudia katikati ni Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu.Hafla hiyo ilifanyika Tabata Segerea  jijini Dar es Salaam,Ili  mteja kujua kama  ameshinda...

 

10 years ago

Michuzi

ALIYEJISHINDIA MILIONI 100 ZA VODACOM AKABIDHIWA KITITA CHAKE

Mshindi wa Milioni 100/- kupitia promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania,Uwezo Magedenge ambaye ni mkazi wa Kilolo mkoani Iringa(katikati)akifafanua jambo kwa waandishi wa habari(hawapo pichani)wakati wa hafla maalum ya kukabidhiwa kitita chake,Wengine katika picha Mkuu wa Idara ya huduma kwa wateja wa Vodacom Tanzania,Brigitta Stephen(kushoto) na Meneja wa Benki ya NMB kanda ya Dar es Salaam,Selie Mlay.Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam leo. Ili mteja kujua kama...

 

5 years ago

Michuzi

DC KATAMBI AKABIDHIWA VIFAA VYENYE THAMANI YA MILIONI 16 KUPAMBANA NA CORONA


Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Patrobas Katambi akipokea vifaa vya kujikinga na maambukizi ya ugonjwa wa Corona kutoka kwa Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dodoma, Dk Dickson Chilongani leo.  Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Patrobas Katambi akizungumza wakati wa hafla ya kupokea vifaa vya kupambana na maambukizi ya ugonjwa wa Corona vilivyotolewa na Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dodoma Baadhi ya vifaa ya kuzuia maambukizi ya ugonjwa wa Corona vilivyotolewa leo na Kanisa la Anglikana...

 

11 years ago

GPL

MSHINDI WA MILIONI 10 ZA CHAMPIONI SHINDA MAHELA AKABIDHIWA MPUNGA WAKE

Mkurugenzi wa Global Publishers & General Enterprises Ltd, Marsha Bukumbi akimkabidhi mfano wa  hundi ya shilingi milioni 10 mshindi wa shindano la Championi Mahela, Kizito George Chuma (kushoto). Kizito George Chuma akiwa ameshika mfano wa hundi yake ya milioni 10.…

 

10 years ago

Michuzi

Mshindi mwingine wa milioni 100 za Jaymillions akabidhiwa kitita chake

 Mshindi wa kitita cha shilingi milioni 100/- kupitia promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania, Hamisi Khalid (kushoto) mkazi wa Mtwara akifafanua jambo kwa waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa hafla ya kukabidhiwa hundi yake na Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia (kulia) baada ya kuibuka mshindi wa kitita hicho kupitia promosheni hiyo hafla hiyo ilifanyika makao makuu ya kampuni hiyo Mlimani City jijini Dar es Salaam....

 

10 years ago

GPL

MKULIMA WA KATAVI ALIYEJISHINDIA MILIONI 10 ZA VODACOM AKABIDHIWA KITITA CHAKE

Hayawi hayawi yamekuwa  Haynes Peter Kanumba (20) ambaye ni mshindi wa Milioni 10/- kupitia promosheni ya JayMillions  inayoendeshwa na Vodacom Tanzania, akiwa mwenye furaha baada ya kukabidhiwa kitita chake na Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu (hayupo pichani) wakati wa hafla fupi iliyofanyika mkoani Katavi.Ili mteja kujua kama umeshinda  unatakiwa kutuma neno Jay kwenda 15544. Mshindi wa kitita cha...

 

10 years ago

Bongo5

Mshindi wa milioni 1/- kupitia promosheni ya JayMillions akabidhiwa kitita chake

Balozi wa Promosheni ya JayMillions inayoendeledeshwa na Vodacom Tanzania amemkabidhi kitita cha shilingi Milioni 1/- mshindi wa promosheni hiyo Claudia Mapunda ambae ni mkazi wa jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki alikabidhiwa fedha zake katika hafla fupi iliyofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam. Balozi wa promosheni ya Jaymillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania Hillary […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani