Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Diamond alipwa milioni 14 za ujenzi baada ya ukuta wa nyumba yake kuanguka.

Staa wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond’, amekabidhiwa hundi ya zaidi ya milioni 14 kwa ajili ya kufidia ujenzi wa upande wa nyumba yake uliodondoka.

Wakati akikabidhiwa mfano wa hundi hiyo na Kampuni ya Bima ya UAP kwa ushirikiano na Benki ya CRDB, Diamond alisema ukuta wa nyumba yake ulianguka wakati akiwa anamuuguza mama yake aliyekuwa katika hali mbaya.

“Ilikuwa ghafla ukuta wa nyumba yangu ya Tegeta ukaanguka wakati huo nilikuwa natakiwa kulipia fedha kwa ajili ya kurekodi wimbo...

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

UKUTA WA NYUMBA YA DIAMOND WAPIGA MWELEKA

Ukuta wa nyumba ya Diamond ikionekena kudondoka kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha Dar Es Salaam sasa hivi

 

10 years ago

Mtanzania

Diamond akabidhiwa milioni 14 za ujenzi

diamondNA MWALI IBRAHIM
MWANA Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond’, amekabidhiwa hundi ya zaidi ya milioni 14 kwa ajili ya kufidia ujenzi wa upande wa nyumba yake uliodondoka.
Wakati akikabidhiwa mfano wa hundi hiyo na Kampuni ya Bima ya UAP kwa ushirikiano na Benki ya CRDB, Diamond alisema ukuta wa nyumba yake ulianguka wakati akiwa anamuuguza mama yake aliyekuwa katika hali mbaya.
“Ilikuwa ghafla ukuta wa nyumba yangu ya Tegeta ukaanguka wakati huo nilikuwa natakiwa kulipia fedha kwa ajili ya...

 

9 years ago

GPL

NYUMBA YA DIAMOND SI YAKE

Nyumba ya Diamond inayodaiwa si yake. GLADNESS MALLYA IMELDA MTEMA IMEVUJA! Ile nyumba ya kifahari iliyoaminika ni ya staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ imefahamika kuwa siyo yake kama wengi walivyokuwa wakifahamu. Diamond Platinumz. Kuvuja kwa siri hiyo kumetokana na maneno ya wambeya yaliyokuwa yakielekezwa kwa mama mzazi wa staa huyo, Sanura Kasimu ‘Sandra’ mitandaoni kwamba kwa nini asiondoke kwenye nyumba...

 

11 years ago

GPL

DIAMOND AMZAWADIA MAMA YAKE GARI LA MILIONI 38

Toyota Lexus New Model yenye thamani ya milioni 38.1 aliyozawadiwa mama Diamond na mwanaye. Muonekano wa gari hilo kwa nyuma. STAA wa Bongo Fleva, Nasib Abdul 'Diamond Platnumz' amefanya kufuru kwa kumzawadia gari mama yake mzazi, Sanura Kassim 'Sandra'. Diamond amemzawadia gari mama yake wakati wa bethidei ya kutimiza miaka 55 hapo jana katika hafla iliyohudhuriwa na mastaa kibao. Gari… ...

 

11 years ago

Michuzi

LUGUMI ENTERPRISES LTD YAKABIDHI PAMPU YA MAJI NA SHILINGI MILIONI 10 KUKAMILISHA UJENZI WA NYUMBA YA WALIMU MAGU SEKONDARI MAGU.

Meneja wa Kanda ya Ziwa Kampuni ya Lugumi Enterprises LTD inayomiliki makampui ya Ran IT Solutions (EA) LTD na KZ Securty, Eligod Justine Sangawe (kushoto) ambaye alimwakilisha Mkurugenzi wake Bw. Said Lugumi, kukabidhi msaada wa Pump ya maji inayotumia umeme na fedha taslimu shilingi milioni kumi kwa Afisa Elimu Takwimu (W) Sekondari bw. John M. Mangu  katika makabidhiano yaliyofanyika viwanja vya shule ya Sekondari ya Magu. Meneja wa Kanda ya Ziwa Kampuni ya Lugumi Enterprises LTD...

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA DIAMOND THE PLATNUMZ AKIMPIKIA ZARI NA KUMLISHA KATIKA NYUMBA YAKE MPYA

maneno ya Zarinah: Blessed is the woman who has a man that can cook...

 

5 years ago

Michuzi

RC Wangabo aagiza “Special Audit” huku zaidi ya Milioni 660 kutofahamika matumizi yake katika ujenzi hospitali ya Wilaya.


Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo amemuagiza Katibu Tawala wa mkoa wa Rukwa kuhakikisha ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa hesabu za serikali (CAG) mkoani humo inafanya ukaguzi maalum (special Audit) wa mapato ya ndani na matumizi yake kutokana na zaidi ya shilingi milioni 885 kuwemo mifukoni mwa wadaiwa (defaulters) wakiwemo watendaji wa vijiji na kata hali mbayo inazorotesha utekelezaji wa mipango ya serikali ikiwemo kushindwa kuchangia 10% ya wanawake, vijana na watu wenye...

 

10 years ago

CloudsFM

Baada ya kuugua kwa miezi kadhaa,mama yake Diamond aendelea vizuri

Mama mzazi wa Supastaa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz', Sanura Kassim 'Sandra', amerejeshwa Bongo kutoka India ambapo afya yake imetengemaa. Habari kutoka chanzo cha kuaminika ndani ya familia ya jamaa huyo, kililieleza gazeti hili kwamba, tayari Sandra amesharejea katika hali yake ya kawaida na ndiyo maana akarudi Bongo baada ya kulazwa hospitalini nchini India kwa kusumbuliwa na ugonjwa wa kupooza.
Mwanafamilia huyo alisema kwamba, Diamond na mama yake walirejea nchini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani