Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UKUTA WA NYUMBA YA DIAMOND WAPIGA MWELEKA

Ukuta wa nyumba ya Diamond ikionekena kudondoka kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha Dar Es Salaam sasa hivi

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

CloudsFM

Diamond alipwa milioni 14 za ujenzi baada ya ukuta wa nyumba yake kuanguka.

Staa wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond’, amekabidhiwa hundi ya zaidi ya milioni 14 kwa ajili ya kufidia ujenzi wa upande wa nyumba yake uliodondoka.

Wakati akikabidhiwa mfano wa hundi hiyo na Kampuni ya Bima ya UAP kwa ushirikiano na Benki ya CRDB, Diamond alisema ukuta wa nyumba yake ulianguka wakati akiwa anamuuguza mama yake aliyekuwa katika hali mbaya.

“Ilikuwa ghafla ukuta wa nyumba yangu ya Tegeta ukaanguka wakati huo nilikuwa natakiwa kulipia fedha kwa ajili ya kurekodi wimbo...

 

10 years ago

Vijimambo

MTI MKUBWA WAPIGA MWELEKA MCHANA HUU ENEO LA SEAVIEW


 Sehemu ya mashuhuda wa tukio la kuanguka mti mkubwa katika barabara ya Sea View,Upanga jijini Dar es Salaam.baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo wamesema kuwa chanzo cha kuanguka mti huo ni ukongwe wa mti huo. Sehemu ya magari yaliyoangukiwa na Mti huo mchana huu.
 Muonekano wa Mti huo. Mti huo ukiwa umeangukia ukuta. Baadhi ya wamiliki wa magari hayo wakijadiliana mara baada ya magari yao kuangukiwa na mti huo. hapo kwenye hiyo viti kuna watu walikuwa wamekaa lakini walinusurika.Hawa ndio...

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: MTI MKUBWA WAPIGA MWELEKA MCHANA HUU ENEO LA SEAVIEW

 Sehemu ya mashuhuda wa tukio la kuanguka mti mkubwa katika barabara ya Sea View,Upanga jijini Dar es Salaam.baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo wamesema kuwa chanzo cha kuanguka mti huo ni ukongwe wa mti huo. Sehemu ya magari yaliyoangukiwa na Mti huo mchana huu. Muonekano wa Mti huo. Mti huo ukiwa umeangukia ukuta. Baadhi ya wamiliki wa magari hayo wakijadiliana mara baada ya magari yao kuangukiwa na mti huo. hapo kwenye hiyo viti kuna watu walikuwa wamekaa lakini walinusurika.Hawa ndio...

 

9 years ago

Bongo5

Diamond ampiga mweleka Wizkid kwenye tuzo za ‘Uganda Entertainment Awards’

Diamond Platnumz ameibuka mshindi wa kipengele cha ‘Best African Act Of The Year’ Katika tuzo za Uganda Eentertainment Awards 2015 (UEA), zilizotolewa Ijumaa ya Septemba 5 jijini Kampala, Uganda. Platnumz amewashinda mastaa wa Nigeria akiwemo Wizkid, Patoranking pamoja na Tiwa Savage ambao alikuwa akishindana nao kwenye kipengele hicho. Kupitia mitandao ya kijamii Diamond amewashukuru mashabiki […]

 

9 years ago

GPL

NYUMBA YA DIAMOND SI YAKE

Nyumba ya Diamond inayodaiwa si yake. GLADNESS MALLYA IMELDA MTEMA IMEVUJA! Ile nyumba ya kifahari iliyoaminika ni ya staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ imefahamika kuwa siyo yake kama wengi walivyokuwa wakifahamu. Diamond Platinumz. Kuvuja kwa siri hiyo kumetokana na maneno ya wambeya yaliyokuwa yakielekezwa kwa mama mzazi wa staa huyo, Sanura Kasimu ‘Sandra’ mitandaoni kwamba kwa nini asiondoke kwenye nyumba...

 

9 years ago

Mwananchi

Wapiga kampeni mtu kwa mtu, nyumba kwa nyumba, mtaa kwa mtaa

Kampeni za ubunge Jimbo la Moshi Mjini mkoani Kilimanjaro, zimeingia katika hatua nyingine baada ya wagombea kuanza kujinadi nyumba kwa nyumba, mtu kwa mtu, mtaa kwa mtaa kwa lengo la kuhakikisha wanashinda Oktoba 25.

 

10 years ago

GPL

MAFURIKO YAIZENGEA NYUMBA YA DIAMOND

Na waandishi wetu
MAFURIKO yanayotokea katika sehemu mbalimbali nchini kutokana na mvua  zinazoendelea kunyesha, yanaizengea nyumba ya nyota wa muziki wa kizazi kipya nchini, Diamond Platnumz iliyopo Tegeta Madale, nje kidogo ya Jiji la Dar. Ukuta uliojengwa baada ya kubomoka. Kwa mujibu wa majirani wa staa huyo, nyumba hiyo imejengwa katika njia ya maji (mkondo), jambo ambalo hakulielewa hapo mwanzo, kwani ndiyo sababu...

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA DIAMOND THE PLATNUMZ AKIMPIKIA ZARI NA KUMLISHA KATIKA NYUMBA YAKE MPYA

maneno ya Zarinah: Blessed is the woman who has a man that can cook...

 

10 years ago

Michuzi

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani