Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


kishapigwa mweleka.....


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

BASI LA UDA LAPIGA MWELEKA

Moja ya mabasi yanayotoa huduma ya usafirishaji wa abiria ndani ya jiji la Dar es Salaam (UDA),lenye nambari za Usajili T 485 CVP limepiga mweleka katika eneo la Tabata shule, mbele ya Hoteli ya Green Light na ubavuni kabisa mwa kituo cha Polisi Tabata usiku wa kuamkia leo.…

 

10 years ago

Dewji Blog

Simba wa Afrika apiga mweleka

Mara baada ya kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika hivi karibuni huko Addis Ababa nchini Ethiopia, Rais wa Zimbabwe Komredi Robert Gabriel Mugabe (Simba wa Afrika) alirejea nchini kwake ambapo alihutubia maelfu ya wazimbabwe waliokusanyika kuja kumlaki kiongozi wao.

Wakati alipokuwa akiteremka ngazi za jukwaa kiongozi huyo ambaye atatimiza miaka 91 ifikapo Februari 21 mwaka aliteleza na kupiga mweleka chini kama ambavyo inaonekana pichani.

Mitandao ya habari na ya kijamii ikiwemo,...

 

11 years ago

GPL

IVORY COAST YAPIGWA MWELEKA NA COLOMBIA

Kiungo wa timu ya Ivory Coast, Geoffrey Die (kushoto) akilia baada ya kupata kipigo kutoka kwa timu ya Colombia siku ya jana. Mkongwe, Didier Drogba akimuacha chini beki wa Colombia katika mchezo ambao Ivory Coast ililala 2-1.…

 

10 years ago

Vijimambo

UKUTA WA NYUMBA YA DIAMOND WAPIGA MWELEKA

Ukuta wa nyumba ya Diamond ikionekena kudondoka kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha Dar Es Salaam sasa hivi

 

10 years ago

Mwananchi

CCM yapigwa mweleka mahakamani kesi ya uchaguzi

Kiteto.Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, kimepata pigo baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Kiteto, kutengua matokeo ya uchaguzi wa Mwenyekiti wa Kijiji cha Lobosireti kwa kukiuka sheria na utaratibu wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika Desemba, mwaka jana.

 

10 years ago

Vijimambo

BASI LA PRINCES MUNAA LAPIGA MWELEKA MKOANI DODOMA LEO



  Taarifa zilizotufikia kutokea Mkoani Dodoma zinasema kuwa kumetokea ajali ya Basi la Princes Munaa lililokuwa likitokea Jijini Dar es Salaam kwenda Mwanza, katika kijiji cha Mtanana Kibaigwa Wilaya ya Kongwa Mkoa wa Dodoma. Hakuna aliepoteza maisha katika ajali hii, watu kadhaa wamejeruhiwa.

 

10 years ago

Michuzi

JUST IN: BASI LA PRINCES MUNAA LAPIGA MWELEKA MKOANI DODOMA LEO

  Muda mfupi uliopita, kumetokea ajali ya Basi la Princes Munaa lililokuwa likitokea Jijini Dar es Salaam kwenda Mwanza, katika kijiji cha Mtanana Kibaigwa Wilaya ya Kongwa Mkoa wa Dodoma. Hakuna aliepoteza maisha katika ajali hii, watu kadhaa wamejeruhiwa.

 

10 years ago

Vijimambo

MTI MKUBWA WAPIGA MWELEKA MCHANA HUU ENEO LA SEAVIEW


 Sehemu ya mashuhuda wa tukio la kuanguka mti mkubwa katika barabara ya Sea View,Upanga jijini Dar es Salaam.baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo wamesema kuwa chanzo cha kuanguka mti huo ni ukongwe wa mti huo. Sehemu ya magari yaliyoangukiwa na Mti huo mchana huu.
 Muonekano wa Mti huo. Mti huo ukiwa umeangukia ukuta. Baadhi ya wamiliki wa magari hayo wakijadiliana mara baada ya magari yao kuangukiwa na mti huo. hapo kwenye hiyo viti kuna watu walikuwa wamekaa lakini walinusurika.Hawa ndio...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani