Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BASI LA UDA LAPIGA MWELEKA

Moja ya mabasi yanayotoa huduma ya usafirishaji wa abiria ndani ya jiji la Dar es Salaam (UDA),lenye nambari za Usajili T 485 CVP limepiga mweleka katika eneo la Tabata shule, mbele ya Hoteli ya Green Light na ubavuni kabisa mwa kituo cha Polisi Tabata usiku wa kuamkia leo.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Basi la UDA lapiga mweleka eneo la Tabata Shule usiku huu

 Moja ya mabasi yanayotoa huduma ya usafirishaji wa abiria ndani ya jiji la Dar es salaam (UDA),lenye nambari za Usajili T 485 CVP na lenye nambari ya idadi 168.usiku huu limepiga mweleka katika eneo la Tabata Shule,mbele ya Hoteli ya Green Light na ubavuni kabisa mwa kituo cha Polisi Tabata.Kamera ya Glogu ya Jamii ilifika eneo hilo na kukuta baadhi ya wahusika waliokuwa wakilitumia basi hilo wakihangaika kutoa baadhi ya mali zao zilizokuwemo ndani ya basi hilo ili waweze kuondoka nazo...

 

10 years ago

Vijimambo

BASI LA PRINCES MUNAA LAPIGA MWELEKA MKOANI DODOMA LEO



  Taarifa zilizotufikia kutokea Mkoani Dodoma zinasema kuwa kumetokea ajali ya Basi la Princes Munaa lililokuwa likitokea Jijini Dar es Salaam kwenda Mwanza, katika kijiji cha Mtanana Kibaigwa Wilaya ya Kongwa Mkoa wa Dodoma. Hakuna aliepoteza maisha katika ajali hii, watu kadhaa wamejeruhiwa.

 

10 years ago

Michuzi

JUST IN: BASI LA PRINCES MUNAA LAPIGA MWELEKA MKOANI DODOMA LEO

  Muda mfupi uliopita, kumetokea ajali ya Basi la Princes Munaa lililokuwa likitokea Jijini Dar es Salaam kwenda Mwanza, katika kijiji cha Mtanana Kibaigwa Wilaya ya Kongwa Mkoa wa Dodoma. Hakuna aliepoteza maisha katika ajali hii, watu kadhaa wamejeruhiwa.

 

10 years ago

Michuzi

Basi lapiga mweleka huko Kahama leo,watu watano wadaiwa kupoteza maisha

Basi la Wibonela linalofanya safari zake kati ya Kahama - Dar limepinduka na kupelekea zaidi ya watano kupoteza maisha na wengine kadhaa kujeruhi vibaya,ajali hiyo imetokea mapema leo katika eneo la Fantom nje kidogo ya mji wa Kahama. Chanzo kinaelezwa ni mwendo kasi uliopelekea kumshinda dereva wa basi hilo wakati akikata kona ya kuingia barabara kuu hali iliyopelekea basi kupinduka.  Taarifa kamili tunaendelea kuifatilia na tutaendelea kujuzana hapa hapa.Sehemu ya Mashuhuda wa ajali...

 

10 years ago

Michuzi

LORI LAPIGA MWELEKA LIKIJARIBU KUKWEPA GARI NYINGINE KIJIJI CHA KITUMBI

 Lori la Mizigo lenye namba za usajili T 112 BAL lililokuwa na tela lenye namba za T 108 AVT likiwa halitamaniki baada ya kupata ajali alfajiri ya leo kwenye kijiji cha Kitumbi, Wilayani Handeni Mkoa wa Tanga. Kwa mujibu wa utingo wa lori hilo, aliefahamika kwa jina la Makeke Moses, amesema kuwa kutokea kwa ajali hiyo kulisababishwa na Lori lingine (halipo pichani) lililokuwa limeharibika na kusimama katikati ya barabara bila ya kuwa na ishara yeyote ya tahadhali, hali iliyompelea dereva...

 

11 years ago

Michuzi

Lori lapiga mweleka eneo la Tabata Gereji mchana huu,lilikuwa likiikwepa bajaj iliyokuwa ikikatisha barabara

 Lori lenye nambari za Usajili T 812 BQL lililokuwa na tela lenye nambari za Usajili T 738 ASH likiwa limepiga mweleka baada ya dereva wake aliejitambulisha kwa jina la Hamis Razack (24) kuzidiwa maarifa wakati akijaribu kuikwepa Bajaj iliyokuwa ikivuka barabara ya Mandera.Dereva wa Lori hilo amesema kuwa alijikuta akizidiwa maarifa na kujikuta akivuka ng'ambo ya pili ya barabara na kuja kujikita katika hapo.Ajali hii imetokea mchana wa leo maeneo ya Tabata Garage (gereji) wakati Lori hilo...

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Dewji Blog

Simba wa Afrika apiga mweleka

Mara baada ya kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika hivi karibuni huko Addis Ababa nchini Ethiopia, Rais wa Zimbabwe Komredi Robert Gabriel Mugabe (Simba wa Afrika) alirejea nchini kwake ambapo alihutubia maelfu ya wazimbabwe waliokusanyika kuja kumlaki kiongozi wao.

Wakati alipokuwa akiteremka ngazi za jukwaa kiongozi huyo ambaye atatimiza miaka 91 ifikapo Februari 21 mwaka aliteleza na kupiga mweleka chini kama ambavyo inaonekana pichani.

Mitandao ya habari na ya kijamii ikiwemo,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani