WANANCHI MBEYA WAFAIDI BAADA YA GARI LA SODA KUPIGA MWELEKA......
![](http://img.youtube.com/vi/SXZtQ42dM7k/default.jpg)
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziGari yapiga mweleka na kuingia mtaroni jijini Mbeya leo
10 years ago
Michuzi21 Sep
Maoni ya Kinana juu ya muungano baada ya wananchi wa scotland kupiga kura
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana jana kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya shule ya msingi Mtongani alitoa maoni yake juu ya kura iliyopigwa na wananchi wa Scotland kuunga mkono Muungano dhidi ya wale waliotaka kujitenga.
Kinana alisema amekuwa akipigiwa simu siku nzima na waandishi wa habari kutaka kusikia maoni yake juu ya kura iliyopigwa Scotland.
Wananchi wa Scotland wamepiga kura na kuunga mkono muungano wa miaka 307 baina ya nchi hiyo na Uingereza katika...

9 years ago
MichuziWANANCHI WA JIJI LA MBEYA WASHEREHEKEA KWA KUPIGA VIDEBE MKESHA WA MWAKA MPYA....
10 years ago
Vijimambo21 Sep
MAONI YA KINANA BAADA YA WANANCHI WA SCOTLAND KUPIGA KURA KUUNGA MKONO MUUNGANO
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana jana kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya shule ya msingi Mtongani alitoa maoni yake juu ya kura iliyopigwa na wananchi wa Scotland kuunga mkono Muungano dhidi ya wale waliotaka kujitenga.
Kinana alisema amekuwa akipigiwa simu siku nzima na waandishi wa habari kutaka kusikia maoni yake juu ya kura iliyopigwa Scotland.
Wananchi wa Scotland wamepiga kura na kuunga mkono muungano wa miaka 307 baina ya nchi hiyo na Uingereza katika...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-5-4Pj-WwXsE/VLykx-LRsmI/AAAAAAAG-S8/sGedhbaILt0/s72-c/image061.jpg)
DEREVA AFARIKI DUNIA BAADA YA GARI ALILOKUWA AKISAFIRIA KUACHA NJIA NA KUPINDUKA WILAYANI MBOZI,MBEYA
![](http://3.bp.blogspot.com/-5-4Pj-WwXsE/VLykx-LRsmI/AAAAAAAG-S8/sGedhbaILt0/s1600/image061.jpg)
Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo majira ya saa 01:30 huko eneo la mlowo, kata ya mlowo, tarafa ya vwawa, wilaya ya mbozi, mkoa wa mbeya katika barabara kuu ya mbeya/tunduma.
Aidha katika ajali hiyo watu wawili waliofahamika kwa majina ya 1....
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-2BZSSjhT3Io/VWYXzcX5w7I/AAAAAAAHaN8/ROc9wU3yAJk/s72-c/DSCF4806%2Bcopy.jpg)
LORI LAPIGA MWELEKA LIKIJARIBU KUKWEPA GARI NYINGINE KIJIJI CHA KITUMBI
![](http://2.bp.blogspot.com/-2BZSSjhT3Io/VWYXzcX5w7I/AAAAAAAHaN8/ROc9wU3yAJk/s640/DSCF4806%2Bcopy.jpg)
10 years ago
Vijimambo19 Jun
Askari Polisi Wagongwa Na Gari Baada Ya Gari Hiyo Kukataa
Ajali Arusha: Askari Polisi wagongwa na gari Ni baada ya dereva kusimamishwa akakataa, Trafiki wakapiga simu mbele, alipofika akakutwa askari wameweka kizuizi njiani akapita nao.
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Rh7DNKryBzw/VOhA8agUBaI/AAAAAAAHE5E/EglDLXGHMqw/s72-c/unnamed%2B(24).jpg)
Airtel yamkabithi Mkazi wa Kyela Mbeya Bwana Edom Mwansasu gari Lake Baada ya kuibuka kuwa moja kati ya washindi wa wiki ya pili ya Airtel Yatosha Zaidi
Mkaazi wa Kyela mkoani Mbeya Bwana Edom Dickson Mwansasu amekabithiwa gari aina ya Toyota IST na Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel mara baada ya kuibuka mshindi kupitia droo ya wiki ya pili ya promosheni ya Airtel Yatosha Zaidi iliyofanyika siku ya ijumaa iliyopita Bwana Edom Mwansasu mwenye umri wa miaka 40 anajishughulisha na shughuli za kilimo huko Ngonga Kyela Mkoani Mbeya ameibuka mshindi baada ya kununua na kujiunga na vifurushi vya siku vya huduma ya Airtel yatosha kila...
5 years ago
MillardAyo10 Mar
Mtulia amezungumza baada ya kupiga Kura
Leo February 17, 2018 zoezi la kupiga kura katika uchaguzi mdogo katika Jimbo la Kinondoni limeanza ambapo wananchi wanapiga kura kumchagu Mbunge wa Jimbo hilo. Katika zoezi hilo Mgombe a Ubunge kwa tiketi ya CCM Maulid Mtulia ameongea baada ya kupiga kura . Mtulia amesema atakubaliana na matokeo yoyote yatakayo tangazwa na Tume ya Uchaguzi […]
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania