Gari yapiga mweleka na kuingia mtaroni jijini Mbeya leo
Wasamalia wema wakijaribu kulinasua gari aina ya Toyota Corolla (namba zake za usajili hazikuweza fahamamika mara moja kutokana na kutokuwepo) lililoingia kwenye mtaro baada ya dereva wake kuzidiwa maarifa ya kiudereza na kujikuta akiingia mtaroni,katika eneo la Mafiat mkabala na kituo cha mafuta cha Oilcom jijini Mbeya asubuhi hii.Dereva wa Gari hilo pamoja na mtu mwingine mmoja wamejeruhiwa na kukimbizwa hospital kwa matibabu.Chanzo cha ajali hiyo inaelezwa ni mwendo kasi aliokuwa...
Michuzi