Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WANANCHI WA JIJI LA MBEYA WASHEREHEKEA KWA KUPIGA VIDEBE MKESHA WA MWAKA MPYA....

Wananchi wa Jiji la Mbeya washerehekea kwa kupiga Videbe Mkesha wa Mwaka Mpya ikiwa ni kuonyesha Furaha za kuuona Mwaka Mpya na kuamua kukatiza Mitaa Mbalimbali huku wakiimba Nyimbo za Kuukaribisha Mwaka Mpya kama waonekanavyo hapo Juu katika Taswira....Furaha ikiwa imetawala kwa baadhi ya Wakazi wa Jiji la Mbeya.Mwaka waanza vibaya pia kwa mwenye Gari hilo Pichani lenye Nambari za Usajli (T 240 BCB) kwa kuparamia Ukuta Eneo la Mwanjelwa Jijini Mbeya,PICHA NA MR.PENGO MBEYA.PICHA ZAIDI BOFYA...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Global Publishers

Polisi Yatahadharisha Wananchi Kuhusu Mkesha wa Mwaka Mpya

TAARIFA YA JESHI LA POLISI KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU TAHADHARI KATIKA MKESHA WA MWAKA MPYA

Tunapoelekea kumaliza mwaka 2015 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2016, wananchi hutumia muda huo kwenda katika nyumba za ibada ama kusherekea katika maeneo mbalimbali ya starehe, ambapo uzoefu unaonyesha kuwa baadhi ya watu hupenda kutumia fursa hiyo kufanya vitendo vinavyohatarisha usalama wa raia mali zao.

Jeshi la Polisi nchini, limejipanga vizuri katika mikoa yote kwa kushirikiana na vyombo...

 

9 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI LAWATAHADHARISHA WANANCHI KUHUSU MKESHA WA MWAKA MPYA.


JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

                                                  WIZARA YA MAMBO YA NDANI

                                                     JESHI LA POLISI TANZANIA

                                                                                             31/12/2015TAARIFA YA JESHI LA POLISI KWA VYOMBO VYA HABARI

KUHUSU TAHADHARI KATIKA MKESHA WA MWAKA MPYA    


Tunapoelekea kumaliza mwaka 2015 na kuukaribisha  mwaka mpya wa  2016, wananchi hutumia muda huo kwenda  katika...

 

9 years ago

Michuzi

WANANCHI, WAFANYA BIASHARA, WANASIASA, NA WANAFUNZU WA JIJI LA MBEYA WATIMIZA WAJIBU WA KUFANYA USAFI KATIKA MAENEO MBALIMBALI YA JIJI LA MBEYA.

Wananchi, Wafanyabiashara, Wanasiasa na Wanafunzi wa Jiji la Mbeya waitikia wito wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli kufanya Usafi katika Maeneo Mbalimbali ya Jiji la Mbeya kama waonekanavyo hapo na zifuatazo hapo chini ni Taswira Mbalimbali za Jinsi hali ya Mambo ilivyo kuwa katika baadhi ya Maeneo ya Jiji la Mbeya. Mitaa Mbalimbali ya Jiji la Mbeya imepokea vyema wito wa Rais wa Awamu ya Tano juu ya agizo la kufanya Usafi Nchi  nzima kwa siku hii ya leoBOFYA...

 

9 years ago

Habarileo

Wazee Bunda washerehekea mwaka mpya kwa usafi

WAZEE wa Kata ya Nyamuswa, wilaya ya Bunda, mkoani Mara, kupitia umoja wao ujulikanao kwa jina la Umoja wa Wazee wa Maendeleo Kata ya Nyamuswa, juzi walisherehekea mwaka mpya wa 2016 kwa kufanya usafi wa mazingira na kujenga chumba cha maiti katika Kituo cha Afya Ikizu.

 

9 years ago

Michuzi

WAKAZI WA JIJI LA MBEYA WAJITOKEZA KWA WINGI KUPIGA KURA, MADUKA YAFUNGWA KUAJILI YA UCHAGUZI

Wakazi wa Jiji la Mbeya Mjini wajitokeza kwa wingi kupiga kura katika Vituo mbalimbali walivyo jiandikishia kuajili ya kupiga Kura kama waonekanavyo hapo katika Picha ni baadhi ya watu wakiwa katika kituo kilichopo Mtaa wa Mkombozi Jijini Mbeya wakiwa wamepanga Foleni kuajili ya kupiga Kura.Baadhi ya Wapiga kura wakiwa katika Foleni..
Hapa ni eneo la Mwanjelwa maharufu kwa Jina la Mtaa wa kongo likiwa Pweke kuajili ya uchaguzi hakuna alie leta Biashara yake hapa siku hii ya leo.
Baadhii ya...

 

10 years ago

GPL

WATOTO WASHEREHEKEA SIKUKUU YA MWAKA MPYA KWA AINA YAKE DAR LIVE

Watoto wakijiachia katika bwawa la kuogelea ndani ya Dar Live leo katika kusherehekea Mwaka Mpya 2015. Watoto wakiburudika katika bembea la Dar Live leo.…

 

9 years ago

Michuzi

MKESHA WA MWAKA MPYA DMV WAFANA

 Mama wa mitindo Asya Idarous Khamsini akihesabu sekunde zilizoslia kuelekea mwaka mpya kwenye sherehe ya mkesha wa mwaka mpya 2016 iliyofanyika Lanham, Maryland siku ya Alhamisi Desemba 31, 2015 iliyoandaliwa na Jumuiya ya Watanzania DMV na kuwakutanisha wana DMV na familia zao wakiwemo marafiki kutoka majimbo mengine huku wengine wakiokea Tanzania. PICHA NA KILIMANJARO STUDIOWafuangaji champagne wakiwa tayari kama kikosi cha mizinga wakisubilia sekunde zilizobaki kuingia mwaka 2016 kuachia...

 

10 years ago

StarTV

Dk. Bilal mgeni rasmi mkesha wa mwaka mpya.

Na Grace Semfuko,

Dar Es Salaam.

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta Gharib Bilal anatarajia kuwa mgeni rasmi kwenye Mkesha maalum wa mwaka mpya utakaofanyika Desemba 31 Jijini Dar Es Salaam kwa ajili ya kuliombea Taifa amani na utulivu kwa mwaka ujao wa 2015.

 

Mkesha huo ulioandaliwa na kamati maalum ya mikesha ya mwaka mpya tayari maandalizi yake yamekamilika ambapo pia utafanyika kwenye mikoa mingine 16 Nchini na wakuu wa mikoa hiyo watakuwa wageni...

 

9 years ago

Mwananchi

Polisi yatoa tahadhari mkesha wa mwaka mpya

Jeshi la Polisi nchini limeonya wananchi kujiepusha na vitendo vyovyote vitakavyoathiri amani iliyopo wakati huu dunia ikielekea kuuaga mwaka 2015 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2016.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani