DIAMOND, HAYA NI YA KITOTO MSHIKAJI!
![](http://api.ning.com:80/files/1lp73GxRT8ZkfyB-KBEjwTkOpgOECn0VX46vk9sciP1oDnPWCGMoAzLrA0pgvzMdvYRsP39tvwXVqyWrHvSMcbHpoVjQR9JX/MAMAWEMA.jpg)
NIANZE kwa kutoa pole kwa wadau wote wa muziki wa kizazi kipya, kwa kuondokewa na mdau Abdul Bonge, muanzilishi wa Kundi la Tip Top Connection, wale vijana wenye maskani yao pale Manzese. Bonge ametutoka katika wakati ambao Bongo Fleva ndiyo ilikuwa inamhitaji zaidi, kwani hakuna ubishi kwamba muziki huu sasa unalazimisha njia kuelekea nje ya nchi na hawa ndiyo walikuwa wawezeshaji wakuu wa jambo hili. Mungu ampe mapumziko mema...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo03 Jan
BAADA YA KUACHANA NA DIAMOND AAMUA KUFANYA HAYA JUU YA MALI ALIZOPEWA NA DIAMOND
![](http://api.ning.com/files/1R1gqINM7bxlzUrR3WwslSL-E8TbeHC1JSrbNDKpWvHYhQ*hGsLGGlY*A*9JAwMlII53Jl2VqX4dOUldYfKBDNEL-SD2so7n/wemadivorce.jpg)
![](http://api.ning.com/files/1R1gqINM7bz7AKto1dpaLHEYWo3ihKmTixd6dZOKAzYW*KwQGpjSAHyza2*sj6WKBsjqykFpWvzTTL2JhnqKgb5SZ7UKGZYW/murano111.jpg)
11 years ago
GPLAMANDA AGEUZA DUKA LA MSHIKAJI NYUMBANI KWAKE
9 years ago
Bongo Movies17 Dec
Haya Ndiyo Maneno ya Diamond kwenda Kwa Dr. Mwaka
Staa wa Bongo Fleva anayetamba hivi sasa na kibao cha Je Utanipenda, Diamond Platinum amemtakia kheri na Baraka mtaalamu wa dawa za tiba mbadala kwa magonjwa ya kinamama, Dr J J Mwaka wa kituo cha Foreplan Herbal Clinic kutokana na mchango wake kwenye kusaidia mziki wa kibongo.
![Diamond Akiwa na Dr.Mwaka](http://www.bongomovies.com/wp-content/uploads/2015/12/DIAMND56.png)
Diamond Akiwa na Dr.Mwaka
Mbali na Dokta huyo kukabiliwa na changamoto kubwa kuhusu huduma zake kwa sasa, Diamond ambaye ametumika kwenye matangazo ya Dokta huyo ameandika haya leo mtandaoni mara baada ya kuweka picha...
10 years ago
Vijimambo23 Jan
Haya ni maneno ya Wema Sepetu kuhusu inshu ya kumdai Diamond
![](http://i0.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/01/spt.jpg?resize=501%2C376)
10 years ago
Mwananchi25 Apr
Nesi amchapa mjamzito ‘leba’, kitoto chafariki