DIAMOND: KAWEKA HISTORIA ULAYA
![](http://api.ning.com:80/files/8e0m82BHkpm9R5J-A7vhIXQWOeqRtqYdtD2-CoxbWxMPKDmFZ5I-Dv-pawujYHiiprH1f9sGjsYeAp1SPeOhhxg7fNcHxDRa/dimaond1.jpg?width=650)
Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’. Andrew Carlos na Musa Mateja OKTOBA 25, mwaka huu ilikuwa ni moja kati ya siku za kihistoria nchini kwa Watanzania wote kujumuika na kupiga kura za kuwachagua wabunge, madiwani na rais. Siku hiyohiyo pia katika Jiji la Milan, Italia kulikuwa na tukio la kihistoria kwa staa wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ ambaye alikuwa akiiwakilisha Tanzania na...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo22 Dec
Usiku wa Dec 21 Ozil kaweka rekodi hii, hakuna mchezaji yoyote wa Ligi 5 kubwa Ulaya aliyeifikia msimu huu …
Usiku wa December 21 klabu ya Arsenal inayofundishwa na kocha wa kifaransa Arsene Wenger iliingia katika headlines za ushindi baada ya kuibuka na ushindi wa goli 2-1 dhidi ya Manchester City katika dimba la Emirates. Magoli ya Arsenal yalifungwa na Theo Walcott na Oliver Giroud, ila stori kubwa haikuwa ushindi wa Arsenal. Kwani katika mitandao […]
The post Usiku wa Dec 21 Ozil kaweka rekodi hii, hakuna mchezaji yoyote wa Ligi 5 kubwa Ulaya aliyeifikia msimu huu … appeared first on...
11 years ago
BBCSwahili30 May
Google kufuta historia ya watu Ulaya
11 years ago
MichuziDIAMOND AWEKA HISTORIA NEW JERSEY
5 years ago
Bongo514 Feb
Diamond kuandika historia tena
Diamond ametangaza siku ambayo ataachia manukato yake ya mapya yajulikanayo kama Chibu Perfume.
Hatua hiyo imekua ikisubiriwa kwa hamu na mashabiki wake wengi tangu alipoweka hadharani ujio wa biashara hiyo mwezi Novemba mwaka jana.
Kupitia mtandao wa Istagram, Hitmaker huyo wa ‘Marry You’ ametaja siku ya kuingiza sokoni kwa perfume, “The Only Scent you deserve, @chibuperfume by Diamond Platnumz coming out this friday!! #TheScentYouDeserve.”
Endapo hilo litafanikiwa Diamond ataingia kwenye...
10 years ago
Mwananchi29 Dec
Diamond, Vannesa waandika historia
9 years ago
Global Publishers26 Dec
Diamond aweka historia tena Dar Live
Diamond Platnumz akisema na mashabiki wake waliofurika Dar Live usiku wa kuamkia leo
Diamond akicheza na mashabiki wake waliofurika Dar Live.
Akicheza na wacheza shoo wake wa kike.
Nyomi ya kufa mtu ndani ya Dar Live wakiendelea kumshangilia Diamond.
Wacheza shoo wa kike wa Diamond wakifanya yao.
Diamond akiwachombeza mashabiki.
Diamond akicheza na wacheza shoo wake wa kiume.
Akiongea na mashabiki.
Diamond akifanya yake na wacheza shoo wake.
Diamond baada ya kuwakonga nyoyo mashabiki...
9 years ago
Global Publishers20 Dec
10 years ago
GPLSHOO YA DIAMOND DAR LIVE YAACHA HISTORIA
9 years ago
Global Publishers24 Dec
Diamond: Nitaandika historia mpya Dar Live
Diamond akiwasalimia mashabiki wake, juzi katika eneo la Karume, Ilala jijini Dar.
Musa Mateja
ZIKIWA zimesalia saa kadhaa kufika Sikukuu ya Krismasi ambapo ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar kutakuwa na burudani kabambe, staa wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, amesema kuwa siku hiyo ataandika historia mpya.
Akizungumza na waandishi wa habari eneo la Karume, Ilala jijini Dar, Diamond ambaye siku hiyo ataongozana na madansa...