Diamond, Vannesa waandika historia
Huenda yakawa ni mafanikio ya kufungia mwaka katika sekta ya burudani, baada ya Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Vanessa Mdee ‘Vee Money’, usiku wa kuamkia jana kutunukiwa tuzo zilizowataja kuwa ni wasanii bora Afrika Mashariki.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi27 Oct
Upinzani waandika historia mpya
9 years ago
Dewji Blog06 Dec
Rwanda yatwaa ubingwa Cecafa, waandika historia hii
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Timu ya taifa ya Uganda (The Cranes -Pichani) imetwaa ubingwa wa mashindano ya Cecafa Senior Challenge yanayohusisha timu za Afrika Mashariki na Kati baada ya kuifunga timu ya taifa ya Rwanda goli 1 kwa bila.
Katika mchezo huo ulionekana wa kushambuliana kwa zamu timu ya Uganda ilipata goli lake la ushindi kupitia kwa mchezaji wake Caecer Okhuti katika dakika ya 15 goli ambalo limedumu hadi dakika ya mwisho ya mchezo huo.
Baada ya ushindi huo Uganda imezidi kutamba...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-ywXdLN72sPs/Vht0X1CH6rI/AAAAAAAH_IE/dl737s0_-ck/s72-c/DiamondBasketmout.jpg)
DIAMOND,VANNESA NA OMMY DIMPOZ WALIVYOIPEPERUSHA VYEMA BENDERA YA TANZANIA UGHAIBUNI, BASATA LAWAPONGEZA
![](http://2.bp.blogspot.com/-ywXdLN72sPs/Vht0X1CH6rI/AAAAAAAH_IE/dl737s0_-ck/s640/DiamondBasketmout.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-hNrjSmNSbW8/Vht1M5gVESI/AAAAAAAH_Ic/PWg3099H_Jg/s640/ommy%2B%25281%2529.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-2BDwS68G-hE/Vht2T6M3NDI/AAAAAAAH_JQ/aWPwK5KOTXE/s640/TUZO.jpg)
Inaweza ikawa siyo mara ya kwanza kwa msanii Diamond Platnumz kuchukua tuzo mbalimbali za kimataifa lakini kwa Vanessa Mdee inaweza ikawa moja kati ya historia nzuri kwake huku Ommy Dimpoz akiwa na kila sababu ya kufurahia tuzo yake ya kwanza ya kimataifa baada ya kujinyakulia tuzo maarufu za Afrimma.
Wasanii hao walijinyakulia tuzo hizo usiku...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8e0m82BHkpm9R5J-A7vhIXQWOeqRtqYdtD2-CoxbWxMPKDmFZ5I-Dv-pawujYHiiprH1f9sGjsYeAp1SPeOhhxg7fNcHxDRa/dimaond1.jpg?width=650)
DIAMOND: KAWEKA HISTORIA ULAYA
11 years ago
MichuziDIAMOND AWEKA HISTORIA NEW JERSEY
5 years ago
Bongo514 Feb
Diamond kuandika historia tena
Diamond ametangaza siku ambayo ataachia manukato yake ya mapya yajulikanayo kama Chibu Perfume.
Hatua hiyo imekua ikisubiriwa kwa hamu na mashabiki wake wengi tangu alipoweka hadharani ujio wa biashara hiyo mwezi Novemba mwaka jana.
Kupitia mtandao wa Istagram, Hitmaker huyo wa ‘Marry You’ ametaja siku ya kuingiza sokoni kwa perfume, “The Only Scent you deserve, @chibuperfume by Diamond Platnumz coming out this friday!! #TheScentYouDeserve.”
Endapo hilo litafanikiwa Diamond ataingia kwenye...
9 years ago
Global Publishers20 Dec
9 years ago
Global Publishers26 Dec
Diamond aweka historia tena Dar Live
Diamond Platnumz akisema na mashabiki wake waliofurika Dar Live usiku wa kuamkia leo
Diamond akicheza na mashabiki wake waliofurika Dar Live.
Akicheza na wacheza shoo wake wa kike.
Nyomi ya kufa mtu ndani ya Dar Live wakiendelea kumshangilia Diamond.
Wacheza shoo wa kike wa Diamond wakifanya yao.
Diamond akiwachombeza mashabiki.
Diamond akicheza na wacheza shoo wake wa kiume.
Akiongea na mashabiki.
Diamond akifanya yake na wacheza shoo wake.
Diamond baada ya kuwakonga nyoyo mashabiki...
9 years ago
Global Publishers24 Dec
Diamond: Nitaandika historia mpya Dar Live
Diamond akiwasalimia mashabiki wake, juzi katika eneo la Karume, Ilala jijini Dar.
Musa Mateja
ZIKIWA zimesalia saa kadhaa kufika Sikukuu ya Krismasi ambapo ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar kutakuwa na burudani kabambe, staa wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, amesema kuwa siku hiyo ataandika historia mpya.
Akizungumza na waandishi wa habari eneo la Karume, Ilala jijini Dar, Diamond ambaye siku hiyo ataongozana na madansa...