Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Upinzani waandika historia mpya

Vyama vya upinzani vimeandika historia mpya tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992, baada ya vyama vinne vya upinzani vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kutiliana saini makubaliano.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Diamond, Vannesa waandika historia

Huenda yakawa ni mafanikio ya kufungia mwaka katika sekta ya burudani, baada ya Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Vanessa Mdee ‘Vee Money’, usiku wa kuamkia jana kutunukiwa tuzo zilizowataja kuwa ni wasanii bora Afrika Mashariki.

 

9 years ago

Dewji Blog

Rwanda yatwaa ubingwa Cecafa, waandika historia hii

arton781

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Timu ya taifa ya Uganda (The Cranes -Pichani) imetwaa ubingwa wa mashindano ya Cecafa Senior Challenge yanayohusisha timu za Afrika Mashariki na Kati baada ya kuifunga timu ya taifa ya Rwanda goli 1 kwa bila.

Katika mchezo huo ulionekana wa kushambuliana kwa zamu timu ya Uganda ilipata goli lake la ushindi kupitia kwa mchezaji wake Caecer Okhuti katika dakika ya 15 goli ambalo limedumu hadi dakika ya mwisho ya mchezo huo.

Baada ya ushindi huo Uganda imezidi kutamba...

 

9 years ago

Bongo5

Yamoto Band waandika wimbo mpya wa Dully Sykes

Yamoto Band wameandika wimbo mpya wa Dully Sykes uitwao Tuachie. Dully Sykes amedai kuwa ameona ni muhimu kupata ladha tofauti na haoni kama kuna tatizo kuandikiwa na wasanii hao. “Nimewaachia vijana waandike ili nipate kitu tofauti,” Dully alikiambia kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio. “Ni vijana ambao wanafanya vizuri kimuziki, kama watoto wanafanya […]

 

10 years ago

Mtanzania

Historia yaandikwa Katiba Mpya

Samuel Sitta

Samuel Sitta

NA NORA DAMIAN, DAR ES SALAAM

HISTORIA mpya imeandikwa Tanzania baada ya Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, kukabidhi Katiba inayopendekezwa kwa Rais Jakaya Kikwete na Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein mjini Dodoma.

Makabidhiano hayo yalifanyika jana mjini Dodoma, katika sherehe zilizoanza saa 8 mchana yakitanguliwa na burudani kutoka vikundi mbalimbali huku wajumbe wanawake wa Bunge Maalumu la Katiba wakiwa katika sare maalumu ya vitenge maarufu vya...

 

9 years ago

BBCSwahili

Upinzani Uingereza wana kiongozi mpya

Chama kikuu cha upinzani Uingereza chamchagua kiongozi mpya wa mrengo wa kushoto

 

10 years ago

BBCSwahili

Historia fupi ya rais mpya wa Nigeria

Je unamjua kiongozi mpya wa Nigeria jenerali Muhammadu Buhari wa chama cha upinzani cha APC aliyemshinda Goodluck Jonathan katika uchaguzi uliopita ?

 

9 years ago

BBCSwahili

Sheria mpya yaanza kutumika TZ licha ya upinzani

Leo ni mwanzo wa kutumika kwa sheria ya makosa ya mtandaoni iliyoleta mzozo Tanzania na sawa waweza kutupwa jela jihadhari

 

9 years ago

Global Publishers

Diamond: Nitaandika historia mpya Dar Live

Funga Mwaka Concert 2015 (10)
Diamond akiwasalimia mashabiki wake, juzi katika  eneo la Karume, Ilala jijini Dar.

Musa Mateja

ZIKIWA zimesalia saa kadhaa kufika Sikukuu ya Krismasi ambapo ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar kutakuwa na burudani kabambe, staa wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, amesema kuwa siku hiyo ataandika historia mpya.

Akizungumza na waandishi wa habari eneo la Karume, Ilala jijini Dar, Diamond ambaye siku hiyo ataongozana na madansa...

 

10 years ago

Mwananchi

Timu mpya zitakazoleta upinzani Ligi Kuu Bara

Hatimaye wiki moja iliyopita Mwadui ya Shinyanga ilitwaa ubingwa wa Ligi Daraja la Kwanza na kuzipiku timu nyingine tatu zilizofanikiwa kupanda ligi msimu ujao

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani