Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DIAMOND: SIITAJI JINSI YA MWANANGU

Musa Mateja
STAA wa Muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, amefunguka kuwa hayupo tayari kuitaja jinsi ya mtoto wake mtarajiwa kwa kuogopa wafitini. Staa wa Muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’. Akizungumza na mwanahabari wetu, Diamond anayetarajia kupata mtoto kwa mpenzi wake wa sasa, Zarinah Hassan ‘Zari’, alisema anamshukuru Mungu hadi sasa tayari anaijua jinsi ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

DIAMOND MWANANGU USISUBIRI NIFE!

Gladness Mallya na Gabriel Ng’osha
Maskini! Wakati leo akiangusha pati ya nguvu na mpenzi wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ inayokwenda kwa jina la Zari All White Party kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar, baba mzazi wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Abdul Jumaa yu hoi kitandani huku akimtaka mwanaye huyo kuonesha msamaha wa kweli aliotangaza kwenye vyombo vya habari na...

 

10 years ago

Bongo5

Naogopa mwanangu asishuke kimuziki — Mama Diamond

Mama yake mzazi na Diamond, Sanura Kasim amesema kitu kinachomkosesha raha siku zote ni kuwaza itakuaje kama mwanae akishuka kimuziki! Ameiambia Bongo5 kuwa kama mama mara nyingi anakuwa na wasiwasi juu ya maisha ya mwanae. “Muziki una changamoto sana kama hujakaza unaanguka,” alisema. “Nakuwaga na wasiwasi mwanangu kama akishuka! Kwa sababu washindani wapo wengi, unajifiria […]

 

9 years ago

Bongo5

Zari akiri hadharani jinsi anavyompenda ‘mume’ wake Diamond

zarimond-1

Mapenzi ya Diamond Platnumz na Zari The Boss Lady yanaonekana kuwa imara kadri siku zinavyokwenda, kutokana na jinsi mastaa hao wanavyozidi kuudhihirishia ulimwengu jinsi wanavyopendana.

zarimond-1

Baada ya kumpata mtoto wao wa kwanza pamoja Princess Tiffah, couple hiyo imeendelea kushare na ulimwengu kupitia mitandao ya kijamii jinsi wanavyojiandaa kuja kuungana kuwa kitu kimoja hapo baadaye.

zarimond-2

Licha ya kupost picha nyingi zinazodhihirisha upendo wao, Zari ambaye ni mama wa watato wanne hakusita...

 

11 years ago

Michuzi

taswira za jinsi diamond alivyoiteka mwanza katika show yake wikiendi hii

  Palikuwa hapatoshi aisee..   Pichani ni binti ambaye alishindwa kujizuia na kuamua kwenda kumsalimia Rais wa Wasafi jijini Mwanza. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

11 years ago

Vijimambo

MENINAH AMWANIKA DIAMOND TENA!! AFUNGUKA MENGI KUHUSU MAHUSIANO YAO,AELEZA JINSI WEMA ALIVYO MPA PRESHA

Kwa mara ya kwanza tangu wadaiwe kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Meninah a.k.a Meninah la diva na Nguli wa Bongo Fleva nchini Nasib Abdul 'Diamond' hatimaye ukweli umepatika baaada ya kuzinasa meseji za meninah alizofunguka kususu mahusiano yake na Diamond.Meseji hizo zimenaswa kutoka kwenye simu ya Meninah ambaye alikuwa akichati naye kuhusu mwenendo mzima wa Mahusiano yake na Diamond kupitia "Chating" hizo Meninah amekiri kwamba Diamond alimtaka kimapenzi na alifikia hatua ya...

 

10 years ago

Michuzi

JINSI KITAMBI KINAVYO PATIKANA NA JINSI KINAVYO ONDOLEWA KWA TIBA ASILIA

Kitambi ni ile hali ya tumbo kuwa kubwa na kuchomoza kwa mbele na wakati mwingine kufikia hatua ya kuniníginia.
JINSI KITAMBI KINAVYO PATIKANA
Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali za kitaalamu, mwili wa binadamu una seli kati ya bilioni 50 hadi 200 za mafuta zilizogawanyika katika sehemu mbalimbali za mwili wa binadamu.Kwa wanawake seli hizo zipo sana katika maeneo ya matiti, kwenye nyonga, kiunoni na kwenye makalio.
Kwa upande wa wanaume seli hizo zinapatikana sana kwenye kifua, tumboni na kwenye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani