Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DIAMOND, WEMA WAKIWA TAYARI WAMEFIKA MTWARA KWA AJILI YA SHOW YAO YA LEO

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Diamond, Wema kuiteka Mtwara leo

NYOTA wa muziki wa Bongo flava nchini, Diamond Platnum ameahidi makubwa kwa mashabiki wake wa Mtwara katika onesho litakalofanyika leo kwenye Ukumbi wa Makonde Club, mjini humo. Katika shoo hiyo...

 

10 years ago

GPL

NUH MZIWANDA NA SHILOLE WATUA NCHINI UBELGIJI TAYARI KWA SHOW YAO YA JUMAMOSI 9.5.2015

  Wasanii wawili wanaotamba Bongo hivi sasa Shilole na Nuh Mziwanda wametua leo nchini Ubelgiji tayari kwa show yao ya nguvu siku ya Jumamosi nchini Ubelgiji.Wakiwa na nyuso za furaha hotelini walipofikia wameahidi kufanya bonge la  show kwa pamoja.Wameomba wapenzi wao wajitokeze kwa wingi kuja kushuhudia burudani ya uhakika toka Bongo. Nuh Mziwanda kushoto akiwa na Shilole a.k.a Shishi Baby wakiwa tayari kuwapagawisha...

 

10 years ago

Michuzi

YAMOTO BAND WATINGA RADIO KASIBANTE 88.5 FM BUKOBA TAYARI KWA SHOW YAO USIKU HUU NDANI YA LINA'S CLUB

Na Faustine Ruta, BukobaKundi zima la Yamoto Band punde walitinga Katika Kituo cha Radio Kasibante 88.5 Bukoba kuongea moja kwa moja na Wakaazi wa Bukoba juu ya Shoo ya yao inayotarajiwa kufanyika Usiku huu katika Ukumbi wa Burudani wa Lina's Night Bukoba. Bendi inayokuja kasi hapa Nchini inayoundwa na Vijana Machachari kama Aslay, Becka, Bella na Maromboso wameteta na Wanabukoba kwamba waje kwa wingi katika Ukumbi huo wa Lina's wajionee walichokuja nacho kipya katika Pasaka hii ya pili...

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha: Una Zungumziaje Picha Hizi za Wema na Aunty Ezekiel Wakiwa na Rafiki Yao Nice Chande

Boxing Day Moments: Baada ya hapo jana kuwa kwenye pilikapilika za siku kuu leo wengi wetu tumepumzika na kupiga stori za hapa na pale na jamaa zetu.Turudi kwenye mada.

Leo nilipoziona picha hizi za wadada hawa, Wema  Sepetu, Aunty Ezekiel na rafiki yao Nice Chande wakiwa wamejilaza kitandani namna hii kwa haraka haraka nikahisi huu utakuwa ni uchovu wa siku kukuu kwani wanaonekana kama wapo “Cool” sana.Ila nilipotulia kidogo nikaona kitu ambacho  ndicho kilichonifanya hizilete hapa picha...

 

10 years ago

Dewji Blog

Yamoto Band wazindua video yao kwa bonge la show Maisha Club, hizi ni picha za show nzima

Usiku wa Kuamkia leo Yamoto Band ambao wanafanya vizuri sana katika anga la Muziki kwa sasa, wamepiga Bonge la show ndani ya New Maisha Club wakiwa wanazindua Video ya wimbo wao Mpya “Niseme nisiseme” video ambayo imefanywa na Pabro kutoka kampuni ya D360,

Raymond Msanii kutoka Tiptop Connection nae alikuwepo kutoa sapoti kwa Yamoto Band.

IMG_9221

 

11 years ago

GPL

DIAMOND NA WEMA KUHAMIA MTWARA

Wema Sepetu na Diamond Platnumz. DAR ES SALAAM Aprili 27, 2014 … Wakazi wa kusini mwa Tanzania yaani mkoa wa Mtwara wametakiwa kukaa mkao wa kula burudani ya nguvu ya muziki itapigwa moja kwa moja jukwaani siku ya tarehe 2 ya mwezi wa Mei katika ukumbi wa Makonde Club. Shoo hiyo ya kipekee na ya aina yake italetwa na si mwingine bali ni mkali wa muziki wa bongo flava nchini anayepasua anga ya Afrika ya Mashariki kwa sasa...

 

10 years ago

GPL

DIAMOND AFANYA MAJARIBIO DAR LIVE TAYARI KWA SHOO KALI YA TAMASHA LA WAFALME LEO USIKU

Msanii Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz' akifanya majaribio ya vifaa ndani ya jukwaa la Dar Live. Diamond Platnumz na madansa wake wakifanya maandalizi katika jukwaa la kupanda na kushuka la Dar…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani