Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DICOTA 2014 KWAHERI NIGHT

Feisal Omar aka mwana Njenje akimtambulisha msanii Peter Msechu aliyekuja toka Bongo kufanya show kwenye DICOTA 2014 kwenye kwaheri night iliyokua funga pazia kwenye ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Millennium mjini Durham, North Carolina nchini Marekani.Msanii toka Bongo Peter Msechu akiwasha moto kwenye DICOTA 2014 kwaheri night.Mashabiki wa Peter Msechu wakipagawa na wimbo wake mpya wa nyotaPeter Msechu akifanya vitu vyake.kwa picha zaidi bofya soma zaidi

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

DICOTA KWAHERI YA KUONANA SIKU YA JUMAPILI

Msanja Mkandamizaji akiwachekesha wadau waliohudhuria DICOTA 2014 kwenye ukumbi wa Club house uliopo Durham North Carolina siku ya Jumapili Oct 5, 2014 siku ilikubeba jina la kwaheri ya kuonana iliwapa wageni supu na cha chakula cha mchana na kuwatakia wageni safari njema na kuwakaribisha tena kwenye mkutano wa DICOTA ujao.Wadau mbalimbali wakivunja mbavu kutoka kwa masanja mkandamizaji aliyekua akiwachekesha wadau waliokua kwenye club house.Wadau mbalimbali wakivunja mbavu zao.Wadau...

 

10 years ago

Vijimambo

DICOTA WAMKABIDHI BALOZI LIBERATA MULAMULA RIPOTI YAO YA DICOTA CONVENTION 2014 ILIYOFANYIKA NORTH CAROLINA

Viongozi wa DICOTA Lunda Asmani na Dr. Kurwa Nyigu walifika jioni ya Desemba 8, 2014 ofisi ya Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani uliopo Washington DC kumkabidhi Mhe. Liberata Mulamula ripoti ya mkutano wa kongamano wa DICOTA wa 2014 uliofanyika mapema mwezi Oktoka kati ya tarehe 2 mpaka 5.

Katika makabidhiano hayo yaliyo ambayo yalikua ni maelezo ya viongozi wa DICOTA na maoni ya wahudhuriaji wa mkutano huo wa kongamono wa ndani na nje ya Marekani ikiwemo DVD 2 ya...

 

10 years ago

GPL

DICOTA WAMKABIDHI BALOZI LIBERATA MULAMULA RIPOTI YAO YA DICOTA CONVENTION 2014 ILIYOFANYIKA NORTH CAROLINA‏

 Viongozi wa DICOTA Lunda Asmani (kushoto)na Dr. Kurwa Nyigu wakitia saini kitabu cha wageni mara tu walipofika Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani uliopo Washington, DC kuonana na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamuala (hayupo pichani) na kumkabidhi ripoti ya mkutano wa kongamano wa DICOTA uliofanyika mapema mwezi wa Oktoba kwenye tarehe 2 mpaka 5 2014.… ...

 

10 years ago

Vijimambo

DICOTA 2014 CONVENTION DAY 3 SATURDAY OCT 4, 2014

   

Broadcast live streaming video on Ustream
   

Broadcast live streaming video on Ustream
   

Broadcast live streaming video on Ustream

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Vijimambo

2014 DICOTA CONVENTION

CSI has been invited to be on the health panel for the DICOTA 2014 Convention. Please find attached postcard that can be shared on Michuzi blog, Vijimambo, and other social sites. Childbirth Survival International (CSI) is a non-profit organization in Baltimore, Mayrland. CSI works kusaidia kina mama, watoto, na vijana in marginalized communities including Tanzania. CSI has done activities in Tanzania kusaidia kina mama, wakunga (midwives), orphans, and adolescent girls. Nashukuru sana and I...

 

10 years ago

Vijimambo

DICOTA 2014 DURHAM CONVENTION


Kofi Anani ambaye ni senior operations Officer, Africa Diaspora Investment fund, World Bank akiotoa mada kuhusiana na maswala hayo kwenye mkutano wa DICOTA 2014 uliofanyika Jumamosi Oct 4, 2014 ambao ndio ulikua mkutano wa mwisho na baada ya jioni kulikua na nyama choma.Balozi wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Mhe. Liberata Mulamula akielezea kazi za Ubalozi wa Tanzania kwa Watanzani waishio nje ya nchi na nini wanatakiwa kufanya na baadae kumkabidhi Afisa Uhamiaji Bw. Abbas Missana na...

 

10 years ago

Vijimambo

DICOTA 2014 Convention - Your Feedback is very important!

Dear all

As one of our members, supporters, and friends of the Diaspora Council of Tanzanians in America (DICOTA),

Thank you for participating in the 2014 DICOTA Convention. It's the collaboration including your participation that made it one of the most successful conventions thus far!

We would like to take this opportunity to invite you to a two-part survey on: (1) the DICOTA 2014 Convention recently held at the Millennium Hotel in Durham, NC from Oct 2nd to 5th; and (2) the future direction...

 

10 years ago

Vijimambo

NYAMA CHOMA YA DICOTA 2014 YAFANA

Mhe. Liberata Mulamula akihudhuria nyama choma ya DICOTA 2014 iliyofanyika baada ya mkutano mkuu kumalizika jioni ya Jumamosi Oct 4, 2014.Mkuu wa kitengo cha Diaspora Wizara ya Mambo ya Nje na ushirikiano wa Kimataifa Bi. Rosemery Jairo akichoma kuku kwenye nyama choma ya DICOTA iliyofanyika jioni ya Jumamosi Oct 4, 2014 Durham, North Carolina.Wadau mbalimbali waliohudhuria mkutano wa DICOTA 2014 wakipata nyama choma.Nyama choma ikiendelea.kwa picha zaidi bofya soma zaidi

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani