DICOTA KWAHERI YA KUONANA SIKU YA JUMAPILI
Msanja Mkandamizaji akiwachekesha wadau waliohudhuria DICOTA 2014 kwenye ukumbi wa Club house uliopo Durham North Carolina siku ya Jumapili Oct 5, 2014 siku ilikubeba jina la kwaheri ya kuonana iliwapa wageni supu na cha chakula cha mchana na kuwatakia wageni safari njema na kuwakaribisha tena kwenye mkutano wa DICOTA ujao.
Wadau mbalimbali wakivunja mbavu kutoka kwa masanja mkandamizaji aliyekua akiwachekesha wadau waliokua kwenye club house.
Wadau mbalimbali wakivunja mbavu zao.
Wadau...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboDICOTA 2014 KWAHERI NIGHT
10 years ago
VijimamboDICOTA WAMKABIDHI BALOZI LIBERATA MULAMULA RIPOTI YAO YA DICOTA CONVENTION 2014 ILIYOFANYIKA NORTH CAROLINA
Katika makabidhiano hayo yaliyo ambayo yalikua ni maelezo ya viongozi wa DICOTA na maoni ya wahudhuriaji wa mkutano huo wa kongamono wa ndani na nje ya Marekani ikiwemo DVD 2 ya...
10 years ago
GPLDICOTA WAMKABIDHI BALOZI LIBERATA MULAMULA RIPOTI YAO YA DICOTA CONVENTION 2014 ILIYOFANYIKA NORTH CAROLINA
10 years ago
VijimamboKISOMO CHA KUMUOMBEA MAREHEMU NA FUTARI YA PAMOJA SIKU YA JUMAPILI HUKO SILVER SPRING MD USA
10 years ago
Dewji Blog16 May
Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Nyusi kutua nchini Jumapili Mei 17 kwa ziara ya siku 3
Rais Filipe Nyusi wa Msumbiji
Rais wa Msumbiji Mhe.Filipe Jacinto Nyusi anatarajia kuwasili nchini Tanzania Mei 17 mwaka huu kwa ziara ya kikazi ya siku tatu ambapo pamoja na mambo mengine anatarajia kulihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linaloendelea na vikao vyake mjini Dodoma.
Akitoa taarifa ya ziara hiyo leo jijini Dar es salaam Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Mecki Sadiki amesema kuwa Rais Filipe Nyusi atawasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius...
9 years ago
Dewji Blog27 Sep
Skylight yaendelea kukonga nyoyo mashabiki wake ndani ya Escape One Mikocheni ni kila siku ya Jumapili
9 years ago
VijimamboSKYLIGHT YAENDELEA KUKONGA NYOYO MASHABIKI WAKE NDANI YA ESCAPE ONE MIKOCHENI NI KILA SIKU YA JUMAPILI
10 years ago
Michuzi09 Jul
Asya Idarous Khamsin na Titty wanakuletea futari ya pamoja ndani ya Terrace Lounge, Msasani City Mall, siku ya Jumapili 12
![TX4A9780](http://supernewstz.com/wp-content/uploads/2015/07/TX4A9780-1024x559.jpg)
11 years ago
BBCSwahili04 Jul
Brazil Kuonana na Colombia