Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dimpoz: Diamond Amepotea Maboya!

Katika kile kinachoashiriankuwa ni kunogewa na joto la mahaba, mwanamziki wa Bongo Fleva Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ nadaiwa kuanza kumcheka  swahiba wake Diamond Platnumz kwa kushindwa "kumpetipeti" na kumtumia ipasavyo aliekuwa mpezi wake Wema Sepetu.

Taarifa kutoka kwa mtu wa karibu  na Ommy zinasema kuwa  mwanamuziki huyu amekuwa akitoa maneno matamu matamu akimsifia Wema na wakati mwingine akimnanga Diamond.

“Inawezekana kwamba wapo katika project lakini ukweli ni kwamba Wema amtawala...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Dimpoz, Diamond kuukaribisha 2014

WASANII wanaotamba katika bongofleva, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinum’, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ na Alikiba wamepanga kuachia ‘Collabo’ ya pamoja mwanzoni mwa mwaka ujao kama zawadi ya mwaka mpya kwa mashabiki...

 

11 years ago

GPL

DIAMOND NA OMMY DIMPOZ WAPAGAWISHA UK‏

Diamond akipandisha mzuka. Diamond na kundi lake la wasafi wakiwa mzigoni.…

 

9 years ago

GPL

DIAMOND, OMMY DIMPOZ WAZINGUANA MAREKANI!

Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’. Mwandishi Wetu MAPENZI yanatingisha dunia! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia nyota wawili wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ kuzinguana laivu nchini Marekani, Risasi Jumamosi limevujishiwa na lina mchapo kamili. Chanzo makini kilichoshuhudia sakata hilo lililotokea hivi karibuni nchini Marekani kulipokuwa na hafla ya utoaji wa tuzo za Afrimma...

 

9 years ago

GPL

DIAMOND, VANESSA, OMMY DIMPOZ WALIVYOIPAISHA TZ, AFRIMMA

Diamond Platnumz akiwa na moja ya tuzo alizoshinda pamoja na mchekeshaji kutoka Nigeria Basketmouth. Tuzo tatu alizoshinda Diamond Platnumz. Vanessa Mdee akiwa na tuzo. Hii ni orodha ya washindi. Best Male (South Africa) – AKA
Best Male…

 

9 years ago

Bongo5

Diamond, Vanessa Mdee na Ommy Dimpoz washinda tuzo za Afrimma

Diamond Platnumz ameibuka na ushindi mkubwa zaidi kwenye tuzo za Afrimma zilizofanyika Dallas, Marekani alfajiri ya leo kwa saa za Afrika Mashariki. Diamond ameshinda jumla ya tuzo tatu ikiwemo ya msanii wa mwaka Muimbaji huyo ameshinda tuzo tatu; Best Dance Video ya wimbo wake Nana, Best Male East Africa na Artiste Of The Year. “EA […]

 

10 years ago

GPL

KIJUNGU CHA ‘DEMU WA DIAMOND’ CHAMCHENGUA DIMPOZ

Na Hamida Hassan/Ijumaa
Umbile la mwanadada aliyefahamika kwa jina moja la Avril kutoka Kenya ambaye aliwahi kudaiwa kutoka kimapenzi na Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’, hivi karibuni lilionesha kumchengua msanii wa Bongo Fleva, Omari Faraji ‘Ommy Dimpoz’ baada ya kutupia picha inayomuonesha akikitolea macho kiwowowo cha demu huyo. Msanii wa Bongo Fleva, Omari Faraji ‘Ommy Dimpoz’ akiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani