KIJUNGU CHA ‘DEMU WA DIAMOND’ CHAMCHENGUA DIMPOZ
![](http://api.ning.com:80/files/V7mcip*tK2QEkEoHdErlkcqgajQN0zXHaiolqYT4yYqRxezXZWHBybmMnuQGDCP2b9469ceRhgh6cNOrpQTu6*3HfbQwmrAh/Dimpoz.jpg)
Na Hamida Hassan/Ijumaa Umbile la mwanadada aliyefahamika kwa jina moja la Avril kutoka Kenya ambaye aliwahi kudaiwa kutoka kimapenzi na Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’, hivi karibuni lilionesha kumchengua msanii wa Bongo Fleva, Omari Faraji ‘Ommy Dimpoz’ baada ya kutupia picha inayomuonesha akikitolea macho kiwowowo cha demu huyo. Msanii wa Bongo Fleva, Omari Faraji ‘Ommy Dimpoz’ akiwa...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Global Publishers21 Dec
Video: Kisa cha Dimpoz kutomualika Diamond uzinduzi wa video yake
MSANII wa Bongo Fleva, Omari Nyembo “Ommy Dimpoz” amefunguka kisa cha yeye kutomualika staa mwenzake Diamond Platnumz kwenye uzinduzi wa video ya wimbo wake mpya uitwao “Achia Body”.
Dimpoz alizindua wimbo wake huo mpya wikiendi iliyopita kwenye Ukumbi wa Akemi uliopo ndani ya jengo la Golden Jubilee Tower, ambapo ulihudhuriwa na baadhi ya wasanii wenzake kibao.
Wasanii waliojitokeza kumpa nguvu Ommy Dimpoz ni pamoja na Joh Makini, Ben Pol, Chege, Madee, Vanessa Mdee, Navy Kenzo Christian...
10 years ago
Vijimambo16 Jan
UNAJUA WATOTO WATATU WA DEMU WA DIAMOND ZARI__WAONE HAPA__PIA KAWAJIBU WALE WANAOSEMA ANAKULA BATA TU NA DIAMOND HUKU KAWAACHA WATOTO WAKE WANATESEKA
![](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/01/924422_753949534690828_37790630_n.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima24 Dec
Dimpoz, Diamond kuukaribisha 2014
WASANII wanaotamba katika bongofleva, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinum’, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ na Alikiba wamepanga kuachia ‘Collabo’ ya pamoja mwanzoni mwa mwaka ujao kama zawadi ya mwaka mpya kwa mashabiki...
10 years ago
Bongo Movies17 Feb
Dimpoz: Diamond Amepotea Maboya!
Katika kile kinachoashiriankuwa ni kunogewa na joto la mahaba, mwanamziki wa Bongo Fleva Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ nadaiwa kuanza kumcheka swahiba wake Diamond Platnumz kwa kushindwa "kumpetipeti" na kumtumia ipasavyo aliekuwa mpezi wake Wema Sepetu.
Taarifa kutoka kwa mtu wa karibu na Ommy zinasema kuwa mwanamuziki huyu amekuwa akitoa maneno matamu matamu akimsifia Wema na wakati mwingine akimnanga Diamond.
“Inawezekana kwamba wapo katika project lakini ukweli ni kwamba Wema amtawala...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ETTd9*7yfBCjUrBap486khgugx-E2Ta24HhWC*qC7jZpGEQ5oxdm2-fErVjV6iOy8tGyhPH-ZHRIvapuqxBNt0nXSiW2Vr*E/Diamondakipandishamzuka.jpg)
DIAMOND NA OMMY DIMPOZ WAPAGAWISHA UK
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/diamond-23.jpg)
DIAMOND, OMMY DIMPOZ WAZINGUANA MAREKANI!
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/U8EfnQ63hh1Wznw9d4OpY9I1zrqLoZi3sTbbOpd9iHd-vcqOfObRtzWsxHBbzP8IWr8uc2ERuIfpsn2uwXuTkkvOsVENGgQ4/DiamondBasketmout.jpg?width=650)
DIAMOND, VANESSA, OMMY DIMPOZ WALIVYOIPAISHA TZ, AFRIMMA