Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Part I: Diamond na Dimpoz hawaelewani? kolabo na Usher Raymond? mauzo ya...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Diamond Platnumz Kufanya kolabo na Usher Raymond?

+Ni stori ambazo tumekua nazo mtaani kwa kipindi kidogo ila mpaka zimefika hapa ujue tumepata kauli sahihi ambayo itasema ukweli.


Babu Tale (pichani) ni meneja wa Diamond Platnumz, amekutana kwenye hii Exclusive na dstv.com na kukubali kuizungumzia hiyo na ishu nyingine zote.


Kama wataka muziki ya kukupendeza basi jiburudishe na kipindi ya Official African Chart kila Jumanne saa 21:00 kwenye MTV Base.



Kupata chanzo na mengi mengine BOFYA HAPA

 

5 years ago

Bongo5

Huu ndio ujumbe wa Diamond kwa Raymond na Fahyma

Diamond aibariki familia mpya ya msanii wa WCB,Rayvanny ambaye amepata mtoto wake wa kwanza wiki hii.

Ni furaha kuitwa baba au mama hasa katika kipindi ambacho ulichokuwa ukikisubiria kwa hamu. Wawili hao wamefanikiwa kupaa mtoto wa kiume ambaye wamempatia jina la Jayden.

Kupitia mtandao wa Instagram, amewapongeza Ray na Fahyma kwa kuandika, “Congrats @rayvanny & @Fahyma_ on your first Born!… Inshaallah, Mwenyez Mungu awape Baraka, awalindie na wajalie kila lenye kheri ili Mumkuze vyema...

 

11 years ago

CloudsFM

MAFIKIZOLO WAMUOMBA KOLABO DIAMOND

Kundi la Mafikizolo la Afrika Kusini limemuomba kolabo Staa wa Bongo Fleva,Diamond Platnumz ambapo jana (June 9) waliingia katika studio ya Oskido iliyoko Johannesburg kurekodi wimbo huo.“We doing a collaboration with Diamond,the song is sounding awesome yes” aliandika Theo Kgosinkwe wa Mafikizolo katika moja ya picha wakiwa studio na Diamond.Collabo hiyo ya Mafikizolo na Diamond itampa nafasi nzuri zaidi Platnumz sababu ya ukubwa walionao wanamuziki hao wa Afrika Kusini.
Mafikizolo ni...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kopa kufanya kolabo na Alikiba, Diamond

MALKIA wa mipasho nchini, Khadija Kopa, amesema katika kuchanganya ladha ya muziki kwa wapenzi wake, amepanga kufanya kolabo na wasanii wa muziki wa kizazi kipya, wakiwemo Alikiba na Diamond Platinumz....

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ali Kiba: ‘Kolabo’ na Diamond haitatokea

NYOTA wa muziki wa kizazi kipya nchini, Ali Kiba, amesema haitakuja kutokea kufanya ‘kolabo’ na msanii wa muziki huo, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinum’ katika maisha yake. Kauli hiyo ya Ali...

 

10 years ago

GPL

DAYNA: SINA MPANGO WA KOLABO NA DIAMOND

WAKATI  staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, akitafutwa kufanya kolabo na wasanii mbalimbali, nyota wa muziki huo kutoka Moro Town, Dayana Nyange, ‘Dayna’ ameibuka na kusema hana mpango wa kufanya kazi na staa huyo hata kama anafanya vizuri kimataifa. Nyota wa muziki huo kutoka Moro Town, Dayana Nyange, ‘Dayna’. Akifunguka na Risasi Vibes, Dayna alisema kuwa hajaweka wazo la...

 

10 years ago

CloudsFM

Ruby afungukia kolabo yake na Diamond

Mkali wa ngoma inayotamba kwenye vituo mbalimbali za redio hapa nchini, ‘Yule’, Supa Nyota 2014,Ruby amesema kuwa kolabo yake na staa wa Bongo Fleva,Diamond Platnumz itafuata baada ya ngoma yake ya sasa. ‘’Ilikuwa nifanye ngoma yangu ya kwanza na Diamond kama ilikuwa ikisemekana kuwa supa nyota atafanya ngoma yake ya kwanza na Diamond lakini uongozi umeona kuwa ngoma ya kwanza nifanye mwenyewe ya pili ndo nitafanya naye naamini itakuwa bonge la ngoma mashabiki wakae mkao wa tayari...

 

9 years ago

Bongo5

Diamond adai kolabo yake na Ne-Yo imewatisha wasanii wa Nigeria

Diamond Platnumz amesema kolabo yake na msanii wa Marekani, Ne-Yo, imekuwa tishio kubwa kwa wasanii wa Nigeria. Muimbaji huyo amesema Kcee na kundi la Bracket wameusikia wimbo huo na wakadata. Akizungumza na waandishi wa habari jana katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa JK Nyerere akitokea Texas, Marekani katika utoaji wa tuzo za Afrimma, Diamond […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani