Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DIMPOZ, KADINDA NDO’ MAMBO GANI HAYA SASA?

OMARY Faraji Nyembo, anayefahamika zaidi kimuziki kama Ommy Dimpoz ni msanii mwenye jina kubwa katika fani, ingawa ni miongoni mwa vijana waliochipukia na kupata umaarufu katika miaka ya hivi karibuni. Amefanya kazi nyingi nzuri na zilizopata kupigwa sana katika vituo vingi vya redio na televisheni, baadhi yake vikiwa ni pamoja na Baadae, Me and You, Ndagushima na Wanjera, kitu kinachomfanya kuwa miongoni mwa wasanii wanaofanya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Vijimambo

Martin Kadinda Hivi Kweli Meneja Ndo Anatakiwa Awe Hivi Kwa Mteja Wake? Jisomee Alichoandika

Katika pitapita zangu instagram nikakutana na post aliyoiweka Martin Kadinda kuhusu mteja wake mpya Elizabeth michael aka Lulu.Nilishangazwa sababu maneno haya hayakutakiwa kuwekwa na manager wake,labda kama ana mmanage kwenye biashara ya Ngono..Picha hiyohapo niliyo screenshoot.

 

9 years ago

Bongo5

Martin Kadinda aeleza Tanzania ina nafasi gani katika fashion kimataifa

Kadinda

Mbunifu wa mavazi nchini, Martin Kadinda amesema Tanzania imepiga hatua nzuri katika mitindo kimataifa kutokana na bidhaa nyingi za wabanifu wa Tanzania kuchangamkiwa nje ya nchi.

Kadinda

Kadinda ambaye alishinda tuzo ‘East African Fashion Designer of the Year’ nchini Kenya, ameiambia Bongo5 kuwa ukiona Mtanzania anachukua tuzo kubwa nje ya nchi hiyo ni dalili kuwa wanafanya vizuri.

“Kitendo cha Martin Kadinda kuwa best designer wa East Africa ni tumefika sehemu nzuri kwa sababu katika East...

 

10 years ago

Vijimambo

HII NDIO HISTORIA YA DIAMOND TOKA KAZALIWA MPAKA LEO KAFIKISHA MIAKA 26, HAYA NDO ALIYOPITIA.

Jitiririshe mwenye hapa chini live bila chenga.
diamond platnumz bongoclan.co.tz
Ukitaka kujua kuwa ku-shine hapa Bongo ni juhudi zako tu mwenyewe za kupiga kazi usiku na mchana,bila kulala na mwisho wa siku kufikia malengo yako basi mfano wa kuigwa ni huyu Birthday boy Diamond Platnumz.Diamond alizaliwa tarehe 2, October mwaka 1989 katika Hospitali ya Amana Dar es salaam   mnamo wa saa kumi na moja na kupewa jina la  Nasibu Abdul Juma . Akiwa na umri mdogo wazazi wake walitengana na baba yake kumuacha bila msaada wowote  na...

 

10 years ago

Jamtz.Com

HAYA NDO ALIYOSEMA LUNDENGA KUMALIZA UTATA WA UMRI WA MISS TANZANIA 2014 KWENYE PRESS CONFERENCE

Tweet
 Mwaka 2005 kulikua na ushindani kidogo, mwaka 2006 kulikua na ushindani  wa Wema na Jokate na upinzani huu umeendelea kuwepo kwenye mashindano yetu lakini ya mwaka huu imezidi mno, kumekua na matusi… kashfa na hata naona wamevuka mpaka na kuingiza mambo ya kisiasa ambayo sisi hatuyapendi, huu ni mchezo kama mchezo mwingine wowote… yani taji la mwaka mmoja limefunika mpaka katiba na Simba na Yanga?
Hayo ni maelezo aliyoyatoa Mr. Hasheem Lundenga mbele ya Waandishi wa habari Dar es...

 

10 years ago

GPL

RAY: CHUCHU SASA NDO’ KILA KITU KWANGU

Stori: Musa Mateja
LEGENDARY kwenye anga la sanaa Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ kwa mara ya kwanza amefunguka kuwa mpenzi wake wa sasa, Chuchu Hans ndiye kila kitu na kilichobaki ni ndoa tu. Legendary kwenye anga la sanaa Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ akiwa na mpenzi wake Chuchu Hans.
Akizungumza na paparazi wetu, Ray alisema licha ya kupitia katika changamoto nyingi za mapenzi lakini kwa Chuchu...

 

10 years ago

Jamtz.Com

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani