Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HAYA SASA MAMBO YA KANUNI HAYO


Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

DIMPOZ, KADINDA NDO’ MAMBO GANI HAYA SASA?

OMARY Faraji Nyembo, anayefahamika zaidi kimuziki kama Ommy Dimpoz ni msanii mwenye jina kubwa katika fani, ingawa ni miongoni mwa vijana waliochipukia na kupata umaarufu katika miaka ya hivi karibuni. Amefanya kazi nyingi nzuri na zilizopata kupigwa sana katika vituo vingi vya redio na televisheni, baadhi yake vikiwa ni pamoja na Baadae, Me and You, Ndagushima na Wanjera, kitu kinachomfanya kuwa miongoni mwa wasanii wanaofanya...

 

10 years ago

Vijimambo

MAMBO YA NEW YORK CITY HAYO

Ukiwa New York City usikose kufika eneo la Times Square kwani kuna mambo mengi ya kuvutia mwanzo mwisho hiwe mchana au usiku Times Square ni sehemu itakayo kufanya ubakie na mshangao na pia kusmile kwenye uso wako.

 

10 years ago

Bongo Movies

Ummy wa Mambo Hayo Apata Ajali Moro

MWIGIZAJI mkongwe wa filamu  Ummy Mohamed amepata ajali mbaya maeneo ya Mikese Mkoani Morogoro baada ya gari alilokuwa akisafiri nalo la AlSaedy kugongana uso kwa uso na lori lilotaka kulipita basi hilo na kusababisha ajali hiyo mbaya basin a kuharibika sana.

Akiongea na FC kutoka eneo la ajali amesema kuwa basi hilo lilikuwa likitokea Ifakara kuja jijini Dar es Salaam safari ambayo iliishia maeneo ya Mikese baada ya kugongana uso kwa uso na Lori, yeye akimepata maumivu sehemu za mikono na...

 

10 years ago

Vijimambo

UWANJA WA MPIRA WA KAITABA UKIKARABATIWA MAMBO YA ESCROW HAYO BUKOBA OYEE

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limeanza ukarabati katika Uwanja wa Kaitaba uliopo mkoani Kagera kuanzia Januari 12,2015.Rais wa TFF, Jamal Malinzi alisema kuwa kutokana na ukarabati huo tayari Kagera Sugar imeshaomba kutumia Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza kwa ajili ya mechi zake za nyumbani. Katika hatua nyingine, Malinzi alisema kutokana na kikao cha Kamati ya Utendaji cha FIFA kilichokutana hivi karibuni kiliweka wazi kila Mwanachama wa FIFA ataendelea kupata dola za kimalekani 600,000...

 

10 years ago

Vijimambo

MAMBO YA SOKA LA BONGO HAYO YANI KI DIGITAL ZAIDI PITIA HII NA MEZA AU TEMA KWAHERI.

LISTI YA SIMBA VS MGAMBO...LISTI YA BARCELONA VS MAN CITY....Licha ya TFF kuingiza pesa nyingi kupitia mpira wa miguu hii ni haki kweli?

 

9 years ago

Vijimambo

MAMBO YA WIKIEND HAYO KAMA WEWE KAPO YA NGUVU HII INAKUHUSU UNAWEZA KUTUPIA HIVI KIROHO SAFI TU


Kama wewe couple ya nguvu weekend hii unaweza kutupia kama hivi ukiwa na mama mwenye nyumba wako kiroho safi. Wale wenye wivu wajinyoge na toilet paper  habari ndiyo hii jipendeni kwani maisha ni hapa hapa dunia.

Weekend yako fanya kama unasahau stress za schedule vile na tupieni.

 

11 years ago

Mwananchi

Mkumba sasa akiri kanuni kutowafurahisha wajumbe

Mwenyekiti wa kikundi cha Tanzania Kwanza kinachoundwa na wajumbe wengi wa CCM katika Bunge la Katiba, Said Mkumba amekiri wajumbe wake, kukosa umakini katika kupitisha kanuni za bunge ambayo inaelekeza wenyeviti wa kamati, kusoma maoni ya kamati ya walio wengi na wachache na kutoa muda wa kufafanua hoja zao.

 

10 years ago

GPL

MAMBO HAYA MAGUFULI ATAJIFUNZIA IKULU

Waziri wa Ujenzi, Dk. John Pombe Magufuli. WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Pombe Magufuli ambaye atapeperusha bendera ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika nafasi ya urais kwenye uchaguzi mkuu ujao, ndiye anapewa nafasi kubwa ya kurithi mikoba ya Jakaya Kikwete.
Uzoefu unaonesha kuwa mgombea anayesimama kwa tiketi ya CCM huwa katika nafasi nzuri ya kuibuka mshindi kutokana na historia, kwani wapiga kura wengi bado wana imani na chama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani