MAMBO HAYA MAGUFULI ATAJIFUNZIA IKULU
![](http://api.ning.com:80/files/VittCBMQg0LbBzVeMmI0LuiEs5oEO2JeUn37IvzrcrY*ihbS*vnS3dJJYzYYg3nFgpdXwcR5LYR3Tv*vk8myRASSR5YBlatA/CJ42RToWwAAWefl.jpglarge.jpg?width=650)
Waziri wa Ujenzi, Dk. John Pombe Magufuli. WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Pombe Magufuli ambaye atapeperusha bendera ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika nafasi ya urais kwenye uchaguzi mkuu ujao, ndiye anapewa nafasi kubwa ya kurithi mikoba ya Jakaya Kikwete. Uzoefu unaonesha kuwa mgombea anayesimama kwa tiketi ya CCM huwa katika nafasi nzuri ya kuibuka mshindi kutokana na historia, kwani wapiga kura wengi bado wana imani na chama...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-WFOn7KcHduE/VLWKMV5I4PI/AAAAAAADVeg/EfQKj3gW2xg/s72-c/Katuni%2BJan%2B11.jpg)
10 years ago
Mwananchi09 May
Mambo haya manne, shemeji atatuachaje?
10 years ago
Michuzi06 Dec
10 years ago
Mwananchi28 Apr
Mambo haya yanachangia uhaba wa walimu wa sayansi
10 years ago
Mwananchi21 Feb
Wanakijiji Idweli wataacha lini mambo haya?
11 years ago
Mwananchi21 Jan
Mambo haya yanairudisha nyuma sekta ya elimu