Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


madereva jihadharini na mambo kama haya....


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

‘Jihadharini na wanaotumia injili ya Mungu kama biashara’

KATIBU Mkuu wa Kanisa la EAGT Tanzania, Brown Mwakipesile amewataka waumini kujihadhari na watu wanajidai kuwa watumishi wa Mungu ambao wanaitumia injili kama biashara.

 

10 years ago

Habarileo

Madereva mabasi kama wa bodaboda

Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohamed Mpinga, akitoa takwimu za vifo vilivyotokana na ajali za barabarani kati ya Januari Mosi mwaka huu hadi Aprili 12, sawa na siku 102 vifo 969.WAKATI ajali za barabarani zikiendelea kumaliza nguvu kazi ya Taifa na kuumiza vichwa vya Watanzania kuhusu suluhisho la ajali hizo, imefahamika moja ya tatizo sugu ni kukosekana kwa madereva wenye taaluma stahiki, ingawa wana leseni.

 

10 years ago

GPL

MAMBO HAYA MAGUFULI ATAJIFUNZIA IKULU

Waziri wa Ujenzi, Dk. John Pombe Magufuli. WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Pombe Magufuli ambaye atapeperusha bendera ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika nafasi ya urais kwenye uchaguzi mkuu ujao, ndiye anapewa nafasi kubwa ya kurithi mikoba ya Jakaya Kikwete.
Uzoefu unaonesha kuwa mgombea anayesimama kwa tiketi ya CCM huwa katika nafasi nzuri ya kuibuka mshindi kutokana na historia, kwani wapiga kura wengi bado wana imani na chama...

 

10 years ago

Mwananchi

Mambo haya manne, shemeji atatuachaje?

Neno ‘shemeji’ lilitawala zaidi katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi yaliyofanyika kitaifa mkoani Mwanza baada ya walimu kubeba bango lenye maandishi yanayosomeka “Shemeji unatuachaje?”. Maandishi hayo yalimlenga Rais Jakaya Kikwete.

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Mwananchi

Mambo haya yanachangia uhaba wa walimu wa sayansi

Kwa mujibu wa sera mpya ya elimu na mafunzo ya mwaka 2014, asilimia tano ya wanafunzi wanaomaliza elimu ya msingi ndiyo wanaofika mpaka kidato cha tano na sita. Asilimia nne wanajiunga na masomo ya elimu ya juu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani