Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanakijiji Idweli wataacha lini mambo haya?

Juzi, vyombo vya habari viliripoti tukio la kufariki kwa watu watatu na wengine 18 kujeruhiwa kwenye tukio la moto uliolipuka kutoka kwenye lori lililokuwa limepinduka.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Raia Mwema

Ni lini wataacha kusema Mlima Kilimanjaro uko Kenya?

MJADALA mkubwa uliibuka katika mitandao ya kijamii wiki iliyopita kutokana kitendo cha mwandishi

Mwandishi Wetu

 

10 years ago

Michuzi

WASHIRIKI WA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2015 WAHIMIZA WANAKIJIJI KUFANYA KILIMO CHA BIASHARA, WAWAPA BURUDANI WANAKIJIJI.

 Baada ya washiriki wa Shindano la Mama shujaa wa Chakula  Shindano linalo endeshwa na Oxfam kupitia kampeni yake ya Grow na kudhaminiwa na Gates and Melinda Foundation,TBS, Cooperative Bank Great Britain na Care Tanzania, baada ya  kuwasili wote sasa wanapangwa makundi makundi kwa ajili ya kuanza mchakato wa siku Hapa katika kundi la kwanza washiriki wa Shindano la  Mama Shujaa wa Chakula , Shindano linaloendeshwa na Oxfam kupitia kampeni yake ya Grow hapa wakiwahamasisha wanakijiji cha...

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

GPL

MAMBO HAYA MAGUFULI ATAJIFUNZIA IKULU

Waziri wa Ujenzi, Dk. John Pombe Magufuli. WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Pombe Magufuli ambaye atapeperusha bendera ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika nafasi ya urais kwenye uchaguzi mkuu ujao, ndiye anapewa nafasi kubwa ya kurithi mikoba ya Jakaya Kikwete.
Uzoefu unaonesha kuwa mgombea anayesimama kwa tiketi ya CCM huwa katika nafasi nzuri ya kuibuka mshindi kutokana na historia, kwani wapiga kura wengi bado wana imani na chama...

 

10 years ago

Mwananchi

Mambo haya manne, shemeji atatuachaje?

Neno ‘shemeji’ lilitawala zaidi katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi yaliyofanyika kitaifa mkoani Mwanza baada ya walimu kubeba bango lenye maandishi yanayosomeka “Shemeji unatuachaje?”. Maandishi hayo yalimlenga Rais Jakaya Kikwete.

 

10 years ago

Vijimambo

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani