Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mambo haya yanairudisha nyuma sekta ya elimu

Kila anayefuatilia hali ya mambo nchini hasa yanayohusu jamii, anatambua kuwa sekta ya elimu nchini inakabiliwa na changamoto nyingi, ambazo Watanzania wote kwa umoja wetu hatuna budi kupambana kuzikabili kwa maendeleo ya Taifa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Shah: Mizengwe inarudisha nyuma biashara sekta ya ujenzi

Kadri muda na siku zinavyosonga Tanzania, ndivyo wawekezaji katika kila sekta wanavyoongezeka. Shukrani kwa kuwapo kwa mazingira yanayowavutia wawekezaji wengi wakiwamo wa nje.

 

9 years ago

StarTV

Haki Elimu yazindua jopo la ushauri Uboreshaji Sekta Ya Elimu

Serikali kupitia Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Nchini imeshauriwa kuyafanyia kazi mapendekezo yanayotolewa na wadau wa elimu katika  sekta hiyo pamoja na  kuboresha Idara ya Ukaguzi Shuleni ili kuhakikisha elimu inatolewa kwa usahihi.

Imeelezwa kuwa kwa kuzingatia hayo kutasaidia kuboresha Sekta ya elimu nchini hususani katika Shule za Umma, ambazo baadhi ya wazazi wamekuwa wakikwepa kuwapeleka watoto wao kutokana na dhana ya kuwa na elimu duni.

 Katika uzinduzi wa jopo la washauri...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mabadiliko haya ndani ya sekta ya habari ni hazina kubwa kwa nchi

Pix 1 Habari

Na Mwandishi wetu

Sekta ya Habari ni moja ya sekta za huduma za jamii inayotoa huduma ambayo ni haki ya msingi ya raia kama ilivyotamkwa kwenye Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977.

Ibara ya 18 (2) ya Katiba inasema kuwa kila raia anayo haki ya kupewa taarifa wakati wowote kuhusu matukio mbalimbali nchini na duniani kote ambayo ni muhimu kwa maisha na shughuli za wananchi na pia juu ya masuala muhimu kwa jamii.

Aidha, kutafuta na kupewa  habari kunatambuliwa duniani kote...

 

10 years ago

Mwananchi

Mambo haya manne, shemeji atatuachaje?

Neno ‘shemeji’ lilitawala zaidi katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi yaliyofanyika kitaifa mkoani Mwanza baada ya walimu kubeba bango lenye maandishi yanayosomeka “Shemeji unatuachaje?”. Maandishi hayo yalimlenga Rais Jakaya Kikwete.

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

GPL

MAMBO HAYA MAGUFULI ATAJIFUNZIA IKULU

Waziri wa Ujenzi, Dk. John Pombe Magufuli. WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Pombe Magufuli ambaye atapeperusha bendera ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika nafasi ya urais kwenye uchaguzi mkuu ujao, ndiye anapewa nafasi kubwa ya kurithi mikoba ya Jakaya Kikwete.
Uzoefu unaonesha kuwa mgombea anayesimama kwa tiketi ya CCM huwa katika nafasi nzuri ya kuibuka mshindi kutokana na historia, kwani wapiga kura wengi bado wana imani na chama...

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Mwananchi

Mambo haya yanachangia uhaba wa walimu wa sayansi

Kwa mujibu wa sera mpya ya elimu na mafunzo ya mwaka 2014, asilimia tano ya wanafunzi wanaomaliza elimu ya msingi ndiyo wanaofika mpaka kidato cha tano na sita. Asilimia nne wanajiunga na masomo ya elimu ya juu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani