Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dini kupambana na utumwa mamboleo

Mpango wa pamoja kukabiliana na utumwa mamboleo umezinduliwa na Kanisa Katoliki, Kanisa la kianglikana na Uongozi wa Waislam wa Ki-sunni

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mugabe: Vijana pingeni ukoloni mamboleo

Arusha. Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe ametoa wito kwa vijana barani Afrika kupinga dhana ya ukoloni mamboleo pamoja na kulinda rasilimali zilizopo ndani ya bara hili kwa masilahi ya vizazi vijavyo.

 

10 years ago

Michuzi

VIONGOZI WA DINI WAKEMEA MAOVU YANAYOFANYWA KWA MGONGO WA DINI

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii Dar
Viongozi wa dini za kiislaam na kikristo wamesema dini ni za unyenyekevu na sio za kufanya maovu,ikitokea mtu mmoja katika imani anafanya maovu ni lazima akemewe ndani ya imani yake kwanza.
Wameyasema hayo leo katika kongamano la kujadili madhara ya misimamo mikali ya imani za kidini (Tafkiri) katika jamii na taifa lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Lamada jijini Dar es Salaam.
Akizungumza wakati wa kufungua kongamano hilo Katibu wa Taasisi za...

 

10 years ago

Michuzi

Mangula awataka viongozi wa dini wasiwapotoshe wananchi kuhusiana na kuwapo kwa masuala ya dini katika katiba pendekezwa

Makamu Mwenyekiti wa CCM bara, Philip Mangulla akizungumza na wanafunzi na waalimu wa shule ya Hagafilo mkoani Njombe kuhusiana na katiba pendekezwa na utofauti kati ya katiba pendekezwa na ya sasa. wanafunzi na waalimu wakimsikiliza Makamu mwenyekiti wa CCM bara Philip Mangula juzi wakati akiwapa ufafanuzi wa katiba Pendekezwa.(picha na furaha eliabu wa www.eliabu.blogspot.com)
Na Furaha Eliab, Njombe
MAKAMU mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) - Bara, Philip Mangula amesema kuwa viongozi...

 

10 years ago

Habarileo

UN kuadhimisha siku ya utumwa

Ofisa Habari wa UN, Stella VuzoUMOJA wa Mataifa leo unaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Kumbukumbu ya Waathirika wa Utumwa na Biashara ya Utumwa kupitia Bahari ya Atlantiki.

 

10 years ago

Mwananchi

Utumwa wa soka unaitesa Afrika

Bila wasiwasi, soka ni mchezo mkubwa Afrika, na katika bara hilo siyo lazima uwe na uwanja wenye nyasi ndiyo soka lichezwe, soka linachezwa hata kwenye viwanja vyenye vumbi.

 

11 years ago

GPL

UNYENYEKEVU KWA MWENZI WAKO NI UTUMWA?

NINA kila sababu ya kumshukuru Muumba wangu kwakuwa yeye ndiye mlinzi na kiongozi wa maisha yangu, bila yeye mimi na wewe tusingekuwepo hivyo basi tuna wajibu wa kumshukuru kila wakati. Leo nitazungumza moja kwa moja na wanandoa. Nitazungumza juu ya jambo muhimu sana, unyenyekevu na uvumilivu katika ndoa bila kujali jinsi, je ni utumwa? Hapa kila mmoja atakuwa na jibu lake, lakini leo nataka kuwapa ukweli wa kitaalam. Kuna usemi...

 

10 years ago

Mwananchi

Ripoti: Tanzania kinara wa utumwa A.Mashariki

Ripoti mpya ya kimataifa kuhusu hali ya utumwa duniani imeitajaTanzania kuongoza Afrika Mashariki kwa kuwa na zaidi ya watu 350,000 wanaotumikishwa maeneo mbalimbali nchini.

 

10 years ago

GPL

UN YAADHIMISHA KUMBUKUMBU YA WAATHIRIKA WA BIASHARA YA UTUMWA

Ofisa Habari wa UNIC, Stella Vuzo akisoma hotuba ya ujumbe wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Ban Ki-moon kwenye maadhimisho ya kumbukumbu kuwakumbuka waathirika wa utumwa na biashara zake zilizoendeshwa eneo la Bahari ya Atlantiki. Mshauri wa Masuala ya Haki za Binadamu wa UN nchini Tanzania, Chitralekha Massey akizungumza na vyombo vya habari katika maadhimisho ya kuwakumbuka waathirika wa utumwa na biashara zake. Ofisa...

 

10 years ago

Vijimambo

UN Kuainisha Eneo Kukumbuka Biashara ya Utumwa

Ofisa Habari wa UNIC, Stella Vuzo akisoma hotuba ya ujumbe wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Ban Ki-moon kwenye maadhimisho ya kumbukumbu kuwakumbuka waathirika wa utumwa na biashara zake zilizoendeshwa eneo la Bahari ya Atlantiki. Ofisa Habari wa UNIC, Stella Vuzo akisoma hotuba ya ujumbe wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Ban Ki-moon kwenye maadhimisho ya kumbukumbu kuwakumbuka waathirika wa utumwa na biashara zake zilizoendeshwa eneo la Bahari ya Atlantiki.Mshauri wa Masuala ya Haki za Binadamu wa UN nchini Tanzania, Chitralekha Massey akizungumza na vyombo vya habari katika maadhimisho ya kuwakumbuka waathirika wa utumwa na biashara zake. Mshauri wa Masuala ya Haki za Binadamu wa UN nchini Tanzania, Chitralekha Massey akizungumza na vyombo vya habari katika maadhimisho ya kuwakumbuka waathirika wa utumwa na biashara zake.Ofisa Habari wa Umoja wa Mataifa Tanzania, Bi. Usia Nkhoma akiwasilisha mada kwa washiriki wa maadhimisho ya kuwakumbuka waathirika wa utumwa na biashara zake. Ofisa Habari wa Umoja wa Mataifa Tanzania, Bi. Usia Nkhoma...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani