UN Kuainisha Eneo Kukumbuka Biashara ya Utumwa
Ofisa Habari wa UNIC, Stella Vuzo akisoma hotuba ya ujumbe wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Ban Ki-moon kwenye maadhimisho ya kumbukumbu kuwakumbuka waathirika wa utumwa na biashara zake zilizoendeshwa eneo la Bahari ya Atlantiki.
Mshauri wa Masuala ya Haki za Binadamu wa UN nchini Tanzania, Chitralekha Massey akizungumza na vyombo vya habari katika maadhimisho ya kuwakumbuka waathirika wa utumwa na biashara zake.
Ofisa Habari wa Umoja wa Mataifa Tanzania, Bi. Usia Nkhoma...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/-B3yh97TG6WE/UssHPjl3ONI/AAAAAAAAJ98/Wrf-82jDN90/s1600/IMG_20140105_162428.jpg)
UBOVU WA BARABARA ENEO LA VIWANDA VYA KUSAGA NA KUKAMUA MAFUTA ENEO LA SIDO MBEYA NI KERO KWA WAFANYA BIASHARA ENEO HILO
10 years ago
GPL![](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/03/IMG_0048.jpg?width=650)
UN YAADHIMISHA KUMBUKUMBU YA WAATHIRIKA WA BIASHARA YA UTUMWA
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-AHtCAqhEx-Y/XvSfh6YnF_I/AAAAAAALvZA/GMhSF9u2y_saCX-gR-Zw2ijpolspJrvagCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200624-WA0041.jpg)
NAMNA BIASHARA YA UTUMWA ILIVYOANZA KWA KUUZA WAFUNGWA IRISH
![](https://1.bp.blogspot.com/-AHtCAqhEx-Y/XvSfh6YnF_I/AAAAAAALvZA/GMhSF9u2y_saCX-gR-Zw2ijpolspJrvagCLcBGAsYHQ/s400/IMG-20200624-WA0041.jpg)
Katika miaka ya 1660 Irishi ilikua kitovu cha biashara ya utumwa na wengi wao waliuzwa katika maeneo ya Antigua na Montserrat na kwa wakati huo asilimia 70 ya watu Montserrat walikuwa watumwa kutoka Irish.
Irish imeandikwa katika historia kwa kuwa kitovu cha biashara ya wanadamu...
5 years ago
BBCSwahili10 Jun
George Floyd: Sanamu zilizotukuza biashara ya utumwa Marekani na Ulaya zaharibiwa
10 years ago
BBCSwahili10 Jun
Eneo huru la biashara Afrika kuundwa
11 years ago
GPLHATIMAYE WALEMAVU WAPEWA ENEO LA KUFANYIA BIASHARA
10 years ago
Mwananchi22 Dec
Deira, Eneo, maarufu, Dubai, biashara, bei,uchumi
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Yyn5D_GzRRQ/XqGULs6_vWI/AAAAAAALoAo/3pTVL32vWXEEIk6kf11KgvK7uYhcihMIgCLcBGAsYHQ/s72-c/1db0a729-8cda-4463-9779-47f94f29ceb3.jpg)
WABUNGE WAPEWA MAFUNZO MATOKEO YA MKATABA WA ENEO HURU LA BIASHARA BARA LA AFRIKA
![](https://1.bp.blogspot.com/-Yyn5D_GzRRQ/XqGULs6_vWI/AAAAAAALoAo/3pTVL32vWXEEIk6kf11KgvK7uYhcihMIgCLcBGAsYHQ/s640/1db0a729-8cda-4463-9779-47f94f29ceb3.jpg)
Naibu Spika, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (katikati) akifungua mafunzo kwa Waheshimiwa Wabunge kuhusu matokeo ya Mkataba wa eneo huru la biashara la Bara la Afrika katika ukumbi wa Pius Msweka Jijini Dodoma. Kulia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje Ulinzi na Usalama, Mhe. Salum Mwinyi Rehani na kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya...
11 years ago
Habarileo26 Jul
JK aongoza kukumbuka mashujaa
RAIS Jakaya Kikwete jana aliongoza maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa huku viongozi wa dini walioongoza dua wakiombea Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba watakaporudi bungeni kuweka uzalendo na maslahi ya taifa mbele.