JK aongoza kukumbuka mashujaa
RAIS Jakaya Kikwete jana aliongoza maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa huku viongozi wa dini walioongoza dua wakiombea Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba watakaporudi bungeni kuweka uzalendo na maslahi ya taifa mbele.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mtanzania27 Jul
JK aongoza kumbukumbu ya mashujaa
![Rais Jakaya Kikwete](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Jakaya-Kikwete1.jpg)
Rais Jakaya Kikwete
Na Patricia Kimelemeta
RAIS Jakaya Kikwete, jana aliongoza mamia ya wananchi na wageni mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi katika maadhimisho ya siku ya mashujaa nchini, ambapo kitaifa yalifanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam.
Maadhimisho hayo yaliyoanza saa tatu kamili asubuhi na kumalizika saa tano, yalipambwa na gwaride rasmi la maombolezo ya mashujaa hao kutoka kwa majeshi ya ulinzi na usalama.
Wakizungumza wakati wa kuomba dua ya...
10 years ago
Vijimambo26 Mar
UN Kuainisha Eneo Kukumbuka Biashara ya Utumwa
![Ofisa Habari wa UNIC, Stella Vuzo akisoma hotuba ya ujumbe wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Ban Ki-moon kwenye maadhimisho ya kumbukumbu kuwakumbuka waathirika wa utumwa na biashara zake zilizoendeshwa eneo la Bahari ya Atlantiki.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/03/IMG_0048.jpg)
![Mshauri wa Masuala ya Haki za Binadamu wa UN nchini Tanzania, Chitralekha Massey akizungumza na vyombo vya habari katika maadhimisho ya kuwakumbuka waathirika wa utumwa na biashara zake.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/03/IMG_0062.jpg)
![Ofisa Habari wa Umoja wa Mataifa Tanzania, Bi. Usia Nkhoma akiwasilisha mada kwa washiriki wa maadhimisho ya kuwakumbuka waathirika wa utumwa na biashara zake.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/03/IMG_0017.jpg)
10 years ago
Bongo Movies13 Aug
Wasanii Watakiwa Kukumbuka Watoto Wenye Mahitaji Maalum
Afisa Habari wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Aristides Kwizela (Kushoto) akifuatilia burudani zilizokuwa zikitolewa na watoto wanaondaliwa na Baraza hilo kupitia programu ya ‘Sanaa kwa Watoto’ wakati wakitumbuiza kwenye Jukwaa la Sanaa la BASATA mapema wiki hii. Watoto hao wanatoka shule ya Msingi ya Msimbazi iliyoko Ilala jijini Dar es Salaam. Katikati ni Msanii wa filamu Honeymoon Mohamed na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Utafiti na Stadi za wasanii Bi. Vick Temu.
Katibu Mtendaji wa...
9 years ago
Mwananchi11 Oct
SAIKOLOJIA : Kanuni zitakazo kusaidia kuimarisha uwezo wa kukumbuka
5 years ago
CCM BlogWANAOSHINDWA KUKUMBUKA MAJINA YAO HUCHELEWESHA UBORESHAJI DAFTARI LA WAPIGA KURA-JAJI KAIJAGE
Na Richard Mwaikenda
MWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC), amesema kitendo cha baadhi wananchi kushindwa kukumbuka majina yao, kinasababisha ucheleweshwaji wa zoezi la Uboreshaji...
10 years ago
Dewji Blog12 Oct
Taasisi ya Mwalimu Nyerere yaandaa maonyesho na mdahalo wa kukumbuka miaka 15 ya kifo cha Baba wa Taifa
Na Anna Nkinda – Maelezo
Taasisi ya Mwalimu Nyerere kwa kushirikiana na Makumbusho ya Taifa na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wameandaa maonyesho na mdahalo wa kukumbuka na kuenzi mchango wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika kujenga, kutetea, kulinda na kudumisha amani Duniani.
Maonyesho hayo ya siku tano ambayo yatafunguliwa tarehe 13 na kumalizika terehe 17 mwezi huu yatafanyika katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa yaliyopo jijini Dar es Salaam.
Kwa...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-dpELVkUYMVU/U4BRfIyW6NI/AAAAAAAFktM/uIQM9xk7bcY/s72-c/unnamed+(10).jpg)
MUALIKO WA MAULIDI YA KUKUMBUKA MAZAZI YA MTUME MUHAMMAD REHMA ZA MWENYEZI MUNGU ZIMSHUKIE JUU YAKE NA AMANI
Ungozi wa Madrasatul Amini ya Marhum Sheikh Nassor Amran Iliopo kwa Ali Maua A Chini ya Uongozi na Usimamizi wa Mudiru Alhaj Sheikh Mohammad Nassor Unapenda Kukualika na Kuwakaribisha Wadau wote na Wapenzi Wa Mtume Muhammmad Rehma za Mwenyezi Mungu zimshukie Juu yake Shughuli hii Itafanyika hapa MADRASANI KWETU KWA RATIBA IFUATAYO SIKU YA IJUMAA TAREHE 30 / 5 / 2014 Kuanzia Saa 4 Asubuhi Maonyesho ya Wanafunzi na Baada ya Swala ya ISHAAI MAULIDI YA JUMUIA ,...
9 years ago
Bongo520 Nov
2015 Forbes Africa’s 50 Richest: Dangote aongoza Afrika, Dewji aongoza Tanzania akifatiwa na Rostam
![dangote-dewji-rostam](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/dangote-dewji-rostam-300x194.jpg)
Jarida la Forbes limetoa orodha yake ya Matajiri 50 wa Afrika ‘2015 Forbes Africa’s 50 Richest People’, ambapo mwekezaji mkubwa wa Nigeria, Aliko Dangote ameshika nafasi ya kwanza kwa utajiri wa Dola Billion 16.5.
Watanzania walioingia kwenye rodha hiyo ni Mohammed Dewji aliyeshika nafasi ya 21 kwa Afrika na namba moja kwa Tanzania, akifatiwa na Rostam Aziz aliyeshika namba 25 kwa Afrika na nafasi ya pili kwa Tanzania. Mwingine ni Said Salim Bakhresa aliyekamata nafasi ya 36 kwa Afrika na...
11 years ago
Michuzi25 Jul
LEO NI SIKU YA MASHUJAA