JK aongoza kumbukumbu ya mashujaa
Rais Jakaya Kikwete
Na Patricia Kimelemeta
RAIS Jakaya Kikwete, jana aliongoza mamia ya wananchi na wageni mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi katika maadhimisho ya siku ya mashujaa nchini, ambapo kitaifa yalifanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam.
Maadhimisho hayo yaliyoanza saa tatu kamili asubuhi na kumalizika saa tano, yalipambwa na gwaride rasmi la maombolezo ya mashujaa hao kutoka kwa majeshi ya ulinzi na usalama.
Wakizungumza wakati wa kuomba dua ya...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo26 Jul
JK aongoza kukumbuka mashujaa
RAIS Jakaya Kikwete jana aliongoza maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa huku viongozi wa dini walioongoza dua wakiombea Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba watakaporudi bungeni kuweka uzalendo na maslahi ya taifa mbele.
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-74sZa5EKTlw/VbIrzqddDlI/AAAAAAAHriA/J629HKQqm40/s72-c/image.jpg)
RAIS JAKAYA KIKWETE MGENI RASMI MAADHIMISHO YA KUMBUKUMBU YA MASHUJAA
![](http://4.bp.blogspot.com/-74sZa5EKTlw/VbIrzqddDlI/AAAAAAAHriA/J629HKQqm40/s640/image.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-QUVW2x_uJAU/VbIrzd0fDoI/AAAAAAAHrh4/QvxoIuWzVKs/s640/image_1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-o_UnF79TIBU/VbIr07JaxFI/AAAAAAAHriI/5kEdFVJpkKI/s640/image_2.jpg)
BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mrjGDDFzeeHUNvnZryrKF5jUJRlx1qcWZtMc91fkrOvPYv*vN-fdNoKU9X1owJqjgkGH30F4lfFnrSrnvGP-aX6h6jZm*5er/ma39.jpg?width=650)
RAIS KIKWETE MGENI RASMI KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA KUMBUKUMBU YA MASHUJAA LEO
11 years ago
CloudsFM26 Jul
RAIS KIKWETE MGENI RASMI KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA KUMBUKUMBU YA MASHUJAA SIKU YA JANA
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka ngao kwenye mnara wakati wa Maadhimisho ya siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa iliyofanyika jana katika bustani ya Mnazi mmoja jijini Dar es salaam.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Mohamed Ali Shein kwenye Maadhimisho ya siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa iliyofanyika katika bustani ya Mnazi mmoja jijini Dar es salaam jana. Wengine ni Makamu wa Rais Dkt Mohamed...
10 years ago
Mtanzania08 Apr
Dk. Shein aongoza kumbukumbu ya Karume
NA IS-HAKA OMAR, ZANZIBAR
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Dk. Ali Mohamed Shein, ameongoza mamia ya wananchi kuadhimisha Siku ya Mashujaa wa Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964.
Maadhimisho hayo yalifanyika katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui, Zanzibar kisha Rais Shein aliwaongoza wananchi kutembelea kaburi la aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Abeid Karume.
Wakati wa maadhimisho hayo yaliyoanza jana saa moja asubuhi, walikuwapo mabalozi...
9 years ago
BBCSwahili28 Aug
Obama aongoza kumbukumbu ya Katrina
10 years ago
Vijimambo22 May
FLAVIANA MATATA AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUMBUKUMBU YA WALIOFARIKI MV BUKOBA
Na Johnson James, Mwanza
ALFAJIRI ya Mei 21 mwaka 1996 – siku kama ya leo -- ni tarehe ambayo Tanzania ilipatwa na msiba mzito ambapo zaidi ya watu 600 walifariki baada ya meli ya MV Bukoba iliyokuwa ikifanya safari zake kutoka mjini Bukoba kwenda jijini Mwanza kuzama katika Ziwa Victoria ambalo liko...
10 years ago
GPLFLAVIANA MATATA AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUMBUKUMBU YA WALIOFARIKI MV BUKOBA
11 years ago
MichuziRAIS KIKWETE AONGOZA MAADHIMISHO YA KUMBUKUMBU YA MIAKA 30 YA KIFO CHA HAYATI EDWARD MORINGE SOKOINE WILAYANI MONDULI
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10