Utumwa wa soka unaitesa Afrika
Bila wasiwasi, soka ni mchezo mkubwa Afrika, na katika bara hilo siyo lazima uwe na uwanja wenye nyasi ndiyo soka lichezwe, soka linachezwa hata kwenye viwanja vyenye vumbi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi12 Oct
Viongozi wanaua soka Afrika
 Kocha wa timu ya taifa ya Benin, Olle Didier Nicolle amesema viongozi ndio wanaoharibu mpira wa Afrika na wasipobadilika soka la bara hili litazidi kuteketea.
10 years ago
BBCSwahili23 Oct
10 years ago
Mwananchi01 May
SOKA AFRIKA: Yanga SC jogoo la shamba
>Waswahili husema, jogoo la shamba haliwiki mjini. Hicho ndicho kinachoweza kusemwa wakati Yanga ikikabiliwa na kitendawili kigumu inachotakiwa kukijibu kesho kwenye Uwanja wa Olympique de Sousse (saa 3 usiku kwa saa za Tanzania).
9 years ago
BBCSwahili03 Oct
Soka ya Tanzania iko chini zaidi Afrika mashariki
Licha ya kupanda nafasi nne hadi nambari 136,Tanzania imeorodheshwa ya chini zaidi na shirikisho la soka duniani FIFA katika soka Afrika mashariki.
11 years ago
Mwananchi21 Apr
John Barnes: Soka la akili linaumiza timu za Afrika
Wakati mashabiki wa soka barani Afrika wakiwa na matumaini kwamba moja ya timu zinazoliwakilisha bara la Afrika katika Fainali za Kombe la Dunia inaweza kufika hatua ya nusu fainali, nyota wa zamani wa Liverpool ya England, John Barnes anaamini suala la kucheza soka kwa kutumia akili ndilo linaloliumiza bara la Afrika.
11 years ago
Mwananchi21 Apr
Mambo yanayochangia nyota wa Afrika kuacha soka mapema
Ni ukweli ulio wazi kuwa wanasoka wengi wa Afrika wamekuwa wakiacha kucheza soka mapema huku wengi wao wakionekana bado wana nguvu za kutosha kutoa mchango kwa klabu zao na mataifa yao.
10 years ago
Vijimambo09 Jan
YAYA TOURE NDIYO MBABE WA SOKA AFRIKA KWA MARA YA NNE
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2015/01/08/150108235754_yaya_toure_640x360_reuters_nocredit.jpg)
Toure ana umri wa miaka 31,aliteuliwa baada ya kucheza kwa kujitoa na kuleta ushindi katika Premier League na League Cup, na pia alijitoa kuisaidia Ivory Coast kuingia katika kombe la mataifa ya Africa yatakayo fanyika baadaye mwaka huu.
Toure amewapiku mshambuliaji kutoka Gabon, Pierre Emerick Aubameyang na...
9 years ago
Bongo512 Oct
Mbwana Samatta ateuliwa kuwania tuzo ya mwanasoka bora wa Afrika, ni wachezaji wanaocheza soka la ndani
Mshambuliaji wa Taifa Stars na klabu ya TP Mazembe ya DR Congo, Mbwana Samatta ameteuliwa kuwania tuzo ya mwanasoka bora wa Afrika inayowahusu wachezaji wanaochezea vilabu vya ndani ya Afrika. Orodha hiyo imetolewa jana Jumapili na shirikisho la soka barani Afrika, CAF. Samatta aliiwezesha TP Mazembe hivi karibuni kuingia kwenye fainali ya michuano ya mabingwa […]
10 years ago
Habarileo25 Mar
UN kuadhimisha siku ya utumwa
UMOJA wa Mataifa leo unaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Kumbukumbu ya Waathirika wa Utumwa na Biashara ya Utumwa kupitia Bahari ya Atlantiki.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania