John Barnes: Soka la akili linaumiza timu za Afrika
Wakati mashabiki wa soka barani Afrika wakiwa na matumaini kwamba moja ya timu zinazoliwakilisha bara la Afrika katika Fainali za Kombe la Dunia inaweza kufika hatua ya nusu fainali, nyota wa zamani wa Liverpool ya England, John Barnes anaamini suala la kucheza soka kwa kutumia akili ndilo linaloliumiza bara la Afrika.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Mirror Online12 Apr
John Barnes rated better than Sadio Mane by ex-Liverpool star
10 years ago
Mwananchi26 Jan
Soka ni vita akili ,nguvu,nidhamu uwanjani
11 years ago
MichuziWafanyakazi wa Benki ya NBC waipiga jeki timu ya watoto wenye ulemavu wa akili Zanzibar
11 years ago
BBCSwahili13 Jun
Timu ya soka ya Kenya kwenda Brazil
10 years ago
BBCSwahili18 Mar
Timu ya soka la ukweni kuelekea Misri
9 years ago
Michuzi23 Dec
Serikali yamaliza mgogoro wa timu ya soka ya Shinyanga Stand United
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na hatua zilizofikia katika kutatiua mgogoro baina ya Timu ya Stand Unite ya mjini Shinyanga na kamati ya uendeshaji ya timu hiyo iliyopo chini ya ofisi ya Mkuu wa Mkoa leo jijini Dar es Salaam.Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini,WHUSM.Baadhi ya wajumbe wa kamati ya utendaji ya timu ya Stand United ya mjini Shinyanga wakifuatilia maelezo ya Waziri wa Habaroi,...
9 years ago
Bongo Movies08 Sep
Mwaka Huu Nimewajua Wasanii Waliokuwa na Akili na Wasiokuwa na Akili-Ray
"(FREEDOM OF SPEECH)
Kuna vitu vingi sana nimegunduakwenye uchaguzi wa mwaka huu nimewajua baadhi ya wasanii waliokuwa na akili na wasiokuwa na akili japokuwa nami nawezakuwa mmoja wapo katika hao wasiokuwa na akili. Why nasema hivi na samahani kama nitakuwa nime2mia lugha kali, Unajua nashanga sana sasa hivi kumekuwa na vita baina ya wasanii wanaosapoti (CCM) Na (UKAWA)
Jamani siasa ni democracy kila m2 ana haki yakuwa upande anayeuona yeye unamfaa. Mimi nilidhani badala ya kuwa na...
10 years ago
Dewji Blog17 Sep
TIMU ya soka ya kata ya Mkiwa jimbo la Singida mashariki mabingwa wa kombe la UVCCM
Mlezi wa jumuiya ya wazazi (CCM) wilaya ya Ikungi, Elibariki Kingu akizumgumza na wapenzi wa soka na wachezaji muda mfupi kabla ya kuanza kwa mechi ya fainali kati ya timu ya soka ya kata ya Irisya na Mkiwa, uliofanyika katika uwanja wa shule ya sekondari ya kata ya Ikungi.
Na Nathaniel Limu, Ikungi
TIMU ya soka ya kata ya Mkiwa jimbo la Singida mashariki,imetawazwa kuwa mabingwa wa kombe la UVCCM wilaya ya Ikungi mkoa wa Singida kwa kipindi cha mwaka 2014/2015, baada ya kuichapa timu ya...
10 years ago
Michuzi28 Jan
DRFA yawataka mashabiki wa soka kujitokeza kwa wingi kuzishangilia timu za Dar
Leo (januari 28) kutakuwa na mchezo mmoja wa ligi kuu kwa timu ya Simba ya Dar es salaam dhidi ya Mbeya City ya Mbeya,mchezo ambao utakaopigwa katika uwanja wa taifa jijini.
Itakumbukwa kwamba katika mechi mbili za ligi...