Diwani- DC Gamba aliinita sisimizi
SHAHIDI wa pili katika shauri linalomkabili Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Mrisho Gamba mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma, diwani wa Kata ya Mndolwa wilaya ya Korogwe, Hillary Ngonyani ambaye aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo amedai DC huyo aliwahi kumwita `sisimizi’ wakiwa katika vikao vya halmashauri.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi29 Nov
KONA YA MAKENGEZA : Sisimizi ndani ya sukari
11 years ago
Mwananchi16 Jan
Tanesco inapaswa kujivua gamba
11 years ago
Tanzania Daima09 Apr
Siasa yetu isiwe ya siku sisimizi alipomuua tembo
SIKU zote tembo alikuwa akipita na miguu yake iliyo kama kinu ardhini, huku akiwa hajui anapokanyaga chini anaua zaidi ya sisimizi 100. Kutokana na adha ya kupoteza maisha ya wadudu...
10 years ago
Tanzania Daima13 Nov
Meneja wa Sitta avua gamba Urambo
BARAZA la Vijana Taifa la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), limeibomoa ngome ya Mbunge wa Urambo Mashariki mkoani Tabora, Samuel Sitta, baada ya kuzoa wanachama wapya zaidi ya 200,...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-Pg8rDIIRsKw/VaWHy7p_HmI/AAAAAAAHpys/V3fb-xTtKVc/s72-c/unnamed%2B%25282%2529.jpg)
mtangazaji mahiri wa ITV na Radio One Isaack Muyenzwa Gamba ahamia DW Ujerumani
![](http://1.bp.blogspot.com/-Pg8rDIIRsKw/VaWHy7p_HmI/AAAAAAAHpys/V3fb-xTtKVc/s640/unnamed%2B%25282%2529.jpg)